Inachezwa chini ya maji mno

Inachezwa chini ya maji mno

Sauti hazitasikika mapema! Walio nje ya maji watasikia Mlio baada ya samaki woote kuusikia

Britanicca
Guys guys guys..
Nini hiki tena!? alieelewa code pliz..
20260306_225029.jpg
 
Wanamtandao ni ngumu Sana kuwadondosha

Labda nature iseme inatosha sawa

Tulishindea October 29 sizani Kama itajirudia

Wenye nguvu kama huna jeshi ni ngumu kuwashinda kwa kupiga kelele.

Ile MO29 isingewezekana bila msaada wa Silaha. Kama silaha zingekuwepo mtaani wale waliojitokeza walitosha kabisa kugeuza mawe.

Lakini huna silaha, huna mipango, huna pesa, unawezaje kushinda
 
Sauti hazitasikika mapema! Walio nje ya maji watasikia Mlio baada ya samaki woote kuusikia

Britanicca
Gentleman,
kama taifa,
tupo vizuri na salama,
na tunasonga mbele kwa weledi na uhakika wa maendeleo, chini ya serikali sikivu ya ccm,

wajulishe na wengine bila kificho kuhusu jambo hili muhimu sana
 
Back
Top Bottom