maji

  1. JamiiForums Tanzania Mwanza: Watu 4000 hufa maji Ziwa Victoria kila mwaka

    Serikali imesema zaidi ya watu 4,000 hufa maji kila mwaka Ziwa Victoria kutokana na sababu mbalimbali, ikiwamo hali halisi ya vyombo vya usafiri, uwezo wa mabaharia, ubebaji mizigo, hali ya hewa, pamoja na ziwa hilo kutofanyiwa vipimo kujua maeneo yenye miamba na kina kirefu tangu ilipofanyika...
  2. JamiiForums Tanzania Police wapewa jengo la idara ya maji (Duwasa) kua makao makuu ya jeshi hilo Dodoma

    Rais John Magufuli amawapa jeshi la Police jengo lililokua linatumiwana Idara ya maji Dodoma kua makao mkuu ya jeshi hilo jijini Dodoma. Pia amempongeza IGP Saimon sirro kwa kuhamia rasmi Dodoma. Namkumbusha mheshimiwa Rais awakumbuke Zimamoto na Magereza ambao nao ni wanamahitaji kama Polisi.
  3. JamiiForums Tanzania Tujenge utaratibu wa kuhifadhi maji ya mvua

    Maji ya mvua yanapatikana bure na kama yanatumika vizuri tunaweza kupunguza matumizi ya reservoirs. Ukihifadhi maji haya kwa matumizi ya binadamu inabidi kuyaongezea baadhi ya kemikali. Maji ya mvua yanaweza kutumika kwa sewage system ya nyumba nzima. Unachimba shimo na kulisakafia kama shimo...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba Mamlaka ya Maji Safi na Taka Mbeya ifutwe, wanalipwa mishahara bila kazi

    Mamlaka ya maji Mbeya wafanyakazi wake hawastahili kulipwa mishahara kwa sababu hakuna wanachokifanya na hawapo pale kutoa huduma ya maji kwa wananchi. Wapo kama TRA tu yaani kukusanya pesa basi. Ni miezi 4 sasa eneo la Uyole 90% ya bomba hazitoi maji. Wakilalamikiwa hawatoi msaada wowote...
  5. JamiiForums Tanzania Achomwa kisu baada ya kummwagia mwenzake maji machafu kwenye birthday

    MWANAFUNZI wa mwaka wa tatu katika Chuo cha Ufundi Trade Peramiho wilayani Songea, Grayson Maselin (23), amejeruhiwa na mwanafunzi mwenzake Mosses Ngole (23), kwa kuchomwa kisu shingoni baada ya kummwagia maji machafu siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwake (birthday). Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  6. JamiiForums Tanzania Wanachama wa CCM maji yamewafika shingoni

    Katika historia ya nchi hii, hakijawahi tokea kipindi cha majaribu ya aina hii, ambayo wanaccm wanapitia hivi sasa Huu uchaguzi wa serikali za mitaa, umewavua nguo na hivi sasa mpo uchi wa mnyama Kitendo cha hao wasimamizi wa uchaguzi, ambao ni makada wa CCM kukata majina ya wagombea wa...
  7. JamiiForums Tanzania Mikate ya maji iliyochanganywa na kuku

    Habari wadau wa mapishi, wapenda misosi mitamu. Leo nawaletea pishi hili tamu sana baada ya kulionja nikaona niwaletee na nyie ndugu zangu wa JF ili mkapike nanyi mfaidi kama mimi nilivyofaidi. Basi nisiwachoshe naomba mfatane nami katika maandalizi haya mpaka mtatoa kitu murua. Viamba...
  8. JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Sumbawanga kufurahia mafuriko ya maji

    HIKI ndicho tulichokuwa tunakitaka. Ndivyo wanavyosema wakazi wa Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa, wanaosema hivyo baada ya kilio chao cha muda mrefu cha kukosa majisafi na salama kupata ufumbuzi. Wanasumbawanga na viunga vyake takribani 70,932 wanafungua maji ya bomba baada ya kazi hiyo...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Nguo kupauka kutokana na maji

    Wakuu umofia kwenu, hivi dawa ya kutofanya nguo zisipauke ni nini? Maana natumia maji ambayo yana chumvi kwa mbal, sasa nguo zinapauka sana,,, Sasa ni nini dawa yake ili zisipauke?
  10. JamiiForums Tanzania Wajapan wamebuni mbinu ya kudhibiti matumizi ya maji

    Maji unayonawia mikono ndiyo yanasukuma uchafu.
  11. JamiiForums Tanzania The happiest King in the world

