maji

  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hivi nchi hii kuna watu wanapata maji safi na salama?

    Maji safi na salama ni yale yanayotoka bombani na unaweza ukayanywa na usipate shida yoyote. Haya ni maji ambayo yamechujwa, yamesafishwa na yamekuwa treated. Unayanywa hayana chumvi wala harufu. Huhitaji kuyachemsha wala kuweka water guard. Katika pitapita zangu nchi hii sijawahi ona sehemu...
  2. Replica

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: DAWASA yatoa ratiba ya mgao wa maji Dar es Salaam

    Mamlaka ya maji safi na maji taka Dar es Salaam imetangaza mgao wa maji jiji la Dar es Salaam kanda ya Kinondoni ili kupunguza kero kwenye maeneo yanayotajwa kuwa na msukumo mdogo. Katika ratiba hiyo wakaazi wa Masaki, Mikocheni na Obey wameula, watapata maji saa 24 siku saba za wiki. Baadhi...
  3. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Msemo Fyatu: Kwenye wingi wa maji safi, Mpumbavu Hufa kwa Kiu....Una Ukweli?

    Msemo huu nimeunyambua toka kwa msemo mashuhuri wa Bob Marley kuwa "in the abundance of water a fool is thirsty". Yaani, ukifa kwa kiu wakati unezungukwa na maji safi na salama tatizo ni upumbavu wako...yaani umeshindwa kubuni namna yoyote (hata kulamba kama mbwa) kuyafikisha maji kwenye kanwa...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kuchamba kwa karatasi ni sawa, lakini kuchamba kwa maji ni sawa zaidi

    Kuchamba kwa karatasi ni rahisi sana kwakuwa ni rahisi kutembea kwa urahisi na karatasi/toilet paper au gazeti hata ukiwa safarini, picnic, uwindaji, nk. Makaratasi yanapatika TU lakini maji lazima yawepo mengi ya kuchambia na matumizi mengine. Hata hivyo faida ya kuchamba na maji ni kubwa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tegeta hakuna umeme wala maji, angalau mngetuachia kimojawapo na hili joto la Dar!

    Chonde chonde Dawasa na Tanesco tufanyieni wepesi wateja wenu kwani hali ni tete si umeme wala maji.
  6. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Maji na Umeme imekuwa janga la taifa, Serikali tusaidieni kazi zimesimama vyakula vinaharibika kweye friji

    Serikali Serikali Serikali, mrudisheni Waziri Kalemani haya tunayo yapitia hata kama ni kukarabati, inamaana huu ukarabati ndio utafanya umeme uwe wa bei rahisi au utakuwa na nguvu zaidi ya kawaida au utakuwaje mwenzenu sijaelewa Mboga zote na vyakula kwenye friji tumeanza kuvila ili viishe...
  7. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Jinsi Moto Na Maji Vilivyoamua Hatima Ya Watuhumiwa Nchini Uingereza Katika Karne ya 17

    JINSI MOTO NA MAJI VILIVYOAMUA HATMA YA WATUHUMIWA NCHINI UINGEREZA KATIKA KARNE YA 17 Jinsi wakati unavyozidi kusonga ndivyo mambo mengi yanavyobadilika , maendeleo ya sayansi na teknolojia hali tuliyonayo kwa sasa si kama ilivyokuwa hapo zamani. Sekta nyingi zinabadilika na kuboresha huduma...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi kidato cha 5 na 6 Morogoro Sekondari hawana maji, Wagoma kuingia darasani

    Deni kubwa maji toka Moruwasa limesababisha shule ya sekondari Morogoro kukosa maji. Kwa zaidi ya mwaka sasa wamekuwa wakitumia maji ya kisima kilichochimbwa na taasisi moja ya kiiislam, yenye maji chumvi ambayo hutumika hata Kwa kunywa. RAS Morogoro amuru moja toka Moruwasa litatue tazizo...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo, sipandi Pantoni wala kulipia kwenye hilo daraja

    Haya sasa, watalipia hili daraja wenyewe ila usianguke tu.....
  10. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mgao wa maji Dar, halafu uongeze na jua linavyopiga, wenzetu mnalo

    Ninavyoijua Dar kwa joto, halafu nimeona Watz wanalalamika kuna ongezeko la jua, na sasa kuna hizi taarifa za mgao wa maji, sio ajabu wakazi wake wanaandika vitu vya ajabu humu siku hizi...... ============================== Dar es Salaam. When Willis Mhango secured a deal of washing 20...
  11. Etwege

    JamiiForums Tanzania Nape na Makamba mjue kujaribu kumshusha thamani Hayati Magufuli, ni sawa na kumfuata mamba kwenye kina kirefu cha maji

    Nape Nnauye aliposimama mbele ya bunge na kuhoji matumizi ya mkopo wa Dola bilioni 9 uliokopwa na serikali ya awamu ya tano, Wabunge baadhi waliduwaa na wengine wakagonga meza, walikubali? Hatujui, walikataa? Hatujui? Aliyekuwa Rais wa Awamu ya nne, Jakaya Kikwete aliwahi kusema kwamba...
  12. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Nakukumbusha Waziri Makamba, kama tuliweza kuileta crane yenye tani 70 tushindwaje tani 26?

