maisha

  1. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Mtu Aliyehukumiwa Miaka 13 Jela Asahaulika Kukamatwa, Badala Yake Akageuza Maisha Yake

    Mtu huyu alihukumiwa kifungo cha miaka 13 jela, lakini walimsahau kumkamata. Mnamo mwaka 1999, Cornealious Anderson alihukumiwa kwa kosa la ujambazi akiwa na silaha huko St. Charles, Missouri, na kuhukumiwa kifungo cha miaka kumi na mitatu gerezani. Akiwa nje kwa dhamana, Cornealious na wakili...
  2. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Hivi ulishawahi kuishi kwa kudra za washikaji, haya maisha yasikie tu

    Miaka ya zamani kdg ndo nimemaliza chuo nikapata kazi kwenye NGO moja hv. Huko nikawa naponda sana mali, yaani ilikua ni gambe na mademu tu. Mara paaa NGO ikamaliza issue zake wakafunga virago, nikabaki sina kazi na hapo nilikua nimempa mimba binti mmoja hivi na ndo ilikua mimba ya mtoto wangu...
  3. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Watu wa Jadi vs Dini Mnafikra gani kuhusu maisha?

    Jadi ni mila za kale na potofu? vs Dini shughuli za kibiashara ambazo zimeletwa kutudumaza akili? vipi kuhusu pagans/athens?
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna tatizo lolote Kimantiki kwa Asiyeoa au Asiyeolewa Kukushauri mambo ya Maisha yako ya Ndoa na Changamoto unazozipata?

    Na ni nani aliyewadanganya Waswahili kuwa ili uwe Mshauri mzuri wa Jambo fulani basi ni lazima uwe una Uzoefu nalo kwa Wewe mwenyewe kukupata? Tanzania mpaka sasa ( japo wapo wanaojitahidi ) ila bado sijaona Mchambuzi Mahiri wa Mpira wa Miguu kama Dk. Leakey Abdallah ( mwana Liverpool FC...
  5. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Gharama za Maisha Zanzibar Zipo Juu sana

    Samaleko.. Kabla hujawaza kwenda Ulaya, America au Asia kula maisha jitaidi sana uanzie Zanzibar ujionee maajabu ya bei za vitu. Kiufupi Huku Zanzibar ni sawa tu na Ughaibuni, ukiweza kumudu kula bata kwa muda wa mwezi mmoja maeneo kama Kendwa, Nungwi, Kiwengwa au Paje basi unaweza kumudu kukaa...
  6. Saad30

    JamiiForums Tanzania Maisha hayataki mchezo

    Habari wakuu. Asee hii game ya Maisha ni hatari sana, ukifanya hivi maisha yanakwambia achana na hizo mambo. Unajiuliza hivi Mimi nimezaliwa kusindikiza wenzangu katika hii zawadi ya Dunia? Unapiga Moyo konde na kusema Wacha nisonge mbele asee hujafika hatua kadhaa unaskia asee Kuna michango...
  7. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ni maamuzi gani magumu umeshawahi kufanya kwenye maisha yako?

    Maamuzi gani magumu umeshawahi kufanya mpaka sasa huamini kama ni wewe ulifanya yale maamuzi? Tiririka Mkuu..... Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Paris nchini Ufaransa 🇫🇷
  8. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usioe Mwanamke ambae kwao ni maskini lakini anaishi maisha ya kifahari

    Nakuonya ewe kijana, kamwe usioe Mwanamke ambae kwao ni maskini na hana kazi yoyote lakini anaishi maisha ya kifahari na matanuzi. Wengi wao ni wauza Mbususu wa kimya kimya. MLIOAMUA KUOA CHUKUENI DARASA HILO KUTOKA KWA MJANJA M1. Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Vienna Austria 🇦🇹
  9. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Vigezo vinavyopelekea kuwa na filosofia fulani ya maisha

    Filosofia ya maisha ni mkusanyiko wa imani, maadili, na mitazamo ambayo mtu anayo kuhusu maisha, ulimwengu, na nafasi yake ndani yake. 1.Malezi na Mazingira: Familia, tamaduni, na jamii anayokulia mtu vinaweza kumshinikiza kuwa na mtazamo fulani wa maisha. 2.Elimu: Mafunzo rasmi na yasiyo...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Video ya shambulizi makini: Israel ina target magaidi kwa kujali hata maisha ya wanyama, maafa ya raia wengi ni kutumiwa kama ngao za magaidi.

