maisha

  1. JamiiForums Tanzania Aminini nawaambia kisasi cha wana CCM kitakuwa cha kutisha!

    Hao watu (wana CCM) wanachukiana mno na siku ikitimu ya wao kulipana visasi amini nawaambia kwacho kitakuwa kisasi cha kutisha! CCM hawapendani hatari na sababu hasa ni maslahi yao binafsi na siyo maslahi ya Watanzania ABADANI! Letu la mno tuombe siku hiyo iwadie haraka ili mpango wa Mungu...
  2. JamiiForums Tanzania MAISHA kama yalivyoelezwa na mchoro

  3. JamiiForums Tanzania Sidhani kama Kuna Mtanzania aliezidiwa na Maisha Rais wetu anafanya kazi nzuri

    Humlipii mtoto ada, kuanzia darasa la kwanza hadi kidato Cha sita hizo hela ulizotakiwa kulipa ada unazifanyia nini? Rais amedhibiti kwa kiasi kikubwa Mfumuko wa bei za bidhaa, tunaona kushuka Kwa bei za Mafuta, pembejeo za kilimo n.k. Hizo hela zinazobaki baada ya punguzo mnazifanyia nini...
  4. JamiiForums Tanzania Matokeo ya maisha ya kutaka kufurahisha watu

    MATOKEO YA MAISHA YA KUTAKA KUFURAHISHA WATU. [Somo la leo 19/11/2022] Maisha ya kutaka kufurahisha nafsi za watu wengine mara nyingi huishia katika kuumiza nafsi zetu. Tunaweza imani na matarajio makubwa kwao wakati huo wao wanatuchukulia kwa ukawaida sana na pengine kutokuona mchango wetu...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu Uswahilini Uwanja wa Fisi/Manzese kwa miaka 20

    Wakuu Uswazi uswahilini , ngoja nishee story yangu na experience ya kuishi uswahilini ,Ntasimulia jinsi nilivyo koswa koswa na Ukimwi, jinsi nilivyo kwepa kuzama ktk utumiaji wa madawa, jinsi nilivyo escape kuwa panya road, Nilivyo escape kula mashoga, nilivyoishi na matapeli na kujifunza...
  6. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Umejifunza nini kuhusu Maisha?

    Wakuu poleni na Majukumu, moja kwa moja kwenye mada . Binafsi Mpaka sasa nimejifunza haya hapa👇👇 1: Kama hutapambana kufanya kazi kwa bidi kutimiza ndoto zako mwenyewe, kuna mtu atakuajiri na kukupa kusudi. 2: Maisha hayangojei uwe sawa, amka kila siku na uendelee kusonga mbele. 3: Wathamini...
  7. JamiiForums Tanzania Napata fundisho la maisha. Inasikitisha inaniuma Sana

    Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada. Miaka kadhaa imepita naona tabia zangu zimechange Sana. Ilikuwa Mwaka 2000 nilipoanza kunywa bia, tena safari. Tabia hii nilianza kutokana na mienendo yangu binafsi Kwa mfano kujenga confidence. Mwaka huo nilikuwa na vihela kiasi. Pombe nilipiga walau...
  8. JamiiForums Tanzania Kitengo kipya cha majanga ajali kushughulika katika kuokoa maisha ya watu

    Wizara ya Afya imeendelea kuboresha mikakati ya kuokoa maisha ya watu kutokana na majanga na ajali kwa kuanzisha Kitengo mahsusi kitakachoshughulika na kuokoa maisha ya watu kutokana na ajali. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo akiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania: Watanzania washauriwa kujiongeza mtikisiko wa maisha

    Baadhi ya Wananchi wa Kijiji cha Manchali Kilichopo Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma, wametoa wito kwa Watanzania hasa wa Vijijini, kutumia vyema akiba ya chakula waliyonayo, ikiwemo kuwa waangalifu na matumizi yasiyokuwa ya lazima, kitu kitakachowasaidia kumudu mtikisiko wa maisha unaotokana na...
  10. JamiiForums Tanzania Maisha lazima yaendelee

  11. S

    JamiiForums Tanzania Mishahara kada za Afya iongezwe, wanahatarisha sana maisha yao

    Watoa huduma za afya wana maisha magumu sana kulinganisha na kazi wanazozifanya. Kwa kiasi kikubwa wanahatarisha sana maisha yao kutokana na idadi kubwa ya wagonjwa wanaowahudumia, wapo katika risk kubwa ya kuwa contaminated. Licha ya hivyo wanafanya kazi muda mrefu mno. Serikali wawaangalie...
  12. JamiiForums Tanzania Kama taifa ni muda wa kuangalia vipaumbele vyetu, policies za emergencies preparedness na uthamini wa maisha ya binadamu

    Wakuu, najua ni mapema sana kuanza kulizungumzia hili jambo kufuatia ajali ya leo ya ndege huko Bukoba bila kuwa na majibu kamili lakini ni wazi kama taifa kuna mahali tunakosea na tunahitaji kujitathmini upya. Katika swala zima la uokozi muda wa majanga watanzania tumefeli na tunaendelea...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini wengi wa wanaoenda Marekani kutafuta maisha huwa wanarudi hawana kitu na kama vile kisaikolojia hawako sawa?

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba tujadili hili. Binafsi nimekulia kwenye mkoa wa kitalii ambapo nimeshuhudia vijana wengi wakienda ughaibuni kutafuta maisha.. Arusha na Ulaya zina uhusiano mzuri. Vijana kwenye utalii hupata fursa za kwenda huko. Pia wanamichezo kupitia riadha...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ni kweli miaka ya nyuma ukisoma tu unakuwa umetoboa maisha?

    Nakumbuka zamani mtu akishasoma tu huyo amepata ajira hasa akisomea afya au education yani ajira zilikua nje nje but i think wasomi wote wa zamani walikua wanapata kazi kikubwa uwe na elimu na vyeti vyako tu ajira zilikua nyingi mpaka wakaanza kuajiri na wenye vyeti feki. Lakini HayatI Magufuli...
  15. JamiiForums Tanzania Video: Ona maisha ya upendo yalivyo kati ya ndugu hawa

    Ebu Tazama upendo kwa mtu na Kaka yake katika hawa yatima na namna wanavyopitia Magumu. Let love LeAd Mungu awapiganie na waweze Kupata Muangaza wa Maisha Yao.🙏🙏🙏
  16. JamiiForums Tanzania Dini ya Simba na Yanga inavyodhoofisha maisha ya Watanzania

    Inasikitisha na kushangaza sana. Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru,nchi ambayo inasemekana tuna utajiri wa maji kuliko nchi yoyote ukanda huu wa maziwa makuu na pengine Afirka nzima,leo tunajadili swala la mgao wa maji.Tena Kuna wengine wameenda mbali zaidi kwa kuandika makala za kuwasifia Waislamu...
  17. JamiiForums Tanzania Chukua hatua hizi kupata mwanamke anaekufaa kwenye maisha yako

    Ile misemo ya zamani kuhusu ndoa miaka ya sasa haifanyi kazi kabisa. Kulingana na ukosoaji wa jamii hakuna kijana anaetaka kuangalia tabia anapotaka kuoa badala yake sura ndio jambo la kwanza. Kati ya wanawake wenye sura nzuri na mvuto wapo pia wenye tabia nzuri. Swali linakuja je nitajuaje...
  18. JamiiForums Tanzania Jambo gani baya umewahi kumfanyia mpenzi wako na utajutia milele?

    Katika maisha ya ujana tunakutana na mambo mengi sana, mengine ya kutisha na mengine ya kawaida. Binafsi katika ujana wangu nimepitia mambo mengi mazito, nimeumizwa sana katika mapenzi na nimeumiza sana wanawake. Kati ya kitu siwezi kusahau katika maisha yangu na namuomba Mungu anisamehe na...
  19. JamiiForums Tanzania Kiukweli natamani sana kuishi maisha bila ya watu kunishangaa na kuniuliza kwanini

    "No one judge me" Kiukweli ndugu zangu natamani sana kufanya vitu vingi vya binafsi lakini nikifikiria watu watanionaje nguvu zinaniisha na kuamua kuacha tu na kujificha au kujibana, na ni mambo ambayo natamani niyafanye kwa uhuru wote na kwa kujiachia kabisa. Binafsi mimi ni mtoa huduma za...
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania wanataka uwe Champion wa Maisha yao Magumu na siyo uwe Champion wa Sensa iliyoisha

    Katika 61,741,120 wenye Maisha Magumu (Msoto Daily) ni 60,000,000 (kwa mujibu wangu Binafsi kama GENTAMYCINE ) sasa hii Nguvu ya Kujisifu kuwa Wewe ni Champion wa Sensa inatoka wapi? Halafu labda leo nikushauri kuwa na Wewe sasa anza Kushtuka na Kuwashtukia wanaokusifia kwani wengi Wanakusanifu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…