mahusiano

  1. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanashindwa kufanya haya matano?

    1. Lala nae (muhimu kuliko yote) 2. Mlishe ashibe 3. Muheshimu 4. Mwache awe na amani 5. Usimuingilie katika mambo yake. Ni ajabu sana wanawake hawawezi kuyafanya haya matano kwa waume zao, ni kwanini?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nipo kinyume na kwenda kasi kwenye kurudisha mahusiano na Kenya

    Salaam JF, Hivi karibuni Mhe. Rais Samia alifanya ziara nchini Kenya lengo likiwa kurejesha mahusiano ya kibiashara na kidiplomasia na kujenga zaidi ushirikiano baina ya hizi nchi ili kuipa uimara Jumuiya ya Afrika Mashariki. Kilichonishtua ni kuona namna haya mahusiano yanavyokwenda kwa kasi...
  3. JamiiForums Tanzania Sitaki kuzini: Sijawahi kuona kama ana dalili za kuoa na sitaki kumwambia unioe

    Habari za mida hii ndugu zangu Nmekuja nipate ushauri maana naona kila ninalotaka kuliweka mezani napangua. Nimekuwa na mahusiano na kijana mmoja kama miezi miwili hivi au mitatu. Alinikuta sina mtu na tukaanzisha uhusiano (Huyu mtu ananijua na tunajuana maana tumetoka sehemu moja na tumesoma...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa wale mlio kwenye mahusiano ya muda mrefu mnafanya nini kuhuisha penzi pale linapokuwa limepoa?

    Habari za wakati huu wanajamvi pendwa la MMU. Ni siku ya tarehe 05/05/2021 kwa wale ambao siku ya jana 04/05/2021 ilikuwa siku ndefu poleni na wale ilikuwa kinyume chake hongera kwenu. Acha niende kwenye hoja moja kwa moja. Nimekuwa kwenye mahusiano na binti wa mtu kwa mwaka na kitu sasa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mke aliye tayari kwa ndoa halali

    Mimi ni Kijana Me Umri 32 Rangi: Mweupe wastan Mwajiriwa wa serikalini pia nimejiajiri Sijawahi oa wala sina mtoto Dini: islam Elimu: Bachelor Degree Height: 5.7 Umbo : wastan si mnene wala mwembama sana Mke anayehitajika Umri:22-29 Itapendeza zaidi kama atakuwa mwembamba wastan Rangi: Mweupe...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Tangu niachane naye nishapita na mahusiano na watu watatu lakini bado sijapata nitakako

    Wadau natumai mko poa. Nazama moja kwa moja kwenye mada. Miezi takribani 5 iliyopita nilileta mada humu 90% ya mawazo ya wadau niliyatumia na yalinisaidia sana. Najifeel zaidi ya hom humu. Nilikuwa na mahusiano na binti ambaye nilitegemea mwaka huu kumuoa baada ya kumaliza masomo kwa bahati...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna athari kuoa mwanamke anayeanza mahusiano kwa vizinga

    Ukweli bado vijana wengi tuna dhana ile tunaamini mwanamke ambaye hakuombi hela ndo anafaa kuwa mke sasa limeibuka wimbi kubwa la wanawake wapiga mizinga ukisikiliza maoni ya vijana wanasema wanawake hawa ni hit and run hawafai kuolewa. Sasa nimeamua kuleta mada ili tupeane uzoefu kwa wanaume...
  8. JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha wanawake kuzalishwa na kutelekezwa na wanaume?

    Ushawahi kijiuliza ni kwanini wanawake wengi miaka ya hivi karibuni wamekuwa wakizalishwa na kutelekezwa ni wapi wanapokosea! Mpka mwanaume anamzalisha na kumtelekeza ina maana hakukuwa na makubaliano kuhusu mtoto na mimba itakuwaje au mwanamke aliamua tuu kumtegeshea mwanaume wakati mwanaume...
  9. JamiiForums Tanzania Kati ya mwanamke na mwanaume nani anaumia zaidi mahusiano yanapovunjika?

    Salaamuni wakuu. Mahusiano yanapo vunjika either ya mke na mume au wapenzi tu wa kawaida walioshibana ikatokea sintofahamu baina yao hadi kupelekea kuachana je kati ya Me au Ke.... 1: Nani huwa anaumia zaidi kuliko mwenzie? 2: Nani mwenye hasara zaidi kuliko mwenzie? (who is mostly at a loser...
  10. JamiiForums Tanzania Mnawezaje kucheat & at the same time mkaweza kumaintain upendo wenu kwenye mahusiano yenu?

    Salaamuni, Eti wadada hivi kuna kauwezekano nyie mkachepuka and still mkamaintain ule upendo wenu kwenye mahusiano yenu? maana to be honest kuna mwanamke nimedumu nae kwenye mahusiano for almost miaka miwili sasa lengo langu likiwa nijiweke sawa ili nipate uhakika wa kuishi nae mtoto wa watu...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mahusiano Kati ya Kijana, Mama wa Kijana, dada wa Kijana na mke wa Kijana

    Nimetafakari Sana Mahusiano ya watu tajwa hapo juu, Yan kabla ya kijana kuoa na baada ya kijana kuoa. Katika uchunguzi wangu mdogo familia nyingi kabla ya kijana kuoa zinakuwaga na utulivu amani na