maisha

  1. M

    Ushuhuda Kwa tuliowahi kupata mauza uza kwenye maisha

    Kabla sijaleta stori yangu, kila ambaye mtu wake wa karibu (mke/Mme/ndugu/rafiki/mfanyakazi) ambaye huwa unamsaidia Mambo mengi kuanzia ushauri fedha na kumwambia Siri zako nyingi za maisha kama mipango yako ya maendeleo kama kununua Kiwanja/ gari/ nyumba kupata kazi na baadae kukugeuka Kwa...
  2. Mkoa au Wilaya gani naweza kwenda kuanza maisha kutoka chini kabisa (from zero)?

    Baada ya kufanya kazi ya huduma kwa wateja vodacom, kwa zaidi ya mwaka mmoja chini ya kampuni ya outsourcing. Nimeacha kazi baada ya kuona sisogei kimaendeleo licha ya kujinyima sana na kutumia njia nyingi kujaribu kuweka akiba lakini inashindikana kwa sababu mshahara ni mdogo sana na tayari...
  3. Maisha ya Mtanzania na total lockdown

    Middle class watamudu total lockdown. Wale wenye uwezo wa kuwa na: Kilo 10 mchele “. “. Unga wa mahindi “. “ unga wa ngano “. 5. Sukari Galoni la mafuta ya kupikia Hii ni 15%ya Watanzania wanamudu maisha haya, wengi wao ni wenye ajira na biashara za za kuzungusha milioni kuendelea...
  4. Maisha ya Mtumishi wa Serikali ni Magumu mno. Mungu aingilie kati

    Binadamu anapokuwa hana wa kumtegemea pale anapokata tamaa humrejea Mungu wake na kumuomba aokoe jahazi. Tunaishi ka gidigidi. Tuliahidiwa ahadi hewa, muda unayoyoma, hewa tupu. Hali ni mbaya. Na hakuna matumaini. Rais Magufuli kuwa na moyo wa utu. Hebu tizameni wenyewe hii. Ninaona aibu...
  5. Uchambuzi wa kitabu The Fountainhead (Jinsi ya Kuishi Maisha ya Ndoto Yako Licha ya Kupingwa na Jamii)

    Kila mtu huwa anakuwa na ndoto kubwa ya maisha yake katika hatua fulani ya maisha. Wengi hupata ndoto hizi kati ya miaka 7 mpaka kumi. Muulize mtoto yeyote kwenye umri huo na atakuambia wazi anataka kuwa nani akiwa mkubwa. Lakini mfuate mtoto huyo huyo miaka 10 baadaye na muulize anataka kuwa...
  6. T

    Maisha ni magumu aisee

    Maisha ni magumu sana aisee, huwezi amini mm nimeamka leo nina 2000/= tuu, nauli mpaka job 400, so nimebakiwa na buku na mia sita (1600) Jioni sijui nitafanyaje, sijanywa hata chai na mchana sijui nitafanyaje. Anyways tuendelee kupambana. Na sisi one day yes
  7. Afrika matajiri wana maisha mafupi sana!

    DONALD Trump ni Rais wa 45 wa Marekani. Hicho cheo chake sina shida nacho. Trump ni bilionea wa dola, kwa Shilingi ya Nyerere, ni trilionea. Nina kazi muhimu leo na huo utajiri wake. Trump ni mtu msema hovyo. Ana kiburi. Wengi humuona ni ‘mtambo’, akiwemo Spika wa Baraza la Wawakilishi...
  8. Kongole ATCL na Precision Air kwa kupunguza makali ya maisha kwa waajiriwa sekta ya anga kipindi hiki cha janga la Coronavirus

    Kutokana na mashirika mengi ya usafiri wa anga kusitisha safari zake baada ya nchi nyingi kuzuwia kupokea wageni au kuruhusu waliopo ndani kuondoka, kumeibuka kitisho kikubwa cha watu kusitishiwa ajira au mishahara yao sekta ya usafiri wa anga. Taasisi nyingi za binafsi zinazo jiendesha...
  9. Haya maisha bila uno sijui yangekuwaje

    Wakuu vipi,natumaini mko poa na hii wkend tulivu isiyokuwa na bashasha. Kwa mtazamo wangu wkend haiwezi kwenda au kuisha vizuri kama hukupata uno kwa mwenzi wako.Miaka ya nyuma kidogo kuanzia siku ya ijumaa n.k watu wengi walikuwa wanatoka mikoani, wanakuja jiji la maraha kwa ajili ya uno...
  10. H

