majanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Maono: Kama viongozi wetu wataendelea hivi Majanga hayataisha Tanzania

    Kwa sisi wenye imani tunaamini majanga yetu ni kwasababu ya uporaji wa haki na bila kuwa na upendo na haki kwa wote ikiwa ni pamoja na katiba nzuri, demokrasia ya kweli, bunge na mahakama inayotoa haki majanga nchini hayataisha. Majanga yatakuja ya mvua, matetemoko , ajali na vifo. Viongozi...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mdude: Tanzania haina kifaa cha uokozi kwenye majanga ya Vifusi na maji (rescue radar)

    Hiki kifaa kinatumika wakati wa majanga ya watu waliofukiwa kwenye kifusi au maji ku-scan na kujua walipo. Hiki kifaa TZ haina na kinauzwa milion 10 tu. Ila Samia katoa milion 700 za pongezi kwa Taifa stars, halafu waokoaji Kariakoo wanakisia kutafuta wahanga walipo ili wawaokoe.
  3. Candela

    JamiiForums Tanzania Kwenye ajali ya Kariakoo, mmiliki wa jengo awajibishwe ili iwe mfano

    Kutoka vyanzo mbalimbali ikiwemo video zinazosambaa inaonesha Jengo halikuwa na underground. Hivyo mmiliki akaamua kuchimba kuweka maduka chini. Hii bila shaka haikuhusisha mamlaka na wataalamu maana wasingeruhusu afanye alichofanya. Naiomba serikali inipr huyu mtu nikae nae ndani siku moja...
  4. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu kwenye kupambana na majanga ya aina zote?

    Hello hello! Kulingana na kadhia hasa nyakati za majanga inachekesha sana, kitengo cha maafa, Jeshi la uokoaji, na kamati zote zimeendekeza Utopolo wa kujirudia, nyakati zote huambatana na haya. Uokoaji hafifu, duni wenye vitu hivi 1. Hakuna vifaa 2. Waokoaji sifuri 3. Raia wa kawaida...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Maana ya jiji iko wapi kama hawako mstari wa mbele katika majanga makubwa?

    Kwa nini meya wa jiji haonekani mstari wa mbele Katika janga la kibinadamu la kuanguka kwa ghorofa Kariakoo ambalo ni eneo lake kiutawala? Katika maafa kama haya meya alipaswa kuwa mtu muhimu zaidi kuliko wote akizungumza na vyombo vya habari, ila hapo Kariakoo ni kama hakuna meya kabisa au...
  6. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Waafrika kujikuta tunaishi Afrika Wala si Bahati mbaya,ni sahihi kabisa na tena tushukuru

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kuna wakati huwa nalaumu sana lakini kwakuwa nina IQ kubwa,nimekuja kugundua sisi waafrika kujikuta tupo kwenye hili Bara la Afrika,ni jambo ambalo inapaswa Tushukuru usiku na mchana! Bara la Afrika ni bara ambalo linaendana sawia na akili ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Janga la Kariakoo limeendelea kuthibitisha udhaifu wa serikali kwenye majanga ya ghafla

    Kwanza, Usimamizi wa ujenzi kariakoo ni mbovu, wakinga, wachaga, waha, wapemba wanajenga hovyo majengo marefu tena mengine bila hata uzio bado ni hatari. Uokoaji kwenye majanga kama hayo kwa nchi yetu ni mbovu tukianza na meli ziwa Victoria, tukaja ajali ya treni, kivuko kule nansio, ndege...
  8. technically

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatakiwa kujiuzulu, kitengo cha majanga kimemshinda

    Kijana wa miaka 25 anakufa bila kuugua Tena kwa uzembe wa kutookolewa Nimeona jumbe za watu waliopo kwenye vifusi nimelia Sana Mimi ni mwanaume lakini ukweli nimejaribu kuvaa viatu vya kijana mwenye miaka 25 ana mke na mtoto kamuacha nyumbani au kwa dada mwenye miaka 23 ana mme kamuacha...
  9. funaku

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Muhimbili izingatie weledi katika kutoa taarifa wakati wa Majanga!

    Nasikitika kuona "kiherehere" cha hospitali ya Taifa ya Muhimbili katika kutoa Taarifa zinazohusu majanga bila kuzingatia chain of command. Sio afya kwa hospitali hii as an entity kukimbilia kwenye media na kutoa taarifa bila kuzingatia taratibu za uhabarishaji umma wakati wa tukio la majanga...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama Dar Es Salaam, ningefanya haya kujiandaa na Majanga na wakati wa Majanga

    Ndugu zangu wana Jukwaa, poleni kwa sote kwa yale yanayoendelea. Tuendelee kuweka nguvu zetu kwa panoja ili hatimaye hatua za uokoaji ambao serikali imeshaingilia kati ziweze kulete manufaa kwa wahanga. Pamoja na hayo ni vema tukatumia wakati kama huu kabla watu jawajasahau( watanzania ni...
  11. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Tanzania yavutia mataifa uwepo wa kituo cha ufuatiliaji wa majanga

