maji

  1. V

    JamiiForums Tanzania Tunasafisha matank ya maji safi na salama

    Je unajua tank lako la kuhifadhi maji safi na salama kwa matumizi mbali mbali linabidi kusafishwa kila baada ya mwezi Kwa sababu pindi unapohifadhi maji mda mrefu bila kulisafisha tank huifadhi tope na wakati mengine magugu huota Karibuni Trinity cleaner tunatoa huduma ya kusafisha matank ya...
  2. JamiiForums Tanzania Je, yule Mchina Mkulima tuliyemsingia 'Kipropaganda' kuwa anayatumia Maji yote ya Mto Ruvu kwa hizi Mvua nyingi lini tutamruhusu aendelee Kumwagilia?

    Kwa hizi Mvua Kubwa na nyingi zinazonyesha sasa Nchini Tanzania nimetaarifiwa kuwa tayari zimeshaanza Kujaza Mito yetu Mikubwa kiasi kwamba muda si mrefu inaweza ikaanza Kufurika na kujuta hata kwanini kwa Uwongo, Roho Mbaya na Propaganda zetu tuliamua Kumtupia lawama Mchina Mkulima wa Ruvu kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Maswa: Wakazi elfu 10 kunufaika na mradi wa maji wa Rais Samia wa Isulilo

    MRADI wa Maji ya bomba wa kijiji cha Isulilo katika wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu kuwanufaisha wananchi wapatao 10,497. Mradi huo unatekelezwa na wakala wa maji na usafi wa mazingira vijijini(Ruwasa) kwa ufadhili wa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, Meneja wa Ruwasa wilaya ya...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa nchi yenye matatizo makubwa ya maji, tunaruhusu vipi swimming pools?

    Kuna hili suala nimeliwaza kwa muda mrefu sana. Inakuwaje katika nchi ambayo hata maeneo ya mijini tu kuna changamoto kubwa za maji tunaruhusu ujenzi wa swimming pools? Najua wengine mtanishambulia kwa kuleta usukuma wangu hapa ila kuna mambo inabidi utafakari kwa maslahi ya taifa. Kama ni...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole kuwa makini, Samaki yake maji

    Nimeikuta mahali hii Ndugu yangu Polepole nakukumbusha Newton Third Law of Motion. Action and reaction are equal and opposite. Ajifunze awamu ya tano ilivyoshughulika na Membe na Lissu ndivyo wanasiasa wanavyoweza kufanyiana. Siasa sio sawa na kazi za Civil Society. In politics you deal with...
  6. JamiiForums Tanzania Hifadhi wa maji ya mvua

    Kuna kisima chini kinakusanya maji kutoka kwenye gutters, wakati wa kutumia yanavutwa kwa pump na kujaa kwenye mapipa. M
  7. JamiiForums Tanzania Mgao wa Maji ni Somo Kwetu Kuhusu Ubaya wa Ufujaji

    Abuu Kauthar Jiji la Dar es Salaam hivi karibuni liliingizwa katika mgao wa maji kwa sababu ya ukame ulioikumba nchi hivi karibuni. Jambo la kushukuru ni kwamba mvua zimeanza kunyesha.Kipindi mgao ulipokuwa mkali, eneo letu Mburahati halikupata maji kabisa kwa wiki tatu. Vijana wa nyumbani...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Ufisadi wa kutisha Mamlaka ya Maji Arusha (AUWSA)

    Kuna ufisadi Mkubwa unafanyika Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jijini Arusha (AUWSA). Ufisadu huu unafanywa na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi AUWSA, Eng. Justine Rujomba kwa kushirikiana na Waziri wa Maji Ndg. Juma Aweso na Katibu Mkuu Engineer Sanga. Kuna Mradi wa Ujenzi wa...
  9. JamiiForums Tanzania Petroli bei juu. Mafuta ya kupikia bei juu. Mazagazaga bei juu. Maji ya kutumia hakuna. Umeme kukatika hata mara 5 au 6 kwa siku!

    Kutokana na hayo matatizo yaliyotajwa hapo juu. Je, Mama Samia anatupeleka wapi na wasaidizi wake? Tutaishia wapi? Kumbekeni Omicron nayo yatunyemelea kama bado haijafika! Kweli bongo bahati mbaya.
  10. JamiiForums Tanzania TBS: Wanaoongeza maji kwenye maziwa waonywa, kufanya hivyo ni kinyume cha sheria

    KAIMU Mkuu wa Kitengo Cha Uthibiti Ubora wa Shirika la Viwango nchini (TBS) Baraka Mbajige amewaonya wafugaji na wauzaji wa maziwa kuacha tabia ya kuweka maji kwa sababu ni kinyume cha sheria. Alisema hayo katika mafunzo ya siku mbili yaliyoandaliwa na TBS kwa wafugaji wa Wilaya ya...
  11. JamiiForums Tanzania Kigogo yote,mabibo na Mburahati muda huu usiku hamna maji na umeme.walaaniwe wote wanaohujumu hizi huduma

    Thread was deleted
  12. JamiiForums Tanzania Dalali napangisha vyumba, Tsh. elfu 15 mwezi maji bure kabisa

    Karibuni sana
  13. K

    JamiiForums Tanzania OCD Meatu kuwaandikia barua Chadema kwamba wasifanye mikusanyiko kwa sababu kuna tishio la Ugaidi, kauli hii ya maandishi ina madhara gani kiuchumi?

