maisha

  1. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday wadau. Muishi maisha marefu na yenye Mafanikio!

    Heri ya kuzaliwa wadau wa JF mliozaliwa tarehe ya leo. Mungu awatangulie katika mishe zenu. Happy Birthday 28/August mwilongo Aron mr xuma Inspector Jws Gilbert Julius Alex Fredrick amonbiner anonymous_blue Lobaraki Joyeuse SISTY DENIS MUSHI saliel Sanga Imma Mr Stoic Edna kahema Na...
  2. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unajiandaaje na maisha ya uzeeni?

    Uzee ni umri wa kuwa tegemezi kama mtoto mdogo, kama katika ujana wako ulijipanga vizuri na kujiwekeza vya kutosha katika rasilimali fedha, miradi, na watu n.k uzee kwako hautakuwa kero kwa wengine. Tofauti na hapo, utakuwa unawaachia laana kwa wale wote watakao kuwa tofauti na matakwa yako...
  3. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Short story ya maisha ya jeshini

    Kipindi tupo maservice enzi izo kambi fulani kulikuwa na op ilio tutangulia sasa kulikuwa na kijana mmoja maarufu sana anaitwa ngosha so sisi op mpya tulivyo fika pale kikosini tukamkuta sisi tulikuwa majuorner yaan wadogo wale ndio sinior Alikuwa anaishi kama afande yaani p staf hukuti...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Muarabu Muislamu wa Israel alietekwa na Hamas arejea kwenye familia yake baada ya wanajeshi wa Israel kuhatarisha maisha kumuokoa ukanda wa Gaza

    Jina: Kaid Farhan al-Qudi, Baba wa watoto 11 Dini: Muislamu Alitekwa October 7 mwaka jana Uraia: Israel Asili:Muarabu Kikosi cha Shayetet 13, Brigedi ya 401 kilidiriki kufanya maamuzi magumu yenye kuhatarisha maisha yao kwenda Gaza ili kumuokoa Kaid Farhan al-Qudi kwenye maeneo hatari...
  5. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Sudan: Watu 132 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko

    At least 132 killed in Sudan flooding: health ministry At least 132 people have died in war-torn Sudan as a result of flooding and heavy rains this year, the health ministry said Monday. The country has experienced an intense rainy season since last month, with intermittent torrential flooding...
  6. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayochangia kuharibu maisha ya vijana wengi

    Kizazi hiki kinakutana na changamoto nyingi lakini yafuatayo ni mambo machache yanayoharibu maisha ya vijana wengi hapa nchini °Ulevi wa pombe °Uvutaji sigara, bange na dawa za kulevya °Ngono zembe na umalaya wa kumiliki wanawake wengi °Kamari na betting °Ushabiki wa mipira simba na yanga...
  7. trojan92

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kosa gani unalijutia na limeharibu maisha yako?

    Mimi najuta kwanini nilioa mapema. Toka nimeoa kila kitu kinaenda mrama, hapati mtoto mwaka wa 6 sasa, biashara tulianza zimekufa, kiufupi maisha yameharibika na nimepoteza mwelekeo kabisa. Tumepima afya yake wanasema hormones imbalance, ametumia dawa za kila aina, za hospital na kienyeji ila...
  8. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Maisha magumu

    Niny maisha magumu hela haikai ase hadi roho inauma
  9. T14 Armata

    JamiiForums Tanzania Shule zenye ubora ni gharama lakini muhimu sana

    Bila kupoteza muda leo natoa mawazo yangu yanayotokana na uzoefu niliokutana nao mwenyewe. Kuna mkanganyiko unatokea kwenye suala la elimu na shule hasa za msingi, sekondari na Advanced level. Kuna kundi la wazazi wavivu, sizitaki mbichi hizi na wazembe wa majukumu hasa wakiongozwa na chairman...
  10. Cymon Taylor

    JamiiForums Tanzania Wewe ndiye dereva wa maisha yako mwenyewe, don't expect to be adjusted!