    King Mswati III (51) wa eSwatini amenunua magari 19 na amewazawadia wake zake (zaidi ya 14) magari hayo mapya ya kifahari aina ya Rolls-Royce Phantom. Hatua hiyo imekosolewa kutokana na nchi hiyo kuwa na hali mbaya kiuchumi, huku baadhi ya wananchi wakikosa baadhi ya huduma za msingu. Mwaka...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji Prof. Makame Mbarawa anahujumu miradi ya maji, nchi, na Serikali ya Awamu ya Tano

    Husika na maada tajwa hapo juu. Mim ni mdau mkubwa wa maji nmekuwa nikishirikiana na wadau mbali mbali wa maendeleo kuchimba visima vidogo na vikubwa maeneo yenye uhitaji mkubwa hasa kwenye kambi za wakimbizi. Pili niipongeze wizara ya maji kufanikisha uundwaji wa RUWASA hii itasaidia...
  13. JamiiForums Tanzania Huduma za maji, serikali iunde kampuni zitakazofanya kazi kama muundo wa kampuni za simu

    Baada ya kusikiliza maoni ya Mheshimiwa Lema aliyoyatoa wiki iliyopita, nimelitafakari sana wazo lake kuhusu huduma ya maji, maji ni muhimu sana kwa maisha ya kila siku ya binadamu. Yakichukuliwa kibiashara biashara ya maji ina faida kubwa. Tanzania tumebahatika kuwa na vyanzo vingi vya maji...
  14. JamiiForums Tanzania Niwakumbushe wale mnaomwagia watu maji kwenye birthday

    Leo maji yamekatika msithubutu kuja na yenu ya Tandika balaa.
  15. JamiiForums Tanzania Zifahamu athari za kunywa maji kupita kiasi

    Wataalam wanashauri unywaji maji mengi, lakini ukweli ni kwamba yaweza kuwa hatari kubwa. - Yadaiwa maji huongeza uwezo wa kufikiri na kupunguza maumivu ya kichwa - Wataalamu wanahoji athari za kunywa maji kupindukia - Wanashauri unywaji wa lita moja mpaka mbili ni hatari - Hivyo ni kwa...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Video: Kocha wa Yanga Zahera akizomewa na kutupiwa chupa za maji huko Mwanza

    Wasukuma sasa hivi wako juu ya sheria kuanzia Bashite hadi kule makao makuu, ni noooma duuh halafu majinga ya Jangwani yakasema yakapeleke mechi uskumani. Weweeeeee jinga kabisa mngepeleka Chato stadium bora
  17. F

    JamiiForums Tanzania Hali ya maji wilayani Monduli ni tete, wananchi wanakunywa maji ya madimbwi na mifugo. Lowassa hadi Kalanga huraaaaaahhh.

    Ktk pitapita zangu najikuta natua wilayani Monduli ambapo maji ni tabu kama Tabora na Mtwara ambapo pia nimepita. Kwa kweli wananchi ktk maeneo haya haswa Monduli wanachangia maji machafu ya madimbwi na mabwawa na mifugo. Sasa najiuliza ile Monduli ya Lowassa ndiyo hii? Nikaambiwa kuna Mbunge...
  18. JamiiForums Tanzania Tatizo la Maji Mtama laibua mapya, Nape ashutumiwa kwa kutokaa jimboni mwake. Adaiwa kuonekana na Irene Uwoya hotelini

    Baada ya Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye kusema yeye ni Mkazi wa Kijiji kinachoonekana kuwa na maji machafu na Wakazi wa kijiji hicho kutumia maji hayo kwa shughuli zao, na Mbunge huyo kusema tatizo hilo lapo hivyo. Mdau kaja na hoja za kumuhoji kuwa anakaa wapi? Mdau anadai siku zote tangu...
  19. JamiiForums Tanzania Ni kweli tuidai Serikali maji, au tudai sheria ya kuhifadhi vyanzo vya maji?

    Bunge litunge sheria kali ya kutunza mazingira. Baada ya sheria kali ya money laundering ambayo haina dhamana, basi ninatamani Bunge lije na sheria kali ya mazingira. Ninadhani bado sheria ya mazingira tuliyonayo haijakidhi haja au imeshindwa kusimamiwa. Udhaifu wa usimamizi au ubutu wa sheria...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli maji baridi (Maji ya mito)na maji ya bahari hayachanganyiki?

    Habari wana JF! Katika soma soma yangu nimepata kuona katika vitabu vya dini kuwa maji matamu na maji ya bahari hayachanganyiki. Pia Kila mara nikielekea Zanzibar kwa boti nifikapo Msasani lazima kuwe na wimbi hata kama bahari iko shwari nikauliza nikaambiwa hapa kuna mkondo wa maji matamu (...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…