maisha

  1. O

    JamiiForums Tanzania Nini cha kufanya kwanza unapoumwa na nyoka, ili kuokoa maisha?

    Karibu 300% ya nyoka wote duniani wana sumu, na 50% ya visa vya nyoka wanaowauma binadamu huwa hawaachi sumu ndani ya mwili wakati wa wanapomuuma binadamu. Kwa hivyo ni karibu visa 15 kati ya 100 ya nyoka ambapo muathiriwa huhitaji matibabu Nini cha kufanya ukiumwa na nyoka ili kuokoa maisha...
  2. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Huu ndo mtiririko wa Maisha yangu ulivyo na utakavyokuwa kuanzia sasa

    Baada mchakato mzima wa utafutaji, utafanikiwa kupata riziki na maisha mazuri na kuinuliwa. Baada ya hapo atapatikana mwanamke ambaye utaamua ufanye engagement na yeye (kumtabulisha na kumvisha pete) Siku zitaenda itakuwa Asubuhi na itakuwa mchana na hatimaye ndani ya uchumba wenu...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya mikoani inabidi muwe na muda maalum wa kuwasha na kuzima TV

    Kwa baadhi ya watu ni mateso unasafiri na bus muda wote wa safari kuanzia asubuhi mpaka jioni TV imewashwa ni mwendo wa kubadilisha tu kwaya, kaswida, bongo flavours, movies na comedy mbovu. Yani kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa safari TV haizimwi isipokuwa saa ya matangazo ya biashara za...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Tuelewane: waliposema education ni ufunguo wa maisha hawakumaanisha elimu ni ufunguo wa pesa

    Watu wanachanganya vitu viwili ambavyo ni muhimu. Maisha yanajumuisha akili za utambuzi, kuishi na watu technically mana dunia haina hira, kuwepa viunzi vingi vya kifo nk Pesa au fedha ni ujanja wa mtu tu bila kujali amezipata kihali au la: Ndo mana wenye pesa mara nyingi wanakufa haraka mana...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dua ninazoomba kila siku katika maisha yangu

    1. Allah aniondoshe katika dunia hii hali ya kuwa umeniridhia 2. Allah aniondishe katika dunia hali ya kuwa sina dhambi hata mmoja 3. Anijalie kaburi langu liwe miongoni mwa mabustani ya peponi na lisiwe miongoni mwa mashimo ya moto wa Jahannam 4. Namuomba Allah anijaalie aniingize katika...
  6. Equation x

    JamiiForums Tanzania Narudi zangu kijijini, maisha ya mjini siyataki tena

    Nimeamua nikazeekee kijijini kwa sababu zifuatazo:- Kule kijijini nitapata hewa safi isiyokuwa na mchafuko Kule kijijini nitapata majirani wema wasiokuwa na choyo Kule kijijini tutakuwa tunatembeleana bila chuki Kule kijijini tutakuwa tunakunywa togwa pamoja Kule kijijini tutapunguza msongo wa...
  7. Bwana kaduga

    JamiiForums Tanzania Maisha: Safari ya kujifunza, kukua na kupata maana

    "Maisha ni safari yenye vipindi tofauti, yenye furaha, huzuni, mafanikio, na changamoto. Ni safari inayotufundisha kuwa na uvumilivu na uthabiti. Kila siku tunapita katika hatua tofauti za kujifunza na kukua, tukikumbana na vipindi vya furaha vinavyotufanya tuhisi shukrani na wakati mwingine...
  8. kwisha

    JamiiForums Tanzania Kupotea kwa ukristo ni mateso kwa watu wengine

    Kuna watu bado wanaukataa ukristo na kutukana sijui ukristo ni utapeli sijui nini Ninawagalia nachekacheka tu moyoni mwangu. Ukristo sio kwamba una sapoti ujinga bali una heshimu tamaduni ,imani, mawazo, ya watu wengine
  9. Bwana kaduga

    JamiiForums Tanzania Maneno ya busara yenye hekima kuhusu maana na safari ya maisha

    Haya ni baadhi ya maneno ya busara kuhusu maisha: 1. "Maisha ni safari, siyo mbio. Chukua muda kufurahia kila hatua unayopiga." 2. "Changamoto ni sehemu ya maisha; zinatufundisha kustahimili na kukua." 3. "Ushindi wa kweli maishani ni kushinda hofu yako na kuendelea mbele." 4. "Maisha yana...
  10. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Wazee wa zamani walikuwa Fighters! Maisha yalikuwa magumu sana

    Kila nikikaa na kufikiria jinsi Dunia ilivyopiga hatua kwenye sayansi na Teknolojia huwa nafikiria maisha ya wazee wetu wa zamani embu fikiria Dunia bila mitandao ya kijamii WhatsApp ,insta au Google. Fikiria Dunia bila SIM banking hizi za Tigo pesa , M pesa , Zamani ilikuwa ukikwama ki fedha...
  11. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Umejiandaa vipi na maisha ya uzeeni (Retirement)?