    Wakuu kwema? Habari za weekend. Najua wengi wameshaongea ila me nakumbushia tu kuhusu hili jambo. Wengi wetu huwa tuna matarajio makubwa sana hasa pale inapoonekana kuna tagi inabidi likufikie kutoka kwa mtu yeyote awe ndugu au rafiki. Lakini huwa tunavunjika moyo na kuwaona watu wabaya...
  11. President of China

    JamiiForums Tanzania Somo la Kujitambua: Mara nyingi watu hupigana na kuuana kwa mambo ya kufikirika (People often fight and kill each other over imaginary things)

    MAMBO YA KUFIKRIKA YALIYOPO DUNIANI NI YAPI? Kuna mambo mengi sana ya kufikirika yameundwa na kupewa uhai ambayo yanaleta ugomvi mwingi kwa watu hapa duniani. Katika masomo yangu haya niliyoyaanzisha ya kujitambua, kuna watu watajifunza na kufunguliwa nafsi zao na kuwa huru. Baadhi ya mambo ya...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Eng Hersi mwache Mzize akamalize soka lake Wydad, unamuharibia maisha

    Mzize hana umri unaotaka kuwaaminisha watu, sio young player, wengi tunamfahamu Mzize, muache akacheze soka huko anakoliliwa, Mzize maisha yake bado hayajakaa sawa na njia pekee kwake kutoboa ni kwenda Wydad akacheze, hapa Yanga wewe shs ngapi Injinia. Halafu nikuambie tu washabiki wengi wa...
  13. Kadodo1

    JamiiForums Tanzania Okoa maisha ya uwapendao kwa kuacha matumizi ya nishati zisizo safi za mkaa

    Okoa maisha ya uwapendao kwa kuacha matumizi ya nishati zisizo safi za mkaa, kuni na nyinginezo. Matumizi ya nishati zisizo safi husababisha athari za kimazingira zinazopelekea mabadiliko ya tabianchi kama kuongezeka kwa joto, mvua zisizokuwa na mpangilio, ukame pamoja na uharibifu wa mfumo wa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kuwapenda Adui Zetu Katika Maisha ya Kila Siku

    Kuwapenda Adui Zetu Katika Maisha ya Kila Siku Katika mahubiri yake, Yesu alisema, “endeleeni kuwapenda adui zenu” (Mathayo 5:43-44; Luka 6:27, 35). Maneno haya yanamaanisha tunapaswa kuwatendea kwa upendo wale wanaotuchukia au kututendea vibaya. Hakuna mtihani mgumu ambao Kristo alitupa katika...
  15. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kwenye maisha usikate tamaa

    Mungu ndie mpaji wa yotee All d best br
  16. One yes

    JamiiForums Tanzania Kipi kinauma zaidi kwenye maisha?

    Kwenye maisha ni kipi kinauma zaidi hasa kweny mazingira tunayo ishi ya kila siku?? 1.kufiwa na mzazi au wazazi 2.kufiwa na mpenzi au mke 3.kufumania au kufumaniwa na mke au mume wa mtu 4.kuacha au kiachika na mchumba au mpenz au mke 5.kutengwa na marafiki ndugu au wazazi...
  17. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Watoto wa kambo na mayatima huwa wanapitia maisha magumu sana

    Siyo wote ila kuna baadhi ya wazazi\walezi wanaishi vizuri na watoto ambao siyo wao kiasi kwamba usipoambiwa siyo wazazi wao huwezi kamwe kujua. Nimewahi kushuhudia kisa cha mtoto wa yatima katika familia fulani, yeye alifiwa na wazazi wake wote wawili hivyo ikabidi achukuliwe na ndugu wa...
  18. nipo online

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati maisha yanasimama kabisa

    Yani ukichunguza kwa makini kuna wakati unaona kabisa pesa mfukoni haitulii na hata kuingia kwake ni taratibu Sana huku miaka Inaenda tu.
  19. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Aliyedai kuvunjwa mguu na kigogo wa Polisi Arusha, adai kutishiwa maisha

    My Take Yule RC wenu wa Taifa anaejiita mtetezi wa Wanyonge Ajitokeze kusimamaia Haki ya huyu mnyonge anaedai kutendewa unyama na kigogo wa Polisi huko Mkoani kwake Arusha. Kipimo sahihi Kwa hao watu wanaojigamba ni kutetea watu walioumizwa na wale wanaowalinda au kuwatuma ndio tutajua...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ukilipwa unaweza kukifanya maisha yako yote?

    Ikitokea fursa nilipwe kwa ajili ya kufanya kitu kimoja tu maishani mwangu. Ningechagua kusafiri kuona na kujifunza vitu vipya. Kama wazungu wanavyosema we Only live Once Wewe ungechagua kufanya nini na kwa sababu gani?
Back
Top Bottom