Serikali kupitia Wizara ya Maji imekamilisha ujenzi mradi mkubwa wa Maji wenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 1, huku Wananchi 14074 wa Vijiji vitatu vya Baluli, Mwabuma na Mwashata, Kata ya Mwabuma, Wilayani Meatu Mkoani Simiyu wakinufaika na mradi huo, ambao unatajwa utaondoa changamoto...