Kipi huwezi sahau kwenye mahusiano yako?

sylla

New Member
Jul 30, 2020
3
45
Ni story ipi au jambo gani huwezi lisahau lililo kukuta kwenye mahusiano yako

mi nakumbuka siku ya kunza kuaprochi nilitetemeka sana hadi binti niliyekuwa namtongoza mbona unatetemeka vp unaumwa bahat nzuri nilikua sijamtamkia kuwa napenda hapo ndipo nikapata upenyo nilimjibu ndio naumwa ndo maana nilikufata wewe ili unisindikize home daah
ilikua ni form two
 

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
17,706
2,000
Kuna Kadem tulisoma nako toka darasa la kwanza, kalikua kazuri sanaa yaan kazuri

Nikiri wazi, ndo kadem nilikokua nakaota mara baada ya kubalehe , nandiko kadem nilikua nakapigia nyeto ( Hiyo ni darasa la Saba).


Tukiwa drs la saba, nilikatongoza ktoto toto, kakanikaushia bana.

Tumemaliza, katika stori na wana , nikaambiwa kanaenda kusoma Shule X , ohooo namm nikanwambia mzee, so nikaanza nako kidato cha kwanza shule moja.

Nikaendelea kukutongoza wapi.


NILIAMUA KWENDA KWA WAMASAI ,YAAN KUNA JAMAA ALINIAMBIA WAMASAI WANA DAWA ZA KUTONGOZA NAKUKUBALIWA.

Kwa umri wangu wa miaka 13, nilienda kwa masai, nikampa 15 elfu.

Akanipa mizizi na unga wa kuoga, sasa kimbembe, Huo unga wa dawa nitauchanganyia wapi ili nioge.

Nikaomba ruhusa shule kua naumwa, nikarudi home., nikaoga dawa ile.

Ile miziz masai aliniambia, nitaitafuna na kunuia majina ya yule manzi kabla sijaonana naye kuongea.


Baada ya kurudi shule Nilifanya ivo,, na mchana mmoja tukiwa tunatawanyika kurudi mabwenini, nikamuita demu, Mzee baba huku natafuna mizizi ya dawa.


Nikaanza kukatongoza SITOSAHAU YALE MATUSI NILIOTUKANWA .. ivi kuna mtu aliwah tukanwa kama mimi?? Nilitukanwaaa balaaaa, demu akawaka kama nyati yaaan balaaa, vijamaa vyangu vikawa vinanicheka kinoma, demu akaenda mpaka kwa Mwalim wa nidhamu


Nilihapa sitomsemesha tena...Bahati nzuri nilikua Mzuri sana Darasani, so dem kuna nyakat akawa ananianza kunisemesha kimasomo


Baadae nilihama ile Shule, tukapoteza bila mawasiliano kwa Miaka zaidi ya minne.


Siku moja niko ndan ya Bus naenda kwa bibi likizo hapo niko kidato cha tano, nikiwa singida naona simu inaita namba ngeni, kupokea ni yule mchaga, yaan bila kujitambulisha, Sauti yake nikaikumbuka, nikamuuliza wee ni C???? Akasema ndioo.


Aiseee moyo ukalipuka, tuliongea sanaaaaaa mpka Jiran tulokaa naye akawa anaona wivu tu


Demu akaniambiaga ohoo nayeye alikua ananipenda sanaa, ila Baba yake alimwambia uaijihusishe na mapenz mpaka umalize masomo, ohoooo tulivyopotezana kuna mtu alimrubun akamtoa Bikra yake, ohooo nimsameheee, ohoo nn.


KWA UFUPI, NILIKUJA KUMLA WAKATI HUOHUO WA LIKIZO, TUKAWA NA MAHUSIANO MOTOMOTO, AKAPATA MIMBA YANGU ILA TUKACHOMOA.MJINGA MIMI TAMAA YA FISI, NILIPITA NA RAFIKI YAKE MMOJA ,RAFIKI WA HUYU MCHAGA WALIKUA NI PETE NA KIDOLE.


MCHAGA AKAJUA, MPAKA LEO HAJAWAHI NISAMEHE
 

Kijana wa jana

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
10,499
2,000
Nakumbuka kuna kitu nilipewa na mdada mmoja na tangu uhusiano wetu umevunjika sijawahi kupewa na mwingine yeyote.

Kumbukumbu zake zinajileta zenyewe kichwani kila nikiyawaza mapenzi 🥺
 

kabanga

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
36,868
2,000
Sitasahau siku niliyoitwa out, nikaenda bila senti mfukoni huku nimejipangia nitakula, nitakunywa yani nifakamie kilaji hadi niondoke natembea zig zag....
Kikichonikuta!!! Pumbavu zangu na pumbavu zake umbwa yule.
Binamu...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom