majengo

  1. U

    JamiiForums Tanzania Magaidi 5 raia wa Israel wanaohusishwa na ISIS wakamatwa. Walipanga kulipua majengo marefu zaidi ya kibiashara Tel Aviv's Azrieli Mall

    Wadau hamjamboni nyote? Magaidi watano wenye uraia wa Israel na asili ya kiarabu wamenaswa wakipanga kulipua majengo makubwa zaidi ya kibiashara jijini Tel Aviv Yasemekana mpango huo haramu.ambaomkama ungefanikiwa ungeleta madhara maafa makubwa walifadhiliwa na magaidi wa kundi hatari la...
  2. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania NHC: Ujenzi wote wa Nyumba za makazi na Ofisi za Umma ziwe kazi za na mali za milele ya Tanzania National Housing Corporation

    U hali gani Tanzania ! Naomba niweke mchango wangu wa mawazo hapa Jamii Forums. Napenda kuweka wazo rasmi kwa National Housing Corporation (NHC) kuwa ipewe umakini, umuhimu na umaanani katika ujenzi wa nyumba zote za Makazi na Majengo ya Umma hapa nchini yaani isitokee Raia yoyote afanye...
  3. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Njia 10 za Kuongeza Kiasi cha Kodi ya Majengo ya Kukodisha

    Njia 10 za Kuongeza Kiasi cha Kodi ya Majengo ya Kukodisha Majengo ya kukodisha ni mojawapo ya njia bora za kuingiza kipato cha muda mrefu na endelevu. Hata hivyo, ili kuongeza kipato kutoka kwa mali yako, unahitaji kutumia mbinu mbalimbali za kuboresha thamani ya jengo lako na kufanya...
  4. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Unahitaji Mastermind Group Ili Uweze Kupiga Hatua Kubwa Kwenye Uwekezaji Wa Ardhi au Majengo

    Kwanini Unahitaji Mastermind Group Ili Uweze Kupiga Hatua Kubwa Kwenye Uwekezaji Wa Ardhi au Majengo Katika safari ya uwekezaji kwenye majengo, kuwa na Mastermind Group ni muhimu sana kwa sababu ya faida nyingi ambazo kundi hili linaweza kuleta. Mastermind Group ni kundi la watu wenye malengo...
  5. Mkenye Mkuu

    JamiiForums Tanzania Ni vitu gani vya kuzingatia unapoanzisha kampuni ya Usanifu Majengo?

    Kama mada inavyoijieleza hapo juu, ningependa kuwauliza wanaJF ni vitu/mambo yapi ya kuzingatia unapotaka kuanzisha kampuni ya usanifu majengo(Architects)? Napitia comments kwa maoni, ushauri na majibu ya swali nililouliza, Ahsanteni.
  6. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Sehemu 10 Unazoweza Kupata Maarifa Sahihi Kuhusu Kutengeneza Fedha Kwenye Ardhi Na Majengo

    Kabla ya kuwekeza fedha zako kwenye ardhi na majengo, ni muhimu kupata maarifa sahihi kwa sababu kadhaa. Kwanza, maarifa haya yatakusaidia kuelewa hali halisi ya soko la ardhi na majengo, ikiwa ni pamoja na bei, mahitaji, na mitindo ya uwekezaji inayofaa. Bila uelewa huu, unaweza kupoteza...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi: Majengo ya Kituo cha Afya yaliyotelekezwa Mkuranga sio yetu, iulizwe taasisi iliyohusika

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai majengo ya Hospitali yaliyopo Kijiji cha Hoyoyo, Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani yametelekezwa licha ya kukamilika kwa ujenzi na kuwa Wananchi wanalazimika kwenda umbali wa Kilometa 7 kupata huduma ya afya, ufafanuzi umetolewa. Kusoma hoja ya Mdau...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kodi ya majengo kupitia luku iliyoletwa kinyemela, imeondolewa kinyemela!!

    Salaam, Shalom!! Lile ongezeko la TSH 500 lililoletwa kinyemela miezi miwili iliyopita, imeondolewa kinyemela kimya kimya bila taarifa yoyote. Ikumbukwe kuwa, ongezeko hili halikuletwa kupitia Utaratibu wowote kisheria, baada ya kelele na malalamiko mengi Toka Kwa wananchi, imeondolewa bila...
  9. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Majengo ya Hospitali (Mkuranga) yametelekezwa huu Mwaka wa 10 sasa, Wananchi tunaseka kupata huduma mbali

    Mimi ni Mwanakijiji wa Hoyoyo, kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani, miaka kadhaa nyuma tulipata ugeni wa kutembelewa na Mke wa Rais Kikwete, Salma Kikwete wakati huo JK akiwa bado yupo madarakani. Mgeni wetu huyo akatoa ushauri kuwa kama tuna maeneo tufanye mchakato wa kujenga Hospitali...
  10. EddyArt

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu ninaombeni zabuni ya sanaa ya uchoraji picha za ukutani kwa majengo ya kisasa

    Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye kipaji cha uchoraji picha halisi ya kitu au mtu yeyote aina ya MONOKROMU ukubwa kuanzia A0,A1,A2,A3,A4 na A5. Ni ombi langu kupokea kazi kubwa na ndogo za uchoraji kwani ninafanya kazi kwa bei nafuu kwa kumjali mteja. Nikiwa kama kijana ambaye sina ajira...
  11. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Lipi bora, kukodisha majengo dhidi ya kuuza majengo, nini cha kuzingatia?

