maisha

  1. C

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata Kadi za CHADEMA?

    Nataka kujiunga na Chama cha Demokrasia na Makamanda. Kadi zinapatikana wapi?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wenye familia changa, mabachelor na wenye kupenda mtindo huu wa maisha hii plan inafaa kiasi

    As umri unaenda na miaka yangu 38, nimejikuta napenda sana private life, weekend, likizo na siku nyingine za kazi ambazo. Huwa nahisi mjini Pana boa napenda sana kwenda shambani nikikaa naona ng'ombe, mara nikamate bata nimchinje nione parachichi zimestawi najikuta stress za mjini...
  3. Gol D Roger

    JamiiForums Tanzania Sina raha, wasiwasi wa maisha unanisumbua

    Nasumbuliwa sana na wasiwasi wa maisha, mwanzoni nilikuwa naona kawaida ila kwa hali yangu ya sasa naona it's too much. Ngoja niwaelezee kidogo jinsi ilivyo, mfano nikitoka kazini nikirudi home kupumzika, mawazo yananijia kuna vijana wenzangu bado hawajarudi ghetto bado wapo mtaani wanapambana...
  4. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha yangu kabla sijafika Marekani

    Neno Marekani mtaliona sana tu, hadi nikirudi nyumbani. Ila leo niwape story kwa ufupi ili mjue safari zinaanzaje. Kwanza mjue mimi ni kiumbe wa kutoka mkoani huko, sio Mdaslamu. Na nilikuwa sipapendi Dar nikaamini naweza toboa mkoani. Mguu wa shingo mguu wa roho nikaingia sana vijijini huko...
  5. chinatown

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali yetu ibadili maisha ya wananchi wake

    Nimebehatika kukaa kama sio kuishi sehemu tofauti tofauti duniani.nimeona na kujifunza kadhaa wa kadhaa jinsi serikali nyingine za ulaya ,marekani,na asia zinavyofanya kwa ajili ya wananchi wake. Maisha yetu ni duni kwa sababu tu ya mipango yetu mibovu ambayo serikali yetu inafanya.Tasafu au...
  6. Kaunara

    JamiiForums Tanzania Maisha ya sasa ni kujitangaza kwa kile unachokifanya

    Habari wadau! Kwa wale wanaoishi wakifanya shughuli zao binafsi kuna haja kubwa ya kujitangaza kwa kile unachokifanya. Vijana wengi wanaogopa kujitangaza mitandaoni na kuishia kuangalia wenzio wakienda mbele. Ujumbe huu uwe mahususi kwa vijana hasa wa mikoani mmelala sana. Hata mikoani unaweza...
  7. nergomafioso

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbona kama mama kanilengesha kwa huyu binti! Ndo tulipofikia huku

    Mimi kama kijana ninaye jitafuta bado ninaishi na mama yangu mzazi pamoja na mdogo wangu ambaye kwa sasa yupo kidato cha nne, dada yangu wa kwanza ameolewa yupo na familia yake yeye kaniacha miaka 6 ndio nikafuatia na mimi nimemuacha mdogo wangu wa mwisho kwa miaka 10. Katika swala la maadili...
  8. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usithibutu kuitwa na mwanamke nyumbani kwake ukakimbilia kwenda!

    Mmmh, Hivi majuzi yalinikuta, nilikutana na mdada kwa basi. Tukajuana nikamkaribisha sehemu majuzi akala mbuzi yangua na ka kvant. Kumaliza nikaomba mzigo nkakagoma kakaachia twende kwangu lakini, kumekucha kufika tukasema tupige ka kvant kamwisho kadogo tukanza shuhuli. Mdada akandanganya...
  9. chakula cha watoto

    JamiiForums Tanzania Wapi nikatafute maisha kati ya Botswana, Mauritius,Namibia au Sychelles?