    Hili jambo siwezi kulisahau kwenye maisha yangu

    Nakumbuka wakati nimetoka kwenye mishe zangu ikiwa ni saa 7 kasoro mida ya usiku Sana siku ya jumamosi nikakutana na wadada wawili warembo stand wakisubili gari pamoja na me.Tumekaa kidogo wakatokea vidume watatu wakaanza kuwashika matako na maziwa wale wasichana bila ridhaa yao. Mara ya...
  11. Maisha ninayoishi huku Nanjilinji ni ya kujitenga tayari

    Vifaa ninavyo nunua dukani ni sabuni, mafuta ya taa na ya kula, chumvi, sukari na majani ya chai. Asubuhi chai inakwenda na mihogo na viazi kutoka shambani. Siku nyingine ni ugali na kisamvu uliobaki jana. Mchana ninakuwa shamba na jioni ninakula ugali wa mihogo na jogoo. Nijitenge vipi...
  12. Madaktari na manesi wamempa heshima mtoto wa miaka 11 kwa ujasiri wake

    Mtoto wa miaka 11 alitibiwa kansa ya ubongo. Alipofahamu kuwa hatapona aliamua kuchangia moyo na figo zake kwa watoto wanaozihitaji. Mauti yalipomfika jopo la madaktari na manesi waliomtibu walimpa heshima kubwa. An 11-year-old boy with brain cancer's wish to donate his organs moved his...
  13. Maisha ya kila siku huku kwetu Kwamtogole

    Mwenye saloon ya kusukia nywele anakodisha chumba. Ndani anaweka Drayer 2, vioo, microwave viti, kabati la display. Chini kuna carpet la blastic. Sijakosea saloon kuna microwave, msusi anakuwa na cooler. Ukienda kusuka rasta saa ya kula anakuuliza utapenda pilau, ndizi nyama au wali...
  14. Wangapi wanayapenda haya maisha?

    Wangapi wanayapenda haya maisha?
  15. Changamoto za mjini hukimbiza wengi kutafuta unafuu wa maisha

    Nakumbuka miaka ya 80s mitaa ya kariakoo kulikuwa na nyumba za tope za Wamanyema kutoka (kigoma) na wanyamwezi (kutoka tabora). Maisha yalivyokuwa yanapanda watu wakapakimbia Kariakoo na kuja kujenga au kupanga maeneo ya Ilala hivyo hivyo wakakimbia na kuja Buguruni mpaka uzee unawadaka na...
  16. Serikali yatoa tahadhari ya Virusi Corona, yasema hakuna mgonjwa Tanzania

    Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imetoa tahadhari ya mlipuko wa ugonjwa wa homa ya mafua makali unaosababishwa na kirusi aina ya Corona, uliozikumba nchi za China, Thailand, Japan, Korea Kusini na Marekani. Wizara imesema kuanzia Desemba mwanzo mwaka jana wamekuwa...
  17. Mfungwa wa leo, ndio Rais wa kesho; na kinyume chake, haya ndio maisha bwana

    Ehhh ndio maisha bwana, unashanga kuhusu jela! Kwa wanaharakati na wanasiasa halisi jela ndio masikani, huwezi kuwa mdai haki alafu uogope masikani (jela), kama unaogopa jela acha siasa, acha uwana harakati, acha kutetea misingi ya taifa lako, kazi ndogo tu acha kuwa mzalendo wa nchi na chagua...
  18. Kiafya haishauriwi kufanya vitu vifuatavyo mara baada ya kula chakula hasa namba nne ni hatari zaidi kwa maisha yako

    1.Kuvuta sigara Kiafya mara baada ya kula chakula hairuhusiwi kuvuta sigara japo kuwa mvutaji wa siagara hupatwa na hamu kubwa ya kuvuta mara baada ya kula tabia hii huhatarisha afya, hivyo inashauriwa kusubiri angalau kwa masaa kadhaa ndipo uvute endapo ni lazima sana kwani sigara ina miliki...
  19. Kuanzia kazi kijijini kunaweza kuwa nafasi bingo ya maisha

    Kuanzia kazi kijijini kunaweza kuwa nafasi bingo ya maisha, vijana wengi hawapendi kuanzia kazi vijinini. Hii ni kutokana na miundo mbinu kuwa mibovu zaidi huko vijijini Fikiria unaanza kazi kama tabibu, nesi, mwalimu, bwana kilimo kijijini. Unakuta kuna nyumba yenye maji na umeme, japo...
  20. Cameroon: Watu 22 wapoteza maisha katika shambulio la kijiji

    Watu takribani 22 wameuawa katika shambulio la kijiji kimoja kaskazini-magharibi mwa Cameroon, Umoja wa Mataifa (UN) umesema. Zaidi ya nusu ya waliouawa katika kijiji cha Ntumbo walikuwa ni watoto. Vyombo vya habari vya nchini humo vinadai kuwa baadhi walichomwa moto mpaka kufikwa na umauti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…