I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,730
- 10,033
Ni kwamba karibu robo ya matukio ambapo vunja chungu dume anapomkaribia jike basi huliwa. Na nyakati hatari zaidi kwa dume ni wakati wa tendo la kupandana.
Wanapomaliza, ikiwa itatokea dume litaponea kuliwa, basi dume huanguka tu kwa kuishiwa nguvu kutoka kwa majike au huruka kabla hajakamatwa.
(Dume lililoliwa kichwa kabla ya kumaliza tendo)
Ulaji nyama ya wao kwa wao baada ya kujamiiana ni jambo la kawaida miongoni mwa mantis ( vunja chungu), na watafiti wamehusisha tabia hii inatokana na kuhakikisha maisha ya jike na watoto wake.
Katika vunjachungu majike muda mwingine hula tu wenzi wao wakati chakula kinapokuwa kichache ama hakipatikani kirahisi.
(Bora binadamu hatupo hivi, wengi sana tungepoteza maisha kitambo😂)