Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,646
- 35,979
Habari!
Nimeongea na mama nitilie kadhaa nimegundua kuwa sasa wameamua kuachana na waganga wa kienyeji katika kukuza biashara zao. Na sasa wameamua kutumia mafuta na maji ya upako ambavyo vinapatikana kwa bei ndogo na kwa uwazi.
Bila kujali dini au madhehebu yao wamama na wadada hawa wajasiriamali wanatumia mafuta na maji ya upako kunyunyizia biashara zao ili kuvutia wateja.
Kuhusu madhara kwa watumiaji wa vyakula na bidhaa zao haiwahusu na hawajui lolote. Wanachojua ni kwamba mafuta ya upako yanavutia wateja.
Sasa mpaka wanaume baadhi wanatumia mafuta na maji ya upako kwaajili ya kuboost shughuli zao.