    Wana jamvi uzima na afya uwe kwenu nyote. Hapa siongei na wavulana na vijana wa hovyo. Bali naongea na vijana na watu wazima wenye kujitambua haswa. Ni ukweli pasina shaka kuwa maisha ya ujana yanapita upesi sana. Kama usipojiwekea malengo ya huko mbeleni utaishi maisha ya tabu sana. Wala...
  12. lugoda12

    JamiiForums Tanzania Katika maisha...

    USICHANGANYE urafiki na kampani kuna tofauti kubwa kati ya upole na tunafanyaje! 🤔
  13. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Bongo aliyenunua gari na kujenga nyumba anajiona ametoboa maisha

    Huku Bongo (TZ) ukijenga nyumba ya 30mil kisha ukinunua gari la kutembelea (i.e: Carina, IST, Mazda, wish, Rav4, Dualis, Spacio, Crown Athlete, Vitz, Runnex, n.k) tayari unaonekana umetoboa maisha. Pengine hata wewe mwenyewe utajiona una akili ya maisha kuliko kiumbe chochote hapa nchini ambacho...
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Waliobaka wamefungwa maisha, je aliewatuma nini kinaendelea. Haki ngumu sana!

    Nawaza tu kama wale jamaa wamefungwa maisha kwa kubaka Vipi aliewatyma?? Na kama bado yupo mtaanj mmejipangaje kumlinda yule dada aliefwanyiwa usheenzi Nawaza tu kama aliewatuma watuwake wameenda maisha Usalama wa yule dada ukoje??
  15. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Wenzangu mkiambiwa hamna utu na wake zenu huwaga mnafanyaje ili maisha yaendelee?

    Ndugu zangu.. Japo wanaume tuna mioyo migumu ya kuvumilia kila jambo ila hakuna kauli inayouma na kujeruhi sana kama kuambiwa huna "UTU" na mkeo Sasa . Hivi nyie wezangu mkiambiwa hamna utu na wake au wanawake zenu huwaga mnafanyaje ili maisha ya endelee maana mimi naona na karibia kukata...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kinafichwa sana kwenye maisha ya wasanii wa bongo unachoamini kwa asilimia 100 kipo?

    Kwa mtazamo wangu hivi ni vitu navyoamini vinawekwa siri lakini vipo. Kala Pina alikuwa anamgwaya Dudu baya Mr Nice hakufulia kabisa, Bado pesa anazo si haba za kustaafia muziki Nusu ya wasanii wanavuta weed Wasanii wengi wa bongo wanaishi kwa pesa za mishe nyingine, ni wachache sana...
  17. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Muda huo kuna goli la mama, ila maisha!

    Sio huyu tu wapo wengi wenye shida zaidi ya huyu Mzee nikwamba hamjakutana nao tu ila Mungu atupe akili sisi wa Africa. Kuna post moja niliisoma inasema Tanzania ni nchi pekee ambayo unaenda kufanya kazi ukipata pesa pesa yote inaishia kwenye madeni Kila siku kwasababu pesa imekosa thamani
  18. didy muhenga

    JamiiForums Tanzania Unatumia vigezo gani kumtambua Mwenza wa maisha?

    Wakuu tunaomba mtupe tips za kujua kua huyu ndo mwenza wako wa maisha yaan mke bora au mume bora. Vijana tumechoka ubachela sema tunaogopa sana ndoa emu tupeni mafunzo kidgo tusije kupigwa za kichwa kwenye ndoa.
  19. BigTall

    JamiiForums Tanzania Jamaa anapasua mawe kwa baruti King'azi A (Kisarawe), maisha ya Watoto na nyumba yapo hatarini

    Nimeona komenti hii kwenye ukurasa wa JF, hili lipoje Wadau wa Kisarawe? Majibu ya DC, soma ~ DC Kisarawe: Mwekezaji anayepasua mawe kwa baruti kusaka madini King’azi A tumemzuia
  20. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kifungo cha maisha kwa wabakaji waliotumwa na afande siyo habari njema

    Hii sio good news ever. Labda huelewi. Kifungo cha maisha/Life sentence (L.S) haitawafundisha kitu hawa vijana. Kwanini nasema hivi. 1. L.S hawafanyi adhabu nje ya ngome ambazo ndio ngumu kumrekebisha mhalifu. Wao ni watu wa ndani tu kula na kulala. Wanaohukumiwa adhabu chini ya kifungo cha...
Back
Top Bottom