maisha

  1. Tuseme ukweli: Wanawake wengi huwa wanatamani Sherehe na sio Maisha ya Ndoa

    Nimejaribu kufatilia sana mijadala ya wanawake kuhusiana na mtazamo wao juu ya kuolewa kwanza nimegundua kila mwanamke anatamani sio tu kuolewa bali pia afanye sherehe ambayo atauonyesha ulimwengu kwamba Na yeye amepata wa kumheshimisha na kumchukua kama mke. Ukifatilia kwenye page za Ma mc...
  2. Maisha yalivyokua katika Jeshi ma Warumi

    Warumi wa kale ndiyo walikua wazalendo wa kweli. Katika jeshi wa Warumi kuanzia cheo cha Major kwenda juu ni lazima uwe Mrumi kwa kuzaliwa. Askari wa wa chini ya cheo cha Major walikua ni raia nchi wanayotawala. Kazi ya Major kama hakuna vita ni kujenga miundo mbinu. Kuanzia barabara...
  3. Maisha bila kafara hii ngoma haiendi, utaishia kusindikiza wenzako

    Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri Wakuu nimeunganisha doti za sehemu tofauti tofauti ambazo either nimefanya kazi au biashara nimegundua karibu wote wenye mafanikio wanatoa kafara kwa shetani. Mfano 1: Kuna Wachina niliwahi fanya nao kazi miaka kumi iliyopita ya barabara jamaa walikua kila hatua...
  4. T

    Usiku wa leo nimeona kitu cha ajabu sana kwenye maisha yangu

    Ndugu zangu haya mambo yanatisha! Twende kwenye mada. Huyu mtu nimelalae kitanda kimoja, mida ya 8 usiku ni kama alikuwa akiongea na mtu kwa lugha ya mabishano. Nimestuka kuomuona akilia usingizi, kilio kisicho na machozi ila chenye uchungu na malalamiko. Nilishindwa kulala, hii maana yake...
  5. P

    CCM ni Chama kinachoumiza wananchi wake. Hili dubwasha likipigwa, Wananchi watashusha pumzi na watafurahia maisha

    Wiki iliyopita, kuna jirani yangu mwanaye alipata ajaliya pikipiki, Yule kijana aliumia si saana. Alienda hospital ya wilaya, akatibiwa na kupewa dawa, Usiku wa siku hiyo akiwa nyumbani amelala, alihisi maumivu makali sana, akaamua kumeza Diclopar nne na panaldo mbili ili kutuliza maumivu...
  6. S

    Nakulilia Ivon Njochanilo, Ulimwengu utasimama na Wewe

    Kijana IVO amefungwa Kifungo cha maisha Gerezani Ukonga kwa kesi ya Kulawiti: Criminal case (cc); 165/2020 Kuzaliwa na Vifo vya Wazazi Miaka 19 iliyopita katika kijiji cha Kifanya huko Mkoani Njombe kijana IVO alikuja duniani na kuiona dunia kwa mara ya kwanza, kwa bahati mbaya sana sana...
  7. Ushauri: Nataka kutoka nje ya Tanzania kutafuta maisha

    Wakuu habarini za leo? Nikiwa kama muumini ninae amini maisha ni popote, Leo nimeleta Uzi huu nikiwa na lengo la kupata mwongozo kwa walio nitangulia kutoka nje ya Tanzania au walio na uzoefu wa nchi zingine barani Africa au nje ya Africa. Kwanza kutoka nje ya Tanzania kwenda ku-make life...
  8. Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya uliofanyika Juni 2021 umeshusha hadhi ya nafasi hiyo

    Inasikitisha sana Tanzania sijui inaelekea wapi. DC ni nafasi nyeti ya kuunganisha watendaji na jamii inayowazunguka. Kusimamia mambo ya ulinzi na usalama. Hii ni nafasi ya waandamizi kutoka katika utumishi au chama, wakiwa wamejaa utu uzima na busara za kumwagika. Leo unaenda kuokoteza...
  9. Sabaya enzi zake mtaani akila maisha na warembo

    Mkuu wa zamani wa wilaya ya Hai, enzi akila maisha sehemu mbalimbali katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha. Ambapo kama kawaida alikuwa anaambatana na wapambe wake na warembo. Na kama kawaida ilikuwa ni mwendo wa kula Bata bila kulipa..
  10. Ni Harusi ipi ( gani ) inayonoga zaidi na ndiyo inatakiwa kwa Maisha ya sasa ( Magunu na Nafuu ) kati ya hizi Mbili zifuatazo?