    Ni mfano wa shambulio la kupunguza casualities, wameyapa thamani maisha ya farasi kisha kuwatungua magaidi watatu kwa mpigo Wiki kadhaa zilizopita kiongozi wa Hamas alitunguliwa, casuality ya ziada ilikuwaa ni ya mlinzi wake labda walikuwa wamelala kitanda kimoja. Rais wa Iran alitunguliwa...
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania Wanachimba Michanga wanahatarisha Maisha yetu Kisarawe Two (Kigamboni), hawataki kusitisha mchakato huo

    Uchimbaji huo wa mchanga umekuwa ukifanyika kwa zaidi ya miaka minne sasa, tumeripoti kwenye Mamlaka mbalimbali lakini bado wahusika wamekuwa wakiendelea na hivyo kuweka nyumba zetu kwenye hatari ya kubomoka hasa kipindi cha mvua. Uchumbaji wa michanga maeneo ya Mwaninga, Chekeni, Kisarawe II...
  12. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Kama hutaki kupigana vita vya kutumia nguvu za kiroho Mungu/giza kamwe sahau maisha safi! Utaishia kuwa masikini!

    Kuna wazazi hawataki watoto wao waongoze darasani kwa kuogopa kulogwa! Kuna watu wakichomoza katika biashara watagundua adui wake wa kwanza ni shetani baada ya kuanza kutupiwa majini na ndoto za mashambulizi usiku na nyoka/wanga/unawindwa kuuawa! Kama una ndoto za kuwa kiongozi kama ujajijenga...
  13. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya ndoa na familia

    Sehemu YA kwanza *(Uandishi wangu si mzuri sana) Jina langu ni Vintage1q. Nimezaliwa mwishoni mwa miaka YA themanini na kukulia ughaibuni kwa takribani miaka 12. Nimezaliwa katika familia YA hali YA chini kabisa na mimi nikiwa ndo mtoto wa kwanza wa kiume. Kukulia na kuishi ughaibuni kwa miaka...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani umewahi kufanya na hauwezi kulirudia tena kwenye Maisha yako?

    Kipindi nasoma A level kuna Aunty yangu alinikopa hela tena ilikuwa ada ya shule ili afanye kama mtaji wa kuanzisha biashara yake ya kuuza mashuka ya mitumba akasema atairudisha kabla hatujaanza kufanya mitihani ya mwisho wa muhula. Tukazungushana wee kumbe hakuna cha biashara wala nini. Sijui...
  15. Glenn

    JamiiForums Tanzania Maisha ya bongo ni magumu mnoo vijana wa kiume wanapitia pagumu...Hasa bodax2

    Wakuu kuna wakati mawahurumia sana vijana wetu, wanapitia hali tete sana. Nililazimika kutoka saa 8.30 na kurudi saa 9.30. Kila kijiwe cha boda boda nakuta vijana wamelala chali usingizi juu ya boda boda zao hata hawasikii hata mlio wa gari. Mji umetulia hautii matumaini yoyote kwao angalau...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unahisi unaweza kutumia kuelezea Maisha yako?

    NARINGA- ZUCHU Mh-mmh Nani Roney? Ah, Roney (he-hey, yoh Tron) Sing, mmh, eeh Let sing, come on, eeh Sioni aibu Kwa kila linalo nifika Maana kukosea ni wajibu Mola ameshaandika Na sianguki, mimi nimechaguliwa Nnae mtegemea hachoki Hajawahi kupitiwa Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza Vinanipa...
  17. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Mch Msigwa hakuwa kubeba Bible katika maisha yake yote ya Uchungaji.

    Heshima ssna wanajamvi. Sasa ni wazi Mch Msigwa ni mmoja wa wale wanasiasa waliolamba fedha za Abdul. Katika hali ya kustaajabisha Mch Msigwa hakuwahi kubeba Bible takatifu hadharani na kuwaaminisha waumini wakikifuata na kukitii kitabu hicho kitakatifu watakwenda Mbinguni. Mheshimiwa Abdul...
  18. Said Shagembe

    JamiiForums Tanzania Maisha na Bajeti

    Katika jamii yetu kawaida ya watu wanashindwa kufikia malengo Yao kutokana na kile wanachoamini kuwa kipato hakitoshi. Kiuhalisia ukimuuliza matumizi yake ni shi ngapi kwa mwezi au kwa siku hawezi kulipa jibu la moja kwa moja kwani wengine wao hutumia kulingana na kile anachokipata kwa siku...
  19. BabaMorgan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna aina ya mahusiano ni muhimu ili maisha yaendelee

    Kuwa na mahusiano na Mwanamke ambaye anapatikana muda wowote pale anapohitajika ni kitu cha muhimu sana kwa sisi ambao bado tunapigania kombe na hatuna wake. Kuna jirani yangu alikuwa ananisaidia sana wakati wote sikuwahi kuiona value yake mpake pale alipohama mkoa kutokuwepo kwa huyu binti...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Lissu umeutumikia upinzani na kumwaga damu yako kwa gharama kubwa, upinzani uliokoa maisha yako, kulikoni?

    Kusema ukweli sitegemei Lissu atoe kauli alizozitoa kuwa CHADEMA siyo mama yake, ni kweli wote tunafahamu hivyo lakini angalia historia yako kwenye upinzani, na hadi ulipopigwa risasi. Nadhani hakuna aliyeteseka na kupigania haki za watanzania kama wewe. Safari ya mapambano ni ndefu na ngumu...
Back
Top Bottom