January 23, 2020
Profesa Makame Mbarawa - ''Wizara ya Maji Hakuna Uadilifu na Hatuwapendi Watanzania, Changamoto za Maji Tanzania wizarani Wakurugenzi, ma-Consultant, Wahandisi hawazijui'
Prof. Makame Mbarawa amesema watalaamu wake walioko wizarani hawajui miradi iliyopo bali wanakaa...