    A. Ya Kuoa / Kuolewa kwa Kuomba ( Kupitisha ) Michango kwa Watu na bado wakija Ukumbuni Bia za Kulazimisha kupewa, Soda za Kuvizia na Chakula cha Kukadiriwa na hapo hapo bado unatakiwa ukawawazawadie wana Ndoa Meza Kuu? B. Ya Kuoa / Kuolewa kwa Wanandoa Kujichanga Wenyewe kwa kila Kitu huku...
  11. Nyie wenye ndoa, mliwezaje kufanya maamuzi mpaka mkaingia ndani ya ndoa?

    Moderator please DELETE #YNWA
  12. R

    Siku hizi ukitangaza Ndoa na una mwelekeo wa maisha, suala la Mahari hawakulazimishi sana

    Kadiri siku zinavyozidi kwenda mbele swala la mahari linaonekana kuwa la kizamani. Sijui kama ndio kustaarabika au ni kuachana na mila na desturi zetu. Kwa upande mwingine hii ni fursa kwa vijana wa kiume waliokuwa wakiogopa mambo ya mahari kwanza. Siku hizi mambo mbwelele. Siku za nyuma ili...
  13. Tupeane stories za Kishujaa/Kibwege wakati tunatafakari Maisha Hapa Kijiweni

    Wadau haya maisha si wakati wote mtu unachora kumi na moja au matuta usoni. Utazeeka au kufa kwa sononi bure. Hebu hapa tuwasaidie wale wanaotaka kujiua angalau wafurahi waahirishe. Kuna jamaa mmoja kijijini nlikuta wanasimulia kuwa jamaa alikuwa mvivu haijapata tokea. Siku hiyo ndo alikuwa...
  14. Ikiwa suala la kiuchumi si tatizo kwako, ni vipi utayafurahia maisha?

    Habar zenu wakuu, Turud katika mada, Tuna assume kwamba suala zima la uchumi si tatzo kwak, una kipato cha kutosha, you can afford all your needs. Swali kivip utayafurahia maisha kwa upande wako? How you can achieve the climax of life happiness? Tiririka maana kuna wat wana pesa lkn bad...
  15. M

    Zuhura Yunus wa BBC Swahili, amesema maisha ya London Magumu huwezi hata kusevu

    Akihojiwa kupitia EATV live, Kilikuwa kipindi kizuri hasa ukiangalia ile kombinesheni ya wadada hawa wawili yani Da Salama kama mnavyo mjua na Da Zuhura wakiwa pamoja mezani na Da Salama anavyomchimba kumtaka ya ndani na nje. Mahojiano yalikuwa mazuri sana kwani Da Salama anajaribu kumchimba...
  16. Fahamu maisha ya Vladimir Putin wa Urusi

    Fahamu kwa undani maisha binafsi ya kila siku ya rais wa Urusi Vradimil Putin Kwa kawaida Putin huchelewa kuamka na kupata kifungua kinywa Akiwa ni mmoja wa viongozi wa dunia wenye nguvu na ushawishi zaidi na mwenye ulinzi mkali, Rais wa Urusi amekuwa akiishi maisha yanayoaminiwa kuwa ya...
  17. MAISHA: Viumbe wote tunategemeana hapa duniani

    [emoji117]Duniani hapa kila kiumbe kipo kwa ajili ya kingine, yaani uwepo wako ni muhimu kwa ajili ya uwepo wa wengine. Ukiamka ahsubuhi lazima umtafute binadamu mwenzako alipo. Siku utakapoamka na kutembea siku nzima bila kuona mtu ye yote, lazima hofu ikukamate. Unaweza ukasema hauna shida na...
  18. Stam Shaiban mix’s nganda aliyeishi maisha ya kifahari

    Collection ya magari yake ni pamoja na Rolls Royce, Porches, Bentley. Umri wake ni miaka 40. Alitumia encro phone, hii ni simu ambayo gps na camera vimetolewa na message zake ziko encryptied. Catalogue la nyumba zenye thamani ya £5m Polisi walimkuta na £1m cash ndani ya nyumba. Kifungo...
  19. Kutokula nyama si umasikini ni aina tu ya maisha unayoamua kuishi

    Hiki chakula ni mchuzi wa njugu mawe, mtindi umekatiwa hoho juu, wali na mkate wa naan. Anaekula hivi si masikini bali ni maamuzi. Kuna ambao kukosa nyama kwao ni dalili ya ufukara, si kweli.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…