JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,091
- 4,715
Kuna tabia ambao sasa hivi nimeanza kuiona mbaya sana kwangu, zamani nilikuwa nachukulia poa.
Mimi ni mtu wa kusafiri sana huwa nakusanya vitu mbalimbali naweka home. Ila kuna tabia ya watu wakiwemo wana na mademu zangu wakija home utaskia naomba hiki naomba kile nawapa.
Mwanzo niliona poa ila sasa najiuliza kwani mimi nilinunua vitu hivi ili nipoteze pesa zangu au? Hebu watu acheni tabia za kupenda kuona kitu umekipenda basi badala usema ukakinunue wewe unaishia naomba hiki naomba kile kwani mpaka umekiona kiko kwake mwenzio si kakinunua?
Kama unasoma uzi huu unakuja next time eti "naomba Jordan hizi" , "naomba tivii ile ya gym room" ujue zinauzwa na mimi nanunua, siyo nna saa mpya au simu mpya unakuja unaomba ya zamani kwani mimi siwezi kuwa nazo hamsini?.