majengo

  1. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Changamoto Kuu 2 za Majengo ya Kupangisha hapa Tanzania

    Falsafa ya kujenga utajiri kupitia kipato endelevu ndiyo imeonekana kuwa ni falsafa ya kweli kwa zaidi ya miaka 100 iliyopita. Falsafa hii inafaa zaidi kuitumia kujenga utajiri ukilinganisha na ile falsafa ya kutengeneza faida. Zipo njia nyingi za kutengeneza kipato endelevu kwenye uwekezaji wa...
  2. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kutega Bahati Kwenye Uwekezaji Wa Viwanja, Mashamba Na Majengo

    “Generally, real estate is cyclical. You have to buy in a way that lets you afford the cycles. And you have to know where you are in the cycle.” Charles Brown Kukaa na kusubiri soko ya ardhi na nyumba ziwe vizuri, ni kujipotezea muda wako wa thamani. Wala huwezi kupiga hatua kwa kusubiri...
  3. Ritz

    JamiiForums Tanzania BBC inathibitisha kuwa ISRAEL inaweka silaha katika majengo ya raia!

    Wanaukumbi. Naona vyombo vya habari ambavyo vilikuwa vinasambaza propaganda za Israel vimeona vinakwenda kuabika mbele ya dunia kwenye hili sakata la SHIFA HOSPITAL BBC, FOX NEWS waliogozana na Jeshi la Israel hadi Hospital lakini wakapewa masharti sehemu za kufika na kuchukua picha...
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha: Hali ya miundombinu baadhi ya majengo Hospitali ya Mnazi Mmoja, Unguja, Zanzibar

    Awali niliona uzi humu JF kuhusu Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja iliyopo Unguja, Zanzibar, sikuamini kama ni kweli, lakini juzi(Novemba 13, 2023) nilifika hospitalini hapo ukweli ni kuwa hali ya miundombinu katika baadhi ya maeneo si nzuri. Nilishindwa kupiga picha lakini miundombinu mingi haipo...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Israel yakamata majengo yote yaliyokua yanatumiwa kama makao ya serikali ya HAMAS

    Hawa mazombi walikua na serikali kabisa ikiwemo makao makuu ya polisi, ila wamepoteza kila kitu sasa wamekusanyika kwenye hospitali ndio kete yao ya mwisho, na huko huko Israel imesema inapiga tu hamna nini wala nini.... ==================== The IDF on Tuesday announced that it had captured a...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mnaoiua Chato kwa kuelekeza hata majengo ya umma yasitumike mnamkomoa JPM au mnawakomoa Watanzania?

    Ofisi Nyingi za serikali zilizokamilika hazina watumishi badala yake watumishi wamerundikana kwenye ofisi zao za zamani wakisubiri hadi waelekezwe kuhamia. Taasisi za fedha zimehamisha watendaji huku hospitali ikitelekezwa kwa kukosa wataalam . Uwanja wa ndege unaoweza kuhudumia abiria wa...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania China yaipa Zimbabwe zawadi ya Majengo ya Bunge

    Taarifa ya Serikali imesema Jengo la Ghorofa 6 lina Ofisi wakati lenye Ghorofa 4 lina Ukumbi wa Vikao vya Bunge na Seneti. Thamani ya majengo yote ni Tsh. Bilioni 250 ambayo yamejengwa kwenye eneo la Mita za Mraba 33,000. Katika miongo miwili iliyopita, Zimbabwe imekuwa ikiegemea katika Misaada...
  8. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Msingi Namba 1 Kwa Yeyote Anayeanza Kuwekeza Kwenye Ardhi Au Majengo

    Utangulizi. Kuanza kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo imekuwa ni safari ndefu sana. Kwa wengine, imekuwa ni safari ya miaka mitatu. Kwa wengine, imekuwa safari ya miaka mitano. Na wengine huchukua miaka kumi (10). Ndiyo, hicho ni kipindi ambacho mtu hujiandaa kuanza umiliki wa ardhi au...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Mapicha: Majengo ya Gaza yamebaki magofu, yaani ghost town, jamani HAMAS waliwaza nini

    Hadi nimeogopa, Israel kwa kweli sio ya kuchokozwa, kha! Yaani wakazi wa Palestina wataikumbuka hii miaka 100 ijayo, jinsi walivyoponzwa na magaidi ya kidini. Na hapo bado wanasema kuna operesheni, wajuvi wa mambo mtujuze nini kingine kimebaki cha kupigwa hapa...Hadi misikiti imesambaratishwa...
  10. C

