mahusiano

  1. A

    JamiiForums Tanzania Ukijingiiza kwenye mahusiano na wadada wenye sifa hii umekwisha

    Kwa muda mrefu nimekuwa ni kijiuliza kuwa ni msichana wa namna gani ambaye naweza kufanya mahusiano naye? Hii ni kutokana na kuchoshwa na tabia za wadada wengi ambao ukijichanganya ukafanya nao mahusiano ujuwe wazi upo kwenye tabu ukilingamisha na raha atakayokupatia pindi unapomhitaji. Ukiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Je, wewe ulijiandaa kwenye mahusiano?

    Wengi tunaingia kwenye mahusiano kutokana na misukumo mbalimbali, mfano:- kupata mwenza, tamaa za kimwili, kuongeza kipato, kuigana n.k Hii hali imepelekea wanajamii kuhamasika, na kila mmoja kutafuta mahusiano bila kuangalia ukomavu wa muhusika, na mwisho wa siku kuleta changamoto katika...
  3. JamiiForums Tanzania Mahusiano ni gharama ya kujitoa sadaka

    Mahusiano yana gharama sana, kama hauko tayari kubeba hizo gharama ni bora usiingie kwenye mahusiano. Na hizi gharama zinajitokeza pale mmeshakuwa wawili ama mmeshazoeana vya kutosha. Na hizi gharama ni kama hizi:- Kumchoka mwenzako na kutaka kumuacha...kama hujakomaa ni rahisi kumuacha...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hataki kuzaa kabla ya ndoa

    Habari wana jf, mimi ni kijana wa miaka 32. Nipo kwenye mahusiono ya miaka 5 na binti wa watu mmoja. Nimekuja hapa jf kuomba ushauri kwa wakubwa zangu wenye uzoefu wa hili jambo maana linanitatiza. Kipindi tuna miaka 3 kwenye mahusiano, mpenzi wangu alipata mimba ila bila kunipa taarifa aliitoa...
  5. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Sex scandals hit COVID-19 centres as quarantined people engage in sexual acts with strangers

    *Waziri afya Uganda amelaumu kuwa baadhi ya watu waliowekwa karantini wameanzisha mahusiano ya kimapenzi* _Hii africa jamani imejaa kila aina ya vituko 😀😀😀_ --- Ministry of Health permanent secretary has revealed that Ugandans living in institutional quarantine have started having sex with...
  6. JamiiForums Tanzania Personalities: Aina za mtu kwenye mtu na mahusiano na jamii.

    Mwanadamu ni kiumbe wa tabia (a creature of habit). Huwa kile ambacho hukifanya kwa muda. Kila anachofanya huwa. Leo nizungumzie Kwa ufupi personalities za mtu kulingana na mazingira na madhara ya kutokumwona mtu katika tabia anayotaka kuonekana anayo. 1) Personality ya mtu mwenyewe: Hii ni...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanamke uliyeachana nae 'Kiugomvi ' katika Mahusiano yenu, Siku akipata mtu wa kumuoa na akikuletea kadi ya Mwaliko huwa anawaza nini kati ya haya?

    Je, huwa anakuwa... 1. Anakukoga ( Anakuringishia ) kuwa umeanika watu Wameanua? 2. Anakuambia kuwa bado anakupenda ila huyo Boya anayemuoa kaingia tu Mkenge kwake? 3. Anakualika uje umshuhudie Mwanaume wake mpya 'anayemsuuza' vizuri Kitandani? 4. Anakuwa anataka tu Kukudhalilisha...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi wa Sheria ya kazi na mahusiano Kazini

    Habari Kiongozi, Ilikuwa mapema mwaka 2014 ndg yangu aliajiliwa kama Mwalimu katika Halmashauri moja hapa nchini hata hivyo alifanya kazi kw muda wa miezi nane Pekee na kuamua kumwandikia Mkurugenzi wake wa Wakati huo Barua ya kusudi la Kuacha kazi lakini hakujibiwa Badala yake Mwaka 2015 June...
  9. JamiiForums Tanzania Let's Share : Unadhani Tatizo lako kwenye mahusiano ni nini kwa mujibu wa 'Ex' Wako?

