maji

  1. JamiiForums Tanzania KERO DAWASA wanatoa maji usiku pekee

    Ebana kipindi cha hivi karibuni nimejikuta nimemaliza mwezi mzima bila kuona kina mama wengi wa mtaa wa pili wakipita wamebeba maji, nikahisi labda wamejiunga na DAWASA. Ebana kumbe sio, ni kwamba dawasa sasa hivi wanatoa maji usiku wa manane , sijajua kama ni maeneo yote au laa na by saa 12...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Mwezi wa 4 hatuna maji Kishiri - Mwanza, tunanunua dumu Sh 1,000, tunapewa sababu zisizoeleweka

    Mtaa wa Mayengela uliopo eneo la Kishiri-Igoma, Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza tuna kero yetu ambayo imekosa ufumbuzi kwa miezi kadhaa sasa. Tangu Machi 2026 hadi sasa hivi Agosti 2026 ni takriban miezi minne kamili, Mtaa wetu wa Mayengela hauna huduma ya maji safi kabisa, Wananchi tunapitia...
  3. JamiiForums Tanzania Yale maji ndani ya nazi nani kayaweka?

    Wakuu ukipasua nazi mle ndani unakuta mna maji nani kayaweka?
  4. L

    JamiiForums Tanzania KERO HII BADO IPO, Bomba la Maji Linavuja tangu May Oleiron Mwanama Arusha.Taarifa zimetokewa Kwa wahusika tangu May.Hakuna hatua

    Kero ya Bomba la Maji kuvuja Oleiron Mwanama Reli Arusha tangu March haijafanyiwa kazi. AUWSA wanapoteza Maji na mapato lakini hakuna anayejali. Barabara imaharibiwa vibaya na Maji hayo,TARURA nao kimya.Uwajibikaji uko wapi siku hizi. Waziri wa Maji na Tamisemi ingilieni kati.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mliambiwa kuwa ujana ni maji ya moto? Sidhani. Soma kitabu hiki kujua kwa nini sio kweli

    Ndani ya kitabu hiki kilichosheheni ujuzi kuhusu ujana na ndoa, hakika utapata kuyajua mengi ambayo pengine awali ulitilia shaka, au hukuwa na hakika nayo. Kwa maelezo ya ziada karibuni DM
  6. R

    JamiiForums Tanzania KERO Kilio cha Wanafunzi UDOM: Ukosefu wa maji umezidi na hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa (ni zaidi ya siku5 sasa)

    Ukosefu wa maji katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) umeendelea kuwa kero kubwa kwa wanafunzi. Tunalazimika kutumia muda mwingi kusaka maji badala ya kusoma kwaajili ya UE na mitihani mingine, huku wengine wakikosa kuoga, kufua na hata kupata maji ya ziada. Inasikitisha kuona tatizo hili...
  7. JamiiForums Tanzania Kauli ya NCHIMBI, "Rais yuko tayari KATIBA Mpya" alimaanisha, Matukio ya Utekaji,Mauaji Oktoba 29 , LISSU, ni Maji ya Shingo kwa Samia !!

    Wakuu nawaambia Jambo Moja kabisa la UHAKIKA bila mbambamba. SAMIA na Genge lake, wajifarague vipi, waruke, wake, wasimame ,wakimbie, wapae, yaan Hizo zote ni mbwembweeena HAZIWASAIDIII KITU CHOCHOTE. Ukweli ni kua, Mbinyo wa KIMATAIFA Uliopo kwa Samia ,ambao nayeye anaujua na Washirika...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wahamiaji 14 wafa maji kisiwa cha Mafia

    Wahamiaji wasiopungua 14 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Burundi na Visiwa vya Comoro wamefariki dunia, huku wengine 22 wakiokolewa baada ya boti yao kuharibika karibu na Kisiwa cha Mafia nchini Tanzania, afisa wa eneo hilo alisema Jumamosi. Mkuu wa Wilaya ya Mafia, Aziza Mangosongo...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya maji Mtwara wanachelewesha kuunganishia huduma ya maji Wananchi hata kama tayari umelipia gharama

    Mamlaka ya maji safi Mtwara Mjini (MTUWASA) nimelipia gharama za kuunganishiwa huduma ya maji tangu mwezi wa nne mwaka huu wa 2026 hadi sasa hawajaniunganishia huduma ya maji na ukiwapigia simu wanakwambia tu subiri ila hawasemi lini. Kata ya Mtawanya, Mtaa wa Mangamba.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Toboa Kisima upate maji ya uhakika

    KWANINI VISIMA VINGI VINAKAUKA KIPINDI CHA KIANGAZI? ☀️🍂 Watu wengi wanachimba visima bila kufanya utafiti wa kina wa maji chini ya ardhi (Geological Survey). Matokeo yake, wakifika kiangazi, maji yanapungua au kukatika kabisa. Sisi tunatumia mitambo ya kisasa kupima na kubaini penye vyanzo...
  11. JamiiForums Tanzania Madhara ya kutokunywa maji

