Jinsi gani mapenzi yaliweza kukurudisha nyuma kimaendeleo au kuvuruga maisha yako?

Last KING Ontuzu

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
587
783
Kuna ukweli katika msemo wa kwamba "Bora ukosee vyote ila usikosee kuoa au kuolewa. Mapenzi ni vita, Mapenzi mabaya
Wahenga wanasema hivyo na wanasistiza mapenzi yana run dunia.

Kuna jamaa namfahamu alifanyiziwa ushirikina na demu wake baada ya kuachana jogoo akawa hawiki kbs, na akapata nuksi nyingi mpk biashara zikafirisika.
 
Back
Top Bottom