majanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Baada ya mabwawa ya Libya kupasuka na kuua watu zaidi ya 11,000, je bwawa gani chakavu litafuatia?

    Gumzo kubwa linaloendelea ulimwenguni baada ya mafuriko ya maji Libya baada ya mabwawa mawili kupasuka, kwa sababu ya uchakavu na kutofanyiwa maintenance na uborejashi. Je, hili linaweza kutokea kwetu Tanzania, tukijua kuwa tuna mabwawa ya muda mrefu sana kama Kidatu na Hale? Ni wakati fika...
  2. Dr Msaka Habari

    Watoaji wa huduma ya majanga na maafa Nchini wametakiwa kutoa elimu Mashuleni

    Taasisi za Serikali na zisizo za Serikali zinazo jihusisha na utoaji wa huduma ya majanga na maafa Nchini wametakiwa kutoa elimu Mashuleni na katika vikundi ili kuepuka majanga mbalimbali yasiendelee kujitokeza Nchini. Katika maadhimisho ya siku ya Ubinadamu Duniani, siku iliyotengwa kwa ajili...
  3. Liverpool VPN

    Wale tunaopokea mishahara ya majanga (midogo) hebu tukutane tupeane mbinu za kuishi..!!!

    INTRODUCTION Salamu sanaa Wana JF, ni Mimi yuleyule Mr. Liverpool A.K.A mkataa ndoa. Hebu twende kwenye mada moja kwa moja. SCENARIO. Umeuona huu mshahara...!!! Huu mshahara unaousoma hapo chini hapo .... 1. Unasomesha watoto wangu wawili private (primary school)..!! 2. Unanipa Flying fish...
  4. NACKO

    SoC03 Tutokomeze majanga ya moto shuleni; Njia bora zaidi

    Ni kwa muda sasa,WATANZANIA tumekuwa tukipitia maumivu makali ya Kupoteza Ndugu zetu wapendwa kwa ajali za moto mara kwa mara mashuleni.. (picha kutoka JAMII FORUM) Lakini je? ni kwanini basi licha ya kutuumiza vikali kiasi hiki,majanga haya bado yameendelea kujirudia mara kwa...
  5. MK254

    Twende mbele turudi nyuma, hili lizee la Wagner kuongoza Urusi ingekua majanga kwa dunia

    Japo binafsi nimeshabikia huo uasi, lakini nisingependa hili lizee la Wagner kutwaa uongozi nchi ile, ni hatari sana, ligaidi tena liuaji lisilokua na huruma mithili ya wale magaidi wa dini. Kuongoza nchi yenye silaha za nyuklia zisizopungua 5,000 aisei mbona tungeona shetani kwa macho. Bora...
  6. Suley2019

    Shoking: South African taps run dry after power shortages

    Amani na utulivu uliyokuwepo karibu na mji mkuu wa Afrika Kusini, Pretoria yatoweka kutokana na kelele za wachimba visima wanaotafuta maji. Kwa sehemu kubwa maji yanasambazwa na umeme, hivyo kukatika kwa umeme kwa muda mrefu kumeathiri sana upatikanaji wa maji sehemu mbalimbali ikiwemo miji ya...
  7. Full 8

    SoC03 Tumejifunza nini katika majanga yaliyotupata?

    Nchi yetu inakumbwa na majanga mbalimbali kila mwaka. Majanga haya yanaweza kuwa ya asili au yasiyo ya asili (artificial). Ukipitia vyombo mbalimbali vya habari kama televisheni, redio au magazeti si ajabu ukakutana na vichwa vya habari vinavyosomeka hivi: “.. watano wamefariki kutokana na...
  8. B

    Hii hali ikiendelea, tutarajie majanga kwenye usafiri wa mabasi yaendayo haraka aka Mwendokasi

    Asalaam Aleykum wana JF wenzangu. Ama baada ya Salamu hizo za upendo, naomba niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Kama Mtanzania Mzalendo kwa nchi yangu (na uzalendo ni pamoja na kuusema ukweli kama ulivyo), nimeona niongelee hii kero ya usafiri wa Mwendokasi (japo nina ukakasi na...
  9. Valencia_UPV

    Kusoma Postgraduate (Master/PhD) UDSM majanga

    Usijichanganye kusoma Masters au PhD UDSM utajuta hizo course za Research sijui Methodology walimu wanabahatisha. Dunia ya Leo imejaa Statistical analysis tools/software Ila mtu kutwa kakomaza fuvu kuelezea historia ya Standard Deviation by Kothari (2004). NB Postgraduate office wao wanajua...
  10. JituMirabaMinne

    TAHADHARI: Oil nyingi za engine za magari mtaani ni majanga

    Hiki kisa kinahusu gari moja aina ya Volkswagen Polo GTI mk5 toleo la mwaka 2012. Gari ina engine ya EA211 1.4TSI twin charge. Hii kazi niliunganishiwa na mtu wa humuhumu ndani japo huyo mtu alidai hanifahamu personally na hatujawahi kufanya kazi ila ameshakutana na post zangu nyingi humu JF...
  11. F