    Kutokunywa maji ya kutosha kunaweza kusababisha madhara kadhaa mwilini: Madhara ya haraka (upungufu mdogo hadi wa kati) Kiu kali na kinywa kukauka Uchovu na kukosa nguvu Kizunguzungu na maumivu ya kichwa Mkojo kuwa na rangi ya njano iliyokolea na harufu kali Kupungua kwa umakini na uwezo wa...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaotembeza vitumbua, karanga, kahawa maji ya kandoro na mifuko watakiwa kuanza kulipa ushuru

    Mtu aliyejitambulisha kuwa Afisa wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam amesikika akitoa tangazo kwa kutumia kipaza sauti katika Soko la Ilala Boma na Karume akiwataka wauzaji wanaotembeza vitumbua, karanga, kahawa na mifuko kuanza rasmi kulipa ushuru kila siku. Kwa mujibu wa tangazo hilo...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kilimo cha Umwagiliaji, Lumuma - Mpwapwa kina wakati mgumu, kivuko cha kusafirisha maji kimeharibika

    Kero yangu ni kwamba tunanyanyasika sana Wakulima wa kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Lumuma Mafene Mpwapwa, kivuko cha kusafirisha maji kwenda kumwagilia mazao kimeharibika huu ni mwaka wa nne lakini Wizara ya Kilimo hata kututembelea na kutupa msaada hakuna, sasa nashindwa kuelewa nini kauli...
  14. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Dodoma mjini Mtaa wa Chinyoya karibu na Mtaa wa Uzunguni, kina sqm 800 na kina Hati, Maji na umeme vipo vyote

    Habarini wakuu, kiwanja kinauzwa Dodoma Mjini mtaa wa Chinyoya uliopo karibu na Uzunguni kina ukubwa wa Sqm 800 pia kina Hati, Huduma za maji na umeme zipo zote kwenye kiwanja kwahiyo ukinunua huna haja ya kuvuta umeme wala kuunganisha maji..... Bei yake ni 60M kama ukihitaji nicheki Dm tuongee.
  15. JamiiForums Tanzania Leo majangwa yana badilishwa kuwa misitu ,lakini Tanzania imeshindwa kutumia maziwa yaliyomo maji yake kuwa mkombozi wa maji wakati yanarudi kule kule

    Ni aibu sana kwa kila jambo wanafafanua kisocho eleweka. Hapa nauliza maana naona kuna project saudia wanataka kufuta jangwa na china wamesha weza sasa maeneo mengi. Hapa kwetu tanzania tuna vyanzo vya maji vinapeleka ziwani ila tumeshindwa kuchukua ziwani kupeleka sehemu maji ni shida...
  16. S

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi mnakaa siku kadhaa maji hayatoki yakija kutoka ni maji yenye chumvi ndani yake na imeshakuwa mazoea sasa

    M ninaenda Moja Kwa Moja kwenye mada ni hali ya kawaida sana Kwa sisi watanzania hususani wa hapa Dar miaka na miaka toka enzi za Nuwa Hadi sasa dawasco kuwaamini wao katika kutupatia maji safi na salama Kwa matumizi mbalimbali kubwa likiwa ni ugidaji wa maji hayo tena bila ya kuyachemsha hiyo...
  17. JamiiForums Tanzania KWELI Wachezaji huwa na utaratibu wa kukaa kwenye maji ya barafu, husaidia uponaji wa haraka

    Wakuu nimekutana na hili jambo huko mtandaoni, na mimi pia nimekuwa nikijiuliza swali hili kwa muda mrefu naomba mtusaidie. "Naomba kuuliza wadau,,wachezaji na wanamitindo kukaa katika maji ya barafu husaidia nini?"
  18. T

    JamiiForums Tanzania HOJA DAWASA kuleta maji usiku wa Manane huwa mna maana gani?

    Habari wakuu, Mimi ni Mkazi wa Sinza-Bamaga lakini katika mambo yamekuwa yakitukera sisi wakazi ni suala la DAWASA kuachia maji saa saba usiku au saa nane muda mwingine saa tisa, mara nyingi nimekuwa nikijiuliza hivi hawa DAWASA wanadhani wananchi muda huo tunakuwa Doria? Kwanini wasifungulie...
  19. JamiiForums Tanzania Kama usaliti usingekuwepo duniani basi maji yasingetumika kumpika samaki

    Samaki anakua kwenye maji tangu mdogo na ayo ayo maji yanatumika kumpika ,Maana yangu nini usimuamini kila mtu wengi wanaouza faili zetu ni wale tunaowaamini
  20. JamiiForums Tanzania Ninapokuwa na Mawazo, chupa ya maji inageuka bia

    Kama ilivyo kwa binadamu wenzangu wengine Kuna wakati napitia msongo mkali wa kimawazo nakuwa na hamu sana ya kunywa bia kwa lengo la kujisahaulisha na shida. Ila nikifiria madhara yake hasa magonjwa ya Figo, kufilisika matatizo, kugombana na ndugu, wazazi, mke n.k naamua kutafuta tu hobbies...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…