    Mh Janury Yusuph Makamba nakukumbusha kuwa mwezi March, 28 2021 TPA ilileta Crane yenye uzuto wa Tani 70 ila kwa Bahati mbaya ilitumbukia baharini palepale Bandarini Jijin Dar es salaam, na TPA waliahidi kuwa wanauwezo wa kuitoa, sasa kama TPA walileta mzigo wa Tani 70 iweje useme Tanzania nzima...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Tumeharibu mazingira sasa maji ni shida Kilimanjaro

    Kama hujui ni kwamba mji wa moshi kwa sasa unaongoza kwa kiwango cha joto ambalo kwa sasa limefikia nyuzi joto 36, jua ni kali ile mbaya hii yote ni matunda ya uharibifu wa mazingira. Enzi za utawala wa Mangi Thomas Maraelle kulikuwa na sheria kali katika uhifadhi wa mazingira,watu...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Maji Jordan wenye takriban miaka 2,000 bado unahudumia watu

    Ancient Nabataeans Water Management: The 2,000 year old city of Petra,Jordan, known for its magnificent temples carved into its red sandstone cliffs is also home to an incredible feat of hydraulic engineering. An extensive water supply system turned this ancient city into a man- made oasis...
  15. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Kumaliza/kupunguza tatizo la maji safi Tanzania

    Wote tunafaham kuwa kumekuwa na changamoto ya maji safi ambayo pamoja na juhudi kubwa za Serikali inachukua muda kupata suluhu kwani kila wakipunguza eneo moja kuna eneo lingine linaongezeka kwa upungufu Tatizo 1. Visima/chemchem nyingi zimekauka/zinaendelea kukauka 2. Kuchimba kisima kwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali za CCM miaka 70 ya uhuru zimeweza nini mbona vitu muhimu kama Maji na umeme bado shida kuu?

    Hawa jamaa wa CCM wanapenda kutawala kupita kiasi, lakini performance yao ni ndogo kupita maelezo Huwa wanapenda kujilinganisha na chama cha Kikomunisti cha China, lakini wenzao huko China wameshafanikiwa kusolve tatizo la vitu basic kama maji na umeme na sasa wanajiposition kuwa superpower wa...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Ndanda kuna shida ya maji sana

    Habari wakuu, Unapozungumza jimbo la Ndanda, unazungumza Abbasia ya Ndanda, abbasia ya Ndanda imekuwa msaada kwa wakaazi wa jimbo hili la Ndanda, kwenye suala la maji maana wamesupply maji yao wenyewe hadi vijijini. Kutokana na wakazi kuongezeka wanaelemewa sasa, maji yamekuwa shida sana...
  18. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Yajue madhara ya kukanda wazazi kwa maji ya moto

    Wakati wanawake walio wengi wanaamini kukandwa maji ya moto baada ya kujifungua ni tiba, wataalamu wa afya ya uzazi wanaonya kuwa kufanya hivyo kuna madhara zaidi ikilinganishwa na faida ambazo zimekuwa zikiainishwa. Miongoni mwa madhara yanayotajwa ni pamoja na kumsababishia mama maumivu...
  19. LUKAMA

    JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme na maji Moshi

    Tanesco wamezidi sana kuanzia weekend umeme unakatika ikifika saa tatu usiku na unarudi usiku wa manane, watu wengine shughuri zetu tunafanya usiku pia kuna viwanda vinavyofanya kazi hasa kipindi cha usiku Shida nyingine maji yakatika sana hasa mitaa ya KCMC na rau, ivi ninavyo andika hapa Rau...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenye ziara yako huko Misri kuwa makini na ishu ya maji ya ziwa victoria

    Siku zote Misri imekuwa ikidai kuwa ina haki na maji ya mto na nile na chanzo chake kuliko nchi nyingine yoyote ya ukanda wa mto nile. Misri imekuwa ikirejea mkataba wa kikoloni unaoipa Misri share kubwa ya Maji hayo kwa kudai kuwa nchi ambazo mto nile na vyanzo vyake vipo havipaswi kutumia...
Back
Top Bottom