    Hey Hey JF, Maisha ya binadamu kwa kawaida yamejaa majaribio kwa maana ya 'Trial & Error'. Leo unaanzisha kitu, ukidhani kita work out lakini kinaishia pabaya kuliko hata ulivyodhani. Hili limekuwepo sana kwenye kila tufanyacho yakiwemo pia mambo ya mahusiano. Watu wanakutana leo, wanaanza...
  10. JamiiForums Tanzania Fahamu vitu ambavyo huleta utamu na chachu kwenye mahusiano

    MAPENZI ni matamu, mapenzi yana raha yake haswa ukimpata mtu anayekupenda kama ambavyo wewe unampenda. Kinyume chake, mapenzi hugeuka kuwa shubiri. Yanaumiza lakini suala la msingi, hupaswi kukata tamaa pindi unapokutana na penzi kuwa chungu. Chukulia ni changamoto, usikubali kuishi kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Zijue faida za uaminifu katika mahusiano ya Ndoa

    Suala la uaminifu katika mapenzi kwa karne hii limekuwa kikwazo kikubwa kwa watu wengi sana, wengi wemekuwa si waaminifu wakati mwingine kupelekea mahusiano hayo kufa. Hivyo uaminifu ni muhimu sana katika mapenzi kwa kuwa katika mahusiano ya kimapenzi kuna faida nyingi kwa mwili na akili. Watu...
  12. JamiiForums Tanzania Kisa cha Kweli: Pale mtu wa kawaida unaposhindwa kutumia fursa iliyo jitokeza ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Star wa Hollywood

    Salam ziwafikie wana MMU wote, Leo nimeona nije kuwacheki wadau wa MMU na kuwapa kisa cha dada mmoja maarufu sana Hollywood anaitwa Sharon Stone. Upweke noma sana, hakuna shujaa mbele ya upweke au penzi, Penzi ni pacha wa upweke, huzuni na furaha. Mapenzi yanapo vamia roho ya mtu lazima atii...
  13. JamiiForums Tanzania Single father/single mother: Mtoto wako anapomkataa mwenza wako uliyenae serious katika mahusiano

    Maisha ya malezi yanachangamoto zake, na changamoto iliyopo ni mtoto kukataa au kumfanya akaubaliane na mwenza ambae mmefika hatua ya kutaka kuishi pamoja kama mume na mke ila mtoto ndio haivi na mwenza wako na ni mtoto mdogo (under 7 yrs) huwezi kumlazimisha akabaliane na hali halisi Je...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Napenda kuwashauri dada zangu kwamba jifunzeni kuheshimu mahusiano yenu

    Habari za jioni wakubwa kwa wadogo? Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu. Ni kwamba napenda kuwashauri dada zangu kwamba jifunzeni kuheshimu mahusiano yenu. karne hii ukipata mmwanaume makini na ambaye anaonesha nia jaribu kumheshimu sana. kuwa mbali sana na wale matapeli waliokuchezea...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Pitia hapa uweze kuyatunza mahusiano yako

    Wakuu habarini za mchana, leo napenda kuelezea kidogo tuu jinsi kukua kwa tecnolojia kunavyo athiri mahusiano mengi baina ya mwanamke na mwanaume. Kama una mke, mume, mpenzi na kwenye simu yake anatumia app kama hitwe, badoo, thinder, nk. yako mengi hizo ni chache tuu wajuzi wa mambo...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta company ya mkaka ambayo italeta mahusiano serious

    Habari wadau Natafuta company ya mkaka ambayo kama tukielewana italeta mahusiano ya kudumu. Mimi ni: Mwanamke umri 33-35 Mkristo Elimu ya chuo Mfanyakazi Mcha Mungu focused loving and caring mkaka awe: umri 33-38 Mkristo Awe na hofu ya Mungu Anayejishughulisha kutafuta kipato Elimu angalau...
  17. JamiiForums Tanzania Je kusoma vitabu/machapisho vimesaidia katika mahusiano yako?

    Binafsi sio msomaji sana wa vitabu ila nikipata muda wa kusoma vitabu napata viwili vitatu maisha yanasonga, nimekutana na watu mbalimbali wakitoa ushuhuda kuwa kusoma vitabu kumewasaidia sana hasa kwenye sehemu ya mahusiano ya kimapenzi kwa kuboresha mawasiliano na ujanja kitandano Je kusoma...
  18. JamiiForums Tanzania Huyu alikua mtu muhimu sana katika mahusiano yetu na mataifa mengine

  19. JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanawake waliowazidi waume zao kwa miaka kumi au zaidi wanaridhika na kufurahia mahusiano kuliko wenye umri sawa

    Watu wengi hawapendelei mahusiano ambayo mwanamke ni mkubwa kiumri kuliko mwanaume. Mwanamke mwenye umri mkubwa anayetaka kutembea na vijana wadogo, kwa kiingereza huitwa Cougar, lakini wao hawana jina kwa vijana wa kiume wanaotaka wanawake wakubwa. Tanzania vijana hao huitwa vibenten Hali ya...
  20. JamiiForums Tanzania Wanafunzi kuanza kupiga kura za siri ili kuwataja walimu wenye mahusiano ya kimapenzi ya wanafunzi

    MKOA wa Rukwa wanafanya mpango wa wanafunzi kupiga kura za siri ili kuwabaini walimu ‘wakware’ linatarajiwa kuanza wakati wowote kuanzia sasa Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo kwa kile alichodai kuongezeka kwa walimu wa kiume katika shule za msingi na sekondari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…