Kuna ukweli wowote kuwa idara ya maji inabambika bili?

Kuna ukweli wowote kuwa idara ya maji inabambika bili?

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
545
Reaction score
1,179
Hivi eti kuna ukweli wowote kuwa mashirika ya maji yanabambika bili au maneno yetu kama kawaida kila kitu kulalamika mimi nataka nianze kufatilia bili yangu ya maji nione maana Léo nimeona jirani yangu kajaza watu anagombana na msoma mita ndio kuuliza anasema wanabambika Sana bili maji kwake kubwa mno ndo nikasema ebu namimi nianze kufatilia nione je nikweli Kuna Mtu hii imemkuta uko mwingine.
 
Ahaha yangu imekuja elfu 60 kwa nyumba ya familia yani hata car wash afazali kuliko matumizi ya nyumbani
 
DAWASA WANABAMBIKA BILI ZA MAJI, HUENDA NI MFUMO WAO UNAOPITISHA UPEPO BADALA YA MAJI.
KUNA WIZI MKUBWA
DAWASA WEZI
DAWASA WEZI KABISA, MITA FEKI SIJUI AU NDO HAZIJAFANYIWA CALBRATION?
POOR DAWASA
 
Kuna baadhi ya mita zao zinaenda kasi unit moja maji hayafiki lita 1,000.
 
Duuuu hata huku mwezi uliopita ilikuja kama 18000 na point lakini ya sasa imekuja 64000 na vipoint sijajua maana yake nn,, sijui wamelewa kazi au ndiyo na wenyewe wameanza na matozo
 
Ni kweli kabisa kuna wizi Mkubwa sana unaendelea hata kwangu hili imekuja elfu 64,000 tena nyumba ya familia wakati natumiaga Maji ya elfu 9 au 10 huu ni wizi na ulienda kulalamika hawafuatilii. Sasa nimeamua kufunga mabomba yote natumia Maji ya kisima kwanza kwa mwezi mzima nione mwezi huu wataleta nini
 
Back
Top Bottom