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kijiji kizima chafutwa kwa tetemeko la ardhi nchini Morocco isipokuwa majengo mawili tu ya Msikiti

    Tetemeko la aridhi nchini Morroco limeua zaidi ya watu 5000, kuna kijiji kimoja cha mlimani chote kimefutwa na tetemeko isipo kua majengo mawili tu, hayo majengo mawili ni msikiti wa kijiji na nyumba ya huyu alio jenga huo msikiti, hiivi hili lina uhusiano wote na Imani au ni ecological force...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Moscow hakulaliki, drones za Ukraine zimeshambulia majengo usiku

    Supapawa anaendelea kupokea mapigo.... The Russian capital was once again attacked by drones on the night of 21-22 August, with a high-rise building and cars damaged in the city of Krasnogorsk, Moscow Oblast. Russian news agency Astra on Telegram; Russian Telegram channel Baza; Russian...
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Ukraine wanajipigia tu majengo ya Moscow ndani, wapiga jengo lingine

    Ukraine wanafanya majaribio ya drones walizotengeneza, na sasa imekua mwendo wa kuchagua jengo lipi la kupiga Urusi, tena kwenye mji mkuu, ni mwendo wa madogo kubonyeza bonyeza tu...... Supapawa alisema akiguswa ndani ya Urusi atatumia manyuklia, tunamsklizia.....maana hana kete nyingine, katuma...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda, Uongozi wa Bodi ya Huduma za Maktaba msifanye Ujenzi tu, badala yake Mjikite katika ununuzi vitabu

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameutaka uongozi wa Bodi ya Huduma za Maktaba kutoendelea na ujenzi wa majengo na badala yake wajikite katika ununuzi vitabu mbalimbali vya maktaba. Prof. Mkenda ametoa agizo hilo Julai 28, 2023 Jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kodi ya majengo ya ghorofa ni dhulma, haikubaliki

    Mimi nina Kajumba kangu huku uswahilini, kwa sababu ya ufinyu wa eneo nilijiongeza nikawekwa kaghorofa. Sasa serikali inanitaka nilipe elfu 15 kila mwezi. Yupo jirani yangu aliwanunua watu na kupata eneo kubwa, kuliwekea Uzio na kushusha mjengo wa kisasa wa nguvu. Thamani ya jengo la jirani...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Miaka 60+ ya Uhuru Tanzania haina makampuni ya kizawa ya kujenga majengo; Tunategemea Wachina!

    Kwanini tumedumaa sana na kujitengenezea mentality yakufanyiwa? Tunashindwa nini kuweka kwenye sera zetu kwamba ujenzi wa majengo Tanzania utafanywa na makampuni ya wazawa? Hata kama watataka kutafuta wageni kama engineer iwe ruksa ila tenda wapewe kampuni za ndani. Kweli tunakwenda kukopa nje...
  16. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ongezeko dogo katika kodi ya majengo (property tax)

    Taken somewhere !
  17. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania TRA: Taarifa kuhusu Mabadiliko ya Viwango vya Kodi ya Majengo inayotozwa kupitia ununuaji wa umeme

  18. Omra27

    JamiiForums Tanzania Huduma majengo ya Serikali ni mbaya na yanaendeshwa kwa hasara

    Sidhani kama Serikali imelenga kufanya biashara kwenye miradi yake hasa majengo yake. Mfano jengo la NHC HOUSE posta wameweka gharama kubwa sana kwa wapangaji ama wafanyabiashara kiasi kwamba jengo hili ofisi nyingi hazina watu. Nafikiri serikali ingefanya mapitio kwenye ofisi zake kutazama...
  19. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Jiunge Na Familia Ya Zaidi Ya Watu 750 Inayojadili Mambo Ya Ardhi Na Majengo BURE.

    Tumekuwa na masomo mazuri kuhusu uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Tumekuwa na mijadala ya motomoto kuhusu uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Tupo watu wa makundi tofauti tofauti kutoka mikoa tofauti tofauti. ✓ Wapo mawakili wazoefu humu kundini, ✓ Wapo wachoraji wa ramani nzuri za...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Drones zapiga majengo ndani ya Moscow, twende hivi hivi

    Hii picha inaonyesha namna jengo limepigwa japo Warusi wanajigamba kwamba sio issue kubwa, yaani wamepigwa mjini kati na kataifa kadogo hapo jirani, supapawa hoyeee!!! A damaged building following a reported drone attack in Moscow, Russia, July 24, 2023. CNN — Ukrainian drones struck two...
Back
Top Bottom