maisha

  1. K

    Viongozi waandamizi jifunzeni kujitegemea, mnawatesa wasaidizi wenu kuwatumikisha kinyume na kazi zao

    Kiongozi mwandamizi hana gari binafsi yakutembelea amekalia kutumia gari ya umma kufanya shughuli za Kiserikali na shughuli za familia bila kujali masaa ya kazi kwa madreva na wasaidizi wengine. Ninaishi na mzee mmoja hapa anatumia gari ya Serikali kama yake binafsi, kila sehemu anapokwenda...
  2. M

    Maisha ughaibuni

    .
  3. Chama cha Walimu kuna haja ya kuwapa semina wanachama wenu kuhusu masuala ya pesa na maisha baada ya kustaafu?

    Kwakweli walimu wana tatizo kuhusu suala la pesa. Wengi hawajui masuala ya pesa na uwekezaji. Utapeli wowote wa kipesa lazima uwahusishe waalimu kwa wingi. Ila sijajua kama ni sababu ya wingi wao au wanapigika kirahisi? Vyovyote vile, kuna tatizo. CWT andaeni semina za kuwafundisha watu wenu...
  4. Wanawake kumbe wana tabu hivi katika maisha na mahusiano na wanaume?

    mnawezaje kubadili kiumbe wa mwenyezi Mungu
  5. B

    Chagua kuishi maisha ya kifahari watoto wasiende shule. Kula bata sana watoto wasipate madarasa, wananchi wakusaidie

    Haya ndio maisha watu wanajiamulia, kabla ya mwaka kuanza tunajua tuna watoto wangapi wanahitaji kwenda shule ila vyumba vya madarasa havitoshi na vinahitajika vingapi ili vitoshe. Tunasakwa mtaani raia tunachangishwa ili tujenge madarasa. Wapo barabarani wanakula maisha, wanatembelea magari ya...
  6. Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chase Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo

    Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chaser Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo. Sasa ni karibia mwezi wa saba huu tangia nianze biashara hii ya kuendesha Taxi bubu. Nilianza mwezi wa tano (May) mwaka huu wa 2020. Biashara imekuwa...
  7. Salome Binti aliyehatarisha maisha yangu, baada ya miaka 8 nimekutana naye tena

    Habari wakuu! Wiki hii imebadilisha mpangilio mzima wa ratiba yangu kwa kuumaliza mwaka huu. Kisa na Mkasa ni kama ninavyoendelea kueleza hapo chini. Mwaka 2012 nilikutana na Binti mmoja ambaye alijitambulisha kwa Jina la Salome, tulikutana Dar es salaam pale Mlimani City, kwenye ATM ya CRDB...
  8. Maisha ni Watu

    Katika maisha tunayoishi tunahangaika sana kutafuta pesa,furaha,mali,nk kila siku tunapoamka kila mtu kuna kitu anawaza kichwani mwake kuhusu kesho yake,tumetofautiana kimalengo na kimawazo kwasababu ninachokiwaza mimi kitokee kesho yangu n tofauti na chako na mwisho hayo ndio maisha. Leo...
  9. Serikali isiishie tu kukanusha madai ya wapinzani kuwa maisha yao yapo hatarini, bali iwahakikishie usalama wao

    Kumekuwa na madai mengi ya wapinzani kuwa maisha yao yapo hatarini kwa kuwa wanatishiwa maisha na "watu wasiojulikana" Imefikia hatua ya viongozi wetu wa upinzani, hususani wa Chadema, kuikimbia nchi hii na kwenda kutafuta hifadhi ya kisiasa nje ya nchi. Miongoni ya viongozi waliopata Hifadhi...
  10. S

    Tanzania raha sana ila mauaji na mateso wakati wa uchaguzi yanatuharibia aina ya maisha yetu

    Wacheni masihara Tanzania kama Tanzania ina maisha ya raha yaliyojaa undugu baina ya watu wa rika mbalimbali, matajiri na masikini alie na kazi na asie na kazi, kwa kweli tumeridhika na hali zetu kama nchi na raia wake. Tulizoea uchaguzi kama moja ya starehe za ndani ya nchi kwa miaka kumi au...
  11. Una matatizo ambayo yanakusumbua lakini hujui wapi pa kuanzia kuyatatua?

