Sijui kama hili limekaa kitaalam sana au kipigaji!
Kwa taarifa za Mamlaka ya hali ya hewa! Baada ya wiki mbili kutakuwa na mvua! Ukipita barabara ya bagamoyo kuanzia eneo la mbezi kuelekea tegeta! Yale majani ya pembezoni mwa barabara wanayakwangua na greda! Kama tunavyojua greda husukuma majani na udogo wote unaenda kujaa kwenye mitaro!
Swali, huu utaratibu wa kufyeka majani na greda ni wa kitaalam? Au tunatengeza kazi nyingine baadae ya kuja kuzibua mitaro?
Naomba Wataalam wa barabara mtuelimishe hilo kabla mitaro hijajaa maji!