    SoC03 Ushoga, Usagaji na Talaka, wanawake rudini katika misingi ya kulea familiya kama jukumu mlilopewa na Mungu

    UTANGULIZI Ni ukweli usiopingika kwamba, siku hizi majanga ya kuporomoka kwa maadili katika jamii yanaongezeka tena kwa kasi sana. Miongoni mwa majanga haya ni pamoja na Ushoga, Usagaji, kuvunjika kwa ndoa na mengine mengi. Majanga haya ni mambo mabaya sana mblele za Mwenyezi Mungu na hata...
  12. Suley2019

    Kinachoendelea Kenya ni majanga. Tazama Wanajeshi wanavyotumia nguvu kwa Wananchi

    Hali inazidi kuwa tete nchini Kenya, vuguvugu la kisiasa linazidi kushika kasi. Kutokana na maandamano yanayoendelea Polisi/ Wanajeshi wanaonekana kutumia nguvu kubwa kuwadhibiti waandamanaji. Tazama video hapo chini, inaonesha matumizi makubwa ya nguvu na vifaa vya kijeshi pia Kuna Waandishi...
  13. BARD AI

    Kwanini Mkoa wa Kagera unakumbwa na majanga mengi?

    Unaweza kusema ni mkoa unaokumbwa na matukio ya kutisha, pengine kutokana na eneo lake kijiografia na kijiolojia. Huo ni Mkoa wa Kagera, ulio kaskazini magharibi mwa Tanzania, ukipakana na nchi nne ambazo ni Burundi, Rwanda, Uganda na Kenya kutoka Ziwa Victoria. Mkoa huo umekumbwa na vita kati...
  14. NetMaster

    Poteza simu/ Laptop unaweza kununua nyingine lakini mafaili binafsi yakipotea imeisha hio! Tupeane mbinu za kutunza copy za mafaili tukwepe majanga

    Wanasemaga huwezi kujua thamani ya kitu mpaka kipotee, ukiwa nacho waweza kukichukulia poa lakini kipotee sasa, tena kiwe na attachment yako ya maisha yako, historia, mali zako, elimu, n.k. Binafsi nkumbuka kuna siku nimeenda jengo flani nikapaki gari huku nimeacha laptop, ile narudi nakuta...
  15. B

    Mjema asisitiza elimu ya kutunza mazingira kwa wananchi ili kukwepa majanga

    MJEMA ASISITIZA ELIMU YA KUTUNZA MAZINGIRA KWA WANANCHI ILI KUKWEPA JANGWA, UKAME NA MMOMONYOKO WA ARDHI. Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Ndugu Sophia Edward Mjema ameitaka Serikali kupitia kwa maafisa wake wa kilimo na maafisa mazingira kutoka maofisi na kwenda kwa wananchi kuwaelimisha...
  16. Mganguzi

    Uzinzi limekuwa tatizo kubwa kwa nchi yetu, laana hii itatuingiza kwenye majanga makubwa ndio maana mvua hazinyeshi

    Isaya 10:27 maandiko matakatifu yanasema mungu ataondoa mzigo na nira mabegani mwetu lakini nimetafakari sana nira na mzigo ambao nchi yetu imeubeba nimegundua ni uzinzi. Nchi hii watu wanazini kupitiliza na Sasa ushoga umepamba moto !watu wanaumizana ndoa zinavunjika kwa sababu ya uzinzi...
  17. L

    Tunapokumbwa na majanga makubwa duniani nchi zinapaswa kushikamana na kutatua kwa pamoja

    Jumatatu ya Februari 6, dunia iliamka kwa habari mbaya na za mshtuko baada ya nchi za Uturuki na Syria kukumbwa na tetemeko kubwa lenye kipenyo cha richta 7.8, ambalo limesababisha uharibifu mkubwa wa mali, na cha kuhuzunisha zaidi ni kwamba watu takriban elfu 40 katika nchi hizo mbili...
  18. L

    Nahisi kukataa tamaa majanga mengi, mke ananichosha

    Y
  19. GENTAMYCINE

    Wataalam wa Majanga na Hatari kwa Mazingira ya sasa ya Tanganyika Packers Kawe yanaruhusu Tamasha Kubwa kufanyika?

    Kwa jinsi palivyo sasa Tanganyika Packers Kawe na Ujenzi unaoendelea, Kulivyobanana na hata Hali ya Usalama kuwa si nzuri nikisikia kuna Tamasha lolote lile linataka Kufanyika naanza kuingiwa / kujawa na Hofu Kubwa kuwa huenda Madhara Makubwa ( Vifo au Watu Kujeruhiwa ) kukatokea na baadae...
  20. IamBrianLeeSnr

    Kitengo kipya cha majanga ajali kushughulika katika kuokoa maisha ya watu

    Wizara ya Afya imeendelea kuboresha mikakati ya kuokoa maisha ya watu kutokana na majanga na ajali kwa kuanzisha Kitengo mahsusi kitakachoshughulika na kuokoa maisha ya watu kutokana na ajali. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo akiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa...
Back
Top Bottom