Nini kimejificha nyuma ya wamiliki wa gesti na loji kuvipa vyumba vyao majina ya wanyama au mikoa?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Nikikuta chumba kimeandikwa Jina la Mnyama Kifaru au Nyati au Chui au Mkoa wa Kagera au Kigoma au Singida au Dodoma huwa nafurahi na nakuwa na Mzuka na hata (aliyeingia katika Mfumo wangu) nikimaanisha huyo anayekwenda Kuwajibika nami Kibaiolojia humo cha Moto hukiona na pengine hata kujuta kwanini alitoa Ushirkiano kwangu Siku hiyo.
 
Kuna mahali nilikuta vyumba vina majina ya George, Jackson, John, Eliza etc....
 
Mi nilienda wilaya moja hivi nikakuta wamevipa majina ya Timu za Bongo, nikachagua inayopiga mpira mwingi::: Aisee yule dada alipelekewa moto kama mbio za mchezaji mmoja wa "klabu" hiyo 😅😅😂
 
Huku kwetu wanaipa majina ya mitaa. Mara chumba cha kwa mpalange, mara wapi sijui. Yaani vurugu tu.
 
Singida nakumbuka nilikuta majina ya nchi za nje Uk, Italy ,France , Japan

Ila ilikuwa ni lodge halafu zile fungua Zina mama kikamba cha ramani ya africa
 
Mi nilienda wilaya moja hivi nikakuta wamevipa majina ya Timu za Bongo, nikachagua inayopiga mpira mwingi::: Aisee yule dada alipelekewa moto kama mbio za mchezaji mmoja wa "klabu" hiyo 😅😅😂
Nikikuta kuna Chumba kimeandikwa Raja Casablanca siingii ng'o kwani nitazikumbuka Tatu Kavu za Mwarabu za Juzi kwa Mkapa huku nikimwendea Kinyumenyume.
 
Nafikiri labda ni kuficha siri, badala ya kupayuka na kusema njoo chumba namba 10 , watu watashtukia

Ila ukisema wewe ukifika uliza Tembo watakuelewa
Yaani kama fumbo vile
Ni mawazo yangu tu ingawa sijawahi kuona
Mfano Mwanaume mshabiki wa Simba SC akisikia Mkewe yuko na Mwamba ( Hawara ) Chumba kiitwacho Raja Casablanca na akiyakumbuka matokeo mabaya ya Juzi unadhani atathubutu kwenda Kufumania / Kumfumaia?
 
Mfano Mwanaume mshabiki wa Simba SC akisikia Mkewe yuko na Mwamba ( Hawara ) Chumba kiitwacho Raja Casablanca na akiyakumbuka matokeo mabaya ya Juzi unadhani atathubutu kwenda Kufumania / Kumfumaia?

Vijana wanawaza kufumaniana ndo tutegemee uchumi wa kati
 
mteja: vyumba vipo?
mhudumu: ndio vipo ila kimebaki kimoja.
mteja: kipi hiko?
mhidumu: chumba cha nyoka.
mteja:🏃

😂😂😂😂😂
 
Nikikuta chumba kimeandikwa Jina la Mnyama Kifaru au Nyati au Chui au Mkoa wa Kagera au Kigoma au Singida au Dodoma huwa nafurahi na nakuwa na Mzuka na hata (aliyeingia katika Mfumo wangu) nikimaanisha huyo anayekwenda Kuwajibika nami Kibaiolojia humo cha Moto hukiona na pengine hata kujuta kwanini alitoa Ushirkiano kwangu Siku hiyo.
unapendelea kunyandulia chumba chenye mnyama yupi ili upate mzuka zaidi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom