GOSSO MZEKEZEKE
Senior Member
- Dec 13, 2013
- 142
- 165
Habari zenu wanaJF
Naona siku hizi kumekuwa na majina ya nyongeza sana kwenye usaili kutoka sekretarieti ya ajira. Na nahisi hii inatokea baada ya wengi mfumo kuwakataa na kupeleka malalamiko na baada ya uchunguzi wanaona ni kweli na ndio maana wanaongeza majina.
Swali langu ni kwanini wa-set mfumo ambao uwakatae baadhi wa waombaji wenye sifa na vigezo vyote?