Majengo ya Biashara ya shirika la nyumba Tanzania(NHC)

BintiTee

New Member
Mar 3, 2022
3
1
Habari wa JF
Poleni na majukumu
Naomba kujuzwa kwa yeyote anayefahamu,hivi mtu binafsi anaweza kumiliki hizi nyumba za biashara kama frame kutoka NHC na kupangishia wengine kama mmiliki moja kwa moja au ni lazima zibaki kwa shirika na wewe unakuwa tuu kama middle man.
Asante kwa kufahamishwa
Wasalaam!
 
Back
Top Bottom