    UNA MATATIZO AMBAYO YANAKUSUMBUA LAKINI HUJUI WAPI PA KUANZIA KUYATATUA? JE, unafikiri ni nani wa kulaumiwa kwa changamoto na matatizo yote unayopitia? Ni mzazi, mlezi, Ndugu, Jamii au serikali yetu? Na Je, unajua kuwa kusuluhisha tatizo lolote lile bila kujua chanzo chake, ni kama kushindana...
  12. Tuliopitia maisha ya boarding njooni tukumbushane moments

    Habari wadau! Najua wengi humu tumepitia life la shule za boarding,je ni moment zipi hauwezi kuzisahau hususa boarding za gavo au hata private?? Binafsi nimepitia maisha ya boarding za serikali hapa hapa Tanzania miaka hiyo ya nyuma, ila sio maisha ambayo kivile japo ni boarding la serikali...
  13. L

    Mbona watu wengi wanapenda kuhama usiku tu?

    Wakuu, Nina hoja fupi hapa, hivi mbona wakazi wengi wa Dar es salaam na miji mingine wanapenda kuhama usiku usiku tu? Mtu anatoka Keko anahamia Mbagala lazima atahamisha vitu usiku tu. Hivi kunani hapa? Wanaficha nini? Kwanini wasihame mchana au asubuhi? Wakuu karibuni hapa mtujuze
  14. Kwenye maisha yangu sitokuja kumsahau yule Mwanamke

    Nipo naongea kwa uchungu sana Wana JF naona Mahusiano kwangu hayana Maana tena, Nimeumia Wanawake sio watu kabisa anaweza kukufanya ukaijutia siku yako nzima? Na ukakosa raha kabisa, Nasema kuanzia leo sitakuwa sehemu na Mwanamke, story ipo hivi Nilikutana jana na Mwanamke kwenye sherehe...
  15. Maisha ya mkulima yanaweza kuboreshwa zaidi.

    Nilisoma habari ya mwanaume wa kizungu alizaliwa mwaka 1920. Alieleza kuwa walizaliwa watoto 10 na wote walikua na kupata miji yao. Baba na mama walikua wakulima. Nyumba yao ilikua mbele ya shamba lao. Shambani walifuga nguruwe, ng’ombe na kuku. Walilima nyanya, caroti, vitunguu, kabeji na...
  16. Pale tutakapokuwa tumekabidhi maisha yetu kwa Google

    ‘Hi Google, based on everything you know about cars, and based on everything you know about me (including my needs, my habits, my views on global warming, and even my opinions about Middle Eastern politics) – what is the best car for me?’
  17. Bila kuchanganyikiwa hutoboi kwenye maisha

    Tumeshazitazama sana video za hawa Jamaa wa Ghana wakicheza na majeneza misibani, fahamu tu kwamba hii ni kampuni rasmi na wanalipwa kufanya hivi na Benjamin ndie Mwanzilishi wa Kampuni hiyo, alianzisha huu mtindo ili kuondoa huzuni misibani ambako vilio hutawala zaidi kuliko kusherehekea maisha...
  18. Maisha ni Vipaumbele

    MAISHA NI VIPAOMBELE Na, Robert Heriel Maisha hayana bahati nasibu, maisha huja kwa makusudi maalumu. Hakuna jambo linalotokea kwa bahati, kila litokealo chini ya jua limepangwa kwa makusudi kabisa. Watu wengi hasa wale tuishia katika ulimwengu wa tatu tunaamini kuwa maisha hayana Fomula...
  19. Maisha ya ndoa yamenishinda

    Naishi na mzazi mwenzangu nahisi hana nyota ya mafanikio nifanyeje kila ninachofanya sifanikiwi kabla ya kuwa nae mambo yalikuwa hayakwami. Naombeni ushauri kwa nyogeza tu alinichanganya baada ya kumfumania na mchepuko mwaka na nusu sasa ananiomba msamaha mpaka leo anajutia na kulia kila wakati...
  20. Ukiona maisha yako ni magumu basi jua kuwa kuna Mtu amekuchezea (amekuroga)

    Habari zenu, Waswahili husema wendawazu ni kufanya jambo ulilofeli awali kwa namna ileile lakini ukitegemea ushindi. Watu wengi Afrika wana bidii ya kutafuta fedha au maisha lakini maisha yenyewe hawayaoni. Afrika wananchi hurogana ili tu kuipa furaha mioyo yao ya wivu. Haijalishi umesoma au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…