    Ipo barua inasambaa mitandaoni kutoka kwa oCD Meatu ikiziia mikusanyiko ya wanachama wa Chadema Kwa sababu kwamba kipimdi hiki Kuna tishio la Ugaidi. Yawezekana sababu hii ni ya msingi au isiwe na msingi. Lakini barua hii ambayo naamini itasambaa Dunia ina madhara makubwa KULIKO faida kwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Uhuni wa DAWASA, Maji hakuna lakini wanaleta bili kubwa kuliko wakati wowote ule

    Nimechoka mno baada ya DAWASA KIBAHA kunitaarifu bili ya maji. Kwa muda wa mwezi sasa maji ni shida, Yanatok mara moja ndani ya siku tatu au nne, lakini cha ajabu sasa eti bili imekuja kubwa mara mbili kuliko kipindi maji yanatoka kila siku Naomba nitume meseji ifuatayo kwa uongozi wa DAWASA...
  15. JamiiForums Tanzania Niwatahadhirishe watawala wetu kuwa uamuzi wenu wa kuwaondoa wamachinga na kuwaacha "solemba" ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu

    Serikali hii hii iliyokuwa ikiwalea na kuwaacha wamachinga wafanye watakavyo bila kuzingatia taratibu za miji, ndiyo hiyo hiyo imewafukuza na kuwavunjia vibanda vyao, bila kujali kuwa watafanya wapi shughuli zao. Siyo siri kuwa ni serikali hii hii ya CCM ndiyo iliyowalea wamachinga na kuwafanya...
  16. J

    JamiiForums Tanzania RC Makalla: DSM ina upungufu wa Maji wa Lita milioni 70 kwa siku sawa na 26%, Wananchi tumieni maji kwa uangalifu!

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amesema kutokana na kuchelewa kwa mvua za vuli maji katika mto Ruvu yamepungua na kusababisha upungufu wa lita milioni 70 sawa na 26% Makalla amewataka wakazi wa jiji la Dar es salaam kutumia maji kwa uangalifu wakati tukisubiri mvua zitakazojaza mto...
  17. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliwezaje kuwadhibiti wahujumu wa maji na umeme?

    Aliposema biashara ya majenereta iwe mwisho na akata kuona mabwawa yote yawe yamejaa maji iwe kiangazi au mvua iwe kipindi cha ukame , yote yalitekelezeka ndani ya wiki mpaka siku anafariki mabwawa yote yalikuwa full na ziada ilikuwa inasubiri na wenye mifugo waliendelea kunywesha na bwawa la...
  18. JamiiForums Tanzania CCM wameanzisha mgao wa maji na umeme ili kueneza propaganda ya kukataa Katiba Mpya

    Miezi michache iliyopita dai la katiba mpya lilipamba moto. CCM wakaja na hoja kwamba wananchi wanataka maji na umeme na sio katiba mpya. Baada ya kuona hoja ya hitaji la maji na umeme haieleweki hatimaye hangaya kaamuru mgao wa umeme na maji ili kuhalalisha madai yao. Watanzania tambueni huu...
  19. JamiiForums Tanzania Meneja wa bwawa la Mtera akanusha bwawa hilo kupungua maji

    Meneja wa bwawa la Mtera akihojiwa na mwananchi digital amekanusha kuwa bwawa hilo lenye uwezo wa kuzalisha megawatt 80 limepungua maji hivyo kupelekea mgao wa umeme nchini. Meneja huyo amesema bwawa hilo bado lina maji mengi kiasi kwamba hata mvua isiponyesha kwa miezi saba ijayo bado...
  20. JamiiForums Tanzania Huku kwetu Temeke maji ni 24/7, pia na umeme ni 24/7

    Nipo Temeke hapa Maeneo ya Tandika Makaburuni, dumu la maji ni 50 na umeme ni 24/7 Naomba serikali watoe magari yao waje huku wajaze maji na wawasambazie ndugu zetu wa huko pembezoni na mji. Hapa Temeke visima vipo vingi sana maji ni 24/7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…