    NA. MWANDISHI WETU – BAKU, AZERBAIJAN. TANZANIA imeendelea kutolewa mfano wa kuwa na Kituo cha Taifa cha Operesheni na Mawasiliano ya Dharura (National Emergency Operation and Communication Center Situation Room) na kuelezwa kuwa nchi nyingine ziendelee kuiga mfano wa Tanzania na kuendelea...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Botswana ndio wamechagua huyu wakamuacha Progressive Masisi?! Majanga matupu

    Demokrasia wakati mwingine huwa inaleta vitu vya ajabu sana, ni kama hamna kitu humo kwa huyo Rais mpya wa Botswana, ila ndio hivyo raia wakishachoka huwa wanasema bora wapigie hata jiwe kura kuliko establishment.
  13. Igombe fisherman

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya ndoto inavyoshindwa kuniepusha na majanga yanayonikabili

    Katika maisha yangu nimekuwa nikiota ndoto kadhaa. Zingine zinakuwa hazieleweki ila zingine zinakuwa na ukweli baada ya muda flani. Yaani kinatokea kama nilivyoota. Nimekuwa nikiishi hivyo kwa kwa siku zote za maisha yangu. Wakati mwingine nikawa najilaumu kwa kutochukua tahadhari kwa majanga...
  14. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Nimekagua Gari sita Yard siku ya leo, majanga ni makubwa.

    Mfano hiyo hapo juu ni actual mileage inayonekana kwenye gari. Hii ni mileage inayoonekana kwenye website ya EAA. Gari imeshushwa 120,000Km sasa hiyo ina uafadhali ila zipo ambazo ni worst kuliko hiyo. inaonekana kununua gari na kuja kuuza na actual Kilometers watu hawataki kununua, kwa...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Breaking News Kiongozi Mkuu upinzani Lebanon ataka Hezbollah wapokonywe silaha kuepusha majanga zaidi, magaidi hawezi ishinda Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kutokea Lebanon Wenye nchi yao sasa wamecharuka wanataka Hezbollah wafurushwe nchini mwao na Serikali yao iwe na mamlaka kamili ya kutawala Kwa nchi yote ya Lebanon Madhara ya Hezbollah kuendesha shughuli zao ni makubwa sana hivyo ni wakati muafaka kikundi...
  16. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Yaani sikuhizi mahubiri kila kutoa na majanga ya kutotoa sadaka..

    Mpaka rahaa wataelewa tu Nilikuwa naangalia star TV mahubjri ya kutoa nkaenda TV upendo kutoa Nkamua niende kanisani huko nakoo n kutoaaa Narudi hme sasa nasikiliza redio moja ya dini hukoo ndioo balaa wanatishiwa kabjsaa wasipotoa madhara yake..... Tusiache kutoa sadaka jaman wahubiri...
  17. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Snura aachana na muziki wa kidunia, aomba nyimbo zake zisipigwe tena, na picha zake zisipostiwe akifariki dunia

    Snura atangaza kuacha muziki rasmi, aomba nyimbo zake zisipigwe tena. Snura Mushi ametangaza kuacha rasmi muziki na shughuli za kisanaa na kujikita zaidi kwenye dini. Amezitaka media na watu binafsi kuacha mara moja kufanya hivyo kwa kuwa amebadilisha aina ya maisha yake kabisa. Pia soma...
  18. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Majanga mengi ya asili hayatokei mchana

    Ni kama Mungu aliweka iwe hivyo mafuriko mengi huwa yanatokea usiku ndo maana idadi ya wanaokufa inakuwa sio ya kutisha Kwa sababu watu wanakuwa wamelala wanaamshwa na majanga wanapata nafasi ya ku jiorganize fasta Kwa ushirikiano ila ingekuwa tuseme mchana aisee ndo Balaa maana watu wanadata...
  19. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Si majanga yote ya moto majumbani yanasababishwa na umeme wa TANESCO

    📌Matumizi ya wakandarasi wasio na utaalamu (Vishoka)kutandaza nyaya (wiring)pasipo kuwa na utaalaamu wa kufanya hivyo 📌*Matumizi holela ya vyombo mbalimbambali vinavyohitaji kutumia nishati ya Umeme visivyotengenezwa kwa ubora 📌Matumizi Mabaya ya Nishati zingine vyatajwa kuongoza kama chanzo...
  20. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kujenga Miradi Imara Kukabiliana na Majanga ya Asili: Mikakati ya Wakandarasi Kupunguza Gharama za Serikali

    Katika miongo miwili ijayo, jukumu la wakandarasi katika kujenga miundombinu imara na endelevu itakuwa muhimu zaidi kuliko hapo awali, hasa linapokuja suala la kuzingatia majanga ya asili kama mafuriko. Kujenga miradi bora ambayo inaweza kustahimili majanga haya ni njia muhimu ya kuzuia serikali...
Back
Top Bottom