    Utangulizi Uamuzi wa kukodisha au kuuza majengo ni muhimu kwa wawekezaji na wamiliki wa mali isiyohamishika. Kila chaguo lina faida na changamoto zake. Makala hii itachunguza kwa kina mambo muhimu ya kuzingatia unapochagua kati ya kukodisha au kuuza majengo. Tutaangalia masuala ya kifedha...
  12. David 97

    JamiiForums Tanzania Ramani za majengo

    Tunachora ramani za majengo kwa gharama nafuu mno kuanzia 130,000/= na kuendelea. Hii ni kwa mikoa yote. Tupigie au WhatsApp 0759009331 Masaa 24 siku 7 za juma.
  13. David 97

    JamiiForums Tanzania Ramani za majengo

    Tunachora ramani za majengo kwa gharama nafuu mno kuanzia 130,000/= na kuendelea. Hii ni kwa mikoa yote. Tupigie au WhatsApp 0759009331 Masaa 24 siku 7 za juma.
  14. David 97

    JamiiForums Tanzania Ramani za majengo.

    Tunaandaa na kuuza ramani za majengo kwa gharama nafuu sana kuanzia 130,000/= na kuendelea. Ni kwa mikoa yote. Tupigie simu au WhatsApp 0759009331.
  15. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Dondoo Muhimu Kuhusu Kusimamia Na Kumiliki Hosteli Za Kupangisha Kwa Faida

    Utangulizi. Majengo ya hosteli ni miundombinu iliyoundwa maalum kwa ajili ya kutoa makazi kwa wanafunzi. Majengo haya yanaweza kuwa ndani ya kampasi ya chuo au nje kidogo, lakini karibu na chuo. Kwa ujumla, majengo ya hosteli ni sehemu muhimu ya maisha ya wanafunzi wengi, yanayowapa nafasi ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Majengo ni shimo lingine kwa Rais Samia

    Nawasalimu ndugu zangu wapena maendeleo. Hivi karibuni serikali imeamua kurudisha kodi ya MAJENGO kwa halmashauri kwa kigezo cha kuziongezea halmashauri mapato. Ila kwangu mimi Kodi kurudisha Kodi hii halmashauri wakusanyaji wakiwa watendaji wa vijiji italeta vita kubwa sana kwa wananchi wa...
  17. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kuna nchi nyingine inajenga Majengo ya Biashara ya Kibalozi ukitoa Tanazania?

    Majengo ya Biashara ubalozini ni aina ya upigaji hakuna kitu hapo, ni watu wanagawana 10% maisha yanaendelea. Tuulizane Mataifa mengine yanashindwa kujenga majengo ya Vitega uchumi kwenye balozi zao?; Uwezo wanao ila hawafanyi hivyo kwa sababu sio malengo yao. Malengo yao ni kusaidia Raia wao...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Msanifu majengo aliyekataa kulipwa kwa kupanua misikiti miwili mitakatifu

    Mohamed Kamal Ismail alikuwa mmoja wa watu muhimu nyuma ya upanuzi mkubwa wa misikiti miwili mitakatifu nchini Saudi Arabia. Msanifu majengo wa Misri, aliyezaliwa mwaka 1908, alichaguliwa na Mfalme Fahd wa Saudi Arabia kusimamia upanuzi wa Masjid al- Haram (Msikiti Mkuu wa Makka) na Masjid an-...
  19. T

    JamiiForums Tanzania China yahitimisha kubadilisha majengo ya misikiti kutoka mtindo wa Kiarabu na kufuata mtindo wa Kichina

    Mwaka 2018 China ilitangaza kuyabomoa majengo yote ya kidini yenye usanifu wa tamaduni nyingine na kuyajenga kwa kufuata majengo ya Tamaduni za Kichina. Katika waraka huo wa mpango mkakati wa miaka 5, China ilisema itabomoa majengo mengi ya kidini ya mtindo wa Kiarabu ama mtindo mwingine usio...
  20. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania SoC04 Jeshi la Zimamoto na uokoaji lipatiwe vifaa vya kisasa ili kukabiliana na majanga ya moto katika misitu,maeneo yasiyo fikika na majengo marefu

    UTANGULIZI. Majanga ya moto ni miongoni mwa majanga ambayo hayatabiriki na huleta athari kubwa sana katika jamii kama vile watu kupoteza maisha na mali,kwa Tanzania majanga mengi ya moto yamekuwa yakileta maafa makubwa kipindi yanapotokea hii nikutokana na sababu mbalimbali ikiwepo ukosefu wa...
Back
Top Bottom