    Bongo sitaki tena nataka nikimbie, naombeni ushauri kati ya hizo nchi wapi angalau nikienda sifi njaa nikipambana kati y'a Botswana, Mauritius, Namibia au Sychelles au South Africa Au Morocco na nchi nyingine ongezea. Bongo sitaki, Naombeni pia kama kuna wenyeji kwenye hizo nchi wanitafute PM...
  10. blogger

    JamiiForums Tanzania Huyu Mwijaku anachokifanya kwa Gen Z ni upotoshaji. Maisha si mepesi namna hii

    Kuna haja That Urgent need to have his videos banned in the country. Haiwezekani America.. everyone's dream aifanye kama huko MburAhati tu. Kama asemavyo yeye. Hii si sawa.
  11. Elisha Chuma

    JamiiForums Tanzania Mapambano ya sirini

    MAPAMBANO YA SIRINI. Jambo la msingi sana kutambua kwenye haya maisha ni kwamba haijalishi unamuona mtu yuko vizuri ama amefanikiwa kwa kiasi gani tambua yuko na mapambano yake sirini, na mapambano ya sirini yanabaki ni siri ya mtu huenda usiyatambue kabisa kwa sababu mbele ya macho yako unaona...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kuzaliwa na kifo ndiyo ukweli pekee katika maisha! Mengine yote afanyayo binadamu katika maisha yake ni maigizo

    Vitu pekee ambavyo ni ukweli ni viwili tu kwa mwanadam (kuzaliwa na kufa) Maisha mengine yote ya mwanadamu ni maigizo! Chochote afanyacho binadam huwa ni kama scene tu havina ukweli wowote kiuhalisia! Kwa mfano: Ukiangalia watoto wanavyochezea makopo au wanavyoigiza kibaba baba au kimamamama...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Msijizuie kuja Marekani, maisha mepesi tu

    Wala siwezi kuwa kama wengine wanaowatisha watu kuwa huku maisha magumu. Mgumu ni wewe. Vitisho mnavyosikia kuwa maisha ya Marekani ni magumu, ni sawa na vitisho vya watu wa Dar kwa watu wa mkoani kuwa Dar maisha magumu. Ila kiukweli ukienda Dar ukiwa na mishe za kufanya, mambo ni mepesi tu...
  14. Hharyson

    JamiiForums Tanzania We do design and constrution

    One of our project at kibada kigamboni We do building design We do constrution at affordable price We do consultation Call /whatsap 0624004650 Office Sinza
  15. 650

    JamiiForums Tanzania Elezea hali yako now kwa emoj Moja tu

    Naanza Mimi: 😁 = Chewaa
  16. F

    JamiiForums Tanzania Yamenifika shingoni sijui la kufanya mimi

    Kwa walionizidi umri shikamoni na kwa wa umri wangu habari zenu? Kilichonileta mbele zenu ni hiki ndugu zanguni ni haya nayopitia na baba yangu licha ya kuwa na maswaibu yanayonisumbua kwa muda mrefu mpaka nashindwa kufanya kazi zangu kwa kuamua bali huwa najilazimisha ivoivo baada ya kuona...
  17. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Thamani ya Maisha ni furaha,sio pesa au kitu chochote.

    Leo nilikuwa na bando la kuchezea nimejikuta naangalia video za vichekesho/vijana wanaoitwa machawa Baba Levo,Mwijaku na Huyu Doto Magari nimeona jinsi gani hawa jamaa wanavyoishi kwa ujanja ujanja kwa kutumia vinywa vyao kuzusha misamiati,kujichekesha hovyo na kutoa maneno ya kufurahisha jambo...
  18. JEJUTz

    JamiiForums Tanzania Maisha haya

    Ugumu WA maisha unafanya tuonekane hatuna mapenzi ya kweli
  19. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Hakuna aliyekufa na kurudi na kushuhudia maandiko kuhusu maisha baada ya kifo, je mwisho mwema ni upi?

    Kuna kauli huwa inatolewa ya Mwisho mwema hasa pale inapoonekana Mtu tajiri au hawa ma celebrities/watu maarufu wanavyofurahia maisha , kwenye comments za watu utakuta tujaliwe mwisho mwema . Je kufia imani , kutotafuta pesa na kuwa maskini , kutofurahia ya dunia kunakufanya kuwa na mwisho mwema ?
  20. G

    JamiiForums Tanzania West Bank - Palestina,: Maabara ya mabomu yakutwa ndani ya msikiti uliojengwa kwenye makazi ya raia.

    Jeshi la Israel limeingia Ukingo wa Magharibi (West Bank) kuanza operesheni kubwa kwenye miji inayoshikiliwa na Kundi la Palestine Islamic Jihad. operesheni hiyo imeweza kubaini msikiti wenye maabara ya mabomu ndani yake. imekuwa ni kawaida kwa vikundi hivi kuwatumia raia kama ngao kwa...
Back
Top Bottom