Mtaa wa Karume Morogoro maji hayatoki kwa wiki ya pili sasa

Mwanangikolo

Member
Nov 10, 2022
51
73
Swali kwenu nyinyi mamlaka ya maji mkoa wa Morogoro sijui MORUWASA cjui MWARUWASA, mana me mgeni, kwenye huu mkoa nna mwez wa 2.

Sasa toka nihamie kwenye huu mkoa na mtaa nliopanga nyumba apa Karume tunaenda wik ya 2 sasa maji hayatoki shida ni nini asee mana sasa tunakoelekea mtaaan yatazuka magonjwa ya mlipuko coz kila nyumba unayopta ni harufu ya vinyesi na chemba za vyoo!

Tunahtaji majibu ya haraka na kama ni tatzo la ufundi mlitatue haraka mana hali ni mbaya na wale wa kuwajibika wawajibike asee!

Kweli ule msemo wa mtanikumbuka umeanza kutuingia tunakukumbuka kweli baba Magufuli!

Astalavista
 
Wana Morogoro akili zenu mwazijua wenyewe. Mnachagua mtu ili awe anawapandisha bure mabasi wakati wa kwenda kuzika. Hamtaki watu wa kuwapigania maendeleo yenu.

Analeta mabasi mengine 17 ili mfe kwa wingi afanye zaidi kazi muipendayo kufanyiwa
Ukiwauliza hivi huyu mnaemchagua miaka yote kawafanyia nini maana hata tatizo la maji ni la miaka nenda rudi? Utasikia "huwa anatupatia basi la kubebea watu wakati wa kuzika". Unajiuliza hawa watu nani kawaroga!!!
 
Back
Top Bottom