maji

  1. JamiiForums Tanzania Jumaa Aweso: Maji yapo, umeme upo, ni marufuku kutoa Maji Saa Nane Usiku

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (Mb) amezindua rasmi kampeni ya "Mtaa kwa Mtaa" katika Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA na kuiagiza Mamlaka zote za Maji Nchini kutekeleza kampeni kikamilifu kwa kuwashirikisha wananchi kwa lengo la kusikiliza na kutatua kero za wateja...
  2. JamiiForums Tanzania Huduma ya maji yarejea Kijiji cha Kemakorere, andiko la Mwanachama wa JF lawafikia RUWASA

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa Wakazi wa Kijiji cha Kemakorere, Kata ya Nyarero Wilayani Tarime wana changamoto ya kukosekana kwa huduma ya maji kwa muda wa zaidi ya miezi miwili sasa, hatimaye huduma imerejea. Aidha, Mdau alidai kuwa Ofisi za Wakala wa Maji na usafi...
  3. JamiiForums Tanzania Jamii ihamasike kupeleka misaada ya kibinadamu Ngorongoro ikiwemo chakula, maji na madawa! NGOs na watu binafsi tuanze sasa, wamasai ni ndugu zetu…

    Niende kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zetu Wamasai kwa sasa hofu imetanda; hawalali usingizi tena, hawajui nini kitatokea. Katika hali hiyo, wanalala wima kwa sababu ya hali ya sintofahamu inayowakabili. Nadhani hawalali usingizi tena. Tuhamasishane kupeleka misaada ya chakula, maji, na...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tangu Uhuru, wakazi wa jiji la Dar es Salaam wanarundika ndoo zenye maji ndani

    Katika karne hii ya 21, bado watu wa Dar wanapambana na changamoto za maji, wakihifadhi madumu na mandoo katika hofu ya kukatika kwa huduma hiyo muhimu. Hali hii inatia huzuni, kwani hata mvua inyeshapo, maji hayapatikani kwa masaa 24 kwa wiki. Tukilinganisha na nchi kama China, yenye watu 1.3...
  5. JamiiForums Tanzania Ni kweli uchawi hauwezi "kuvuka" maji?

    Kipindi fulani, nikiwa ninafanyia shughuli zangu maeneo ya machimbo ya dhahabu, nilifahamiana na kijana mmoja kutoka mkoani Kigoma. Alikuwa anafanya vibarua machimboni. Kuna wakati alinifuata kwa ajili ya kuniomba ushauri. Aliniambia kuwa alikuja machimboni kama njia ya kumtoroka babu yake...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ukosefu wa Maji baadhi ya maeneo ya Tabata

    Ndugu DAWASA na Waziri wa maji, Ninaandika kueleza hasira yangu kuhusu tatizo linaloendelea la ukosefu wa maji katika baadhi ya maeneo ya Tabata Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa hatujawa na maji, na licha ya kupiga simu mara kwa mara kwa laini ya huduma kwa wateja, tumeambiwa kwamba hawana taarifa...
  7. JamiiForums Tanzania Sio Aibu kwa Tanzania Kuagiza Chakula, Sukari, Mafuta ya Kula,Wakati Tuna Ardhi na Vyanzo Lukuki vya Maji? BigUP Sana Awamu6 Kusisimua Kilimo kwa BBT!

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala elimishi za kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huwa na swali, jibu utatoa mwenyewe, swali la leo, hivi sio aibu sana kwa nchi yetu Tanzania kuagiza chakula kama mchele, ngano, sukari na mafuta...
  8. JamiiForums Tanzania Ongezeka la wanawake wasiopenda kuoga maji baridi inatisha hasa hawa GenZ

    Naomba niseme tu bila kificha hawa wanawake hasa mabinti ama wadada wa kizazi cha GenZ baadhi yao na idadi inaongezeka kwa kasi sana ni wavivu wa kuoga hasa maji baridi na wakithubutu wananawa chini tu kwenye samosa. Inaogopesha sana hiki kizazi na pia hawa GenZ wengi ni wabovu wa vifua wengi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba agiza gari la maji limwagie uwanjani. Vumbi litawaumiza mashabiki wa Singida big stars.

    Vumbi limetawala hapo Namfua Stadium. Misomisondo amefunika ila tatizo vumbi la Singida. Mwageni maji basi.
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Tinga Tinga (Longido) hatuna Maji miaka mingi. Ajabu Serikali inaleta miradi ambayo haikamiliki, TAKUKURU mko wapi?

    Mimi ni Kijana wa Jamii ya Kimasai kutoka Longido, Kata ya Tinga Tinga, naomba malalamiko haya wa Wananchi yamfikie Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda. Kata yetu inashida ya maji tangu enzi na enzi japo tuko karibu sana na vyanzo vingi vya maji, pia Serikali imekuwa ikileta miradi mbalimbali...
  11. JamiiForums Tanzania Kuku na ndege wengine wanatumia hisia gani kutambua maji?

    Nimegundua ndege wengi hawaoni kioo, ukitenga kioo mbele ya ndege wengi hua wanajigonga kwenye kioo ishara kwamba hua hawaoni kama kuna kitu mbele yao. Nadhani ni kwa kuwa kioo ni transparent ambao ni muonekano yalionayo maji(pure water). Je ndege wanatambuaje kwamba ulichowatengea mbele yao...
  12. JamiiForums Tanzania Uwekaji wa tank la maji

    Habari wadau Nataka kuweka tank juu la 3000 lita liingize maji ndani sababu maji ys dawasa hayaeleweki yaani kutoka siku tatu mfululizo ni bahati kwahyo ikitokea hakuna ni mwendo wa kutoka na ndoo nje kuchota kwenye tank Je tank likiwa juu presha ya maji inakuwa nzuri kutumia kama kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Aibu kubwa: Mkuu wa nchi yupo Morogoro yenye shida ya maji kila kona. Lakini hajatamka neno moja juu ya mradi wa Kidunda

    Hii ni dhahiri kuwa hayupo serious na maisha ya wananchi. Zaidi ya kampeni za chinichini alizoanza kwa kulaghai wananchi ili wajazane kila anapopita. Mradi wa Kidunda una umuhimu sana kutatua shida za maji kwa mkoa wa Morogoro. Nilitegemea kiongozi makini aombe msamaha kwa kutotekeleza mradi...
  14. P

    JamiiForums Tanzania HIVI RAIS ANAJUA KAMA KUNA SHIDA YA MAJI DAR?

    Katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii ya wananchi serikali ina husika moja kwa moja kuhakikisha watu/wananchi wake wanapata maendeleo endelevu. Huku wananchi tukiwa tunajitutumua kuhakikisha tunaishi vizuri, ni vyema serikali nayo ikatoa kwa ubora huduma za msingi kwa wananchi wake...
  15. JamiiForums Tanzania Fun Fact: Tanzania ndiyo nchi pekee ya Afrika inayomwaga maji yake kwenye bahari tatu

  16. JamiiForums Tanzania DAWASA yasema imewaunganishia Huduma ya Maji Wakazi 1420 wapya

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inaendelea na zoezi la kugawa vifaa vya maunganisho mapya ya huduma ya Majisafi kwa jumla ya wateja walioomba huduma ndani ya eneo la kihuduma la DAWASA ambalo ni Mikoa ya Pwani na Dar es salaam. Zoezi hilo limeendelea katika...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu kugombea urais 2025 ni kutwanga maji kwenye kinu na kuwanyima haki Watanzania wapenda mabadiliko

    Mwaka 2020 alizurura na kundi kubwa na mlinzi mwenye mishale kama anaenda kuwinda swala. Hakuna cha maana alichokisema kwa Watanganyika zaidi ya kuwa na jazba ya kupigwa masasi Tanganyika inahitaji mabadiliko sio drama za kisiasa. Ufisadi umetamalaki, upendeleo, na ubwela. Taifa hili...
  18. JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa maji vyoo vya uwanja wa ndege Dar, dharura kama hizo hutokea nchini tu?

    "Dudubaya" alalamika baada ya kukosa maji kwenye vyoo vya uwanja wa ndege Dar Es Salaam. Kama kuna mtu mwenye taarifa ya nchi zingine zenye viwanja vya ndege vya Kimataifa vilivyowahi kupata dharura ya maji amwelimishe "Dudubaya" ili apunguze lawama! Ajue kuwa hiyo ilikuwa ni dharura tu.
  19. JamiiForums Tanzania Umewahi kuuziwa maji ya Bomba dukani?

    Hii tabia kuna mtu ameshakutana nayo? Unaenda dukani kununua maji makubwa unapewa ila ukifika nyumbani wakati wa kufungua unagundua hakuna seal 1. Nikiwa Mgahawa fulani nje ya mji niliagiza maji makubwa ya baridi,nikaletewa ila yana ladha ya ajabu japo yalikuwa na seal ( 2. Nilinunua duka la...
  20. JamiiForums Tanzania Morogoro: Waziri wa Maji Jumaa Aweso awaumbua mamlaka ya maji Morogoro, tangu mwezi February hawajaweka dawa ya kutibu maji katika matenki yao

    Hii kwa kweli inashangaza, tangu mwezi February mwaka 2024, jamaa wanasambaza maji kwa wananchi yakiwa hayajatibiwa (treated). Kwa hiyo kwa muda wote wananchi wamekuwa wakinywa maji yenye vimelea vya magonjwa. Si ajabu mkoa wa Morogoro una maambukizi makubwa sana ya magonjwa ya matumbo, hasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…