DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 17,905
- 45,333
Hakika nikijiangalia kipindi changu cha Majira ya upofu ambapo nilikuwa sijaamua kuishi katika Maisha ya utakatifu. Naona mabadiliko makubwa sana.
Nchi ya ahadi ni nzuri, imejawa na asali. Nauona mwisho wangu ukitamatika katika haki na kweli.
Vijana mtafuteni Mungu wa kweli acheni kuishi katika uchafu.
Ukweli ni kwamba, Mungu ni mkubwa, amefanya njia katika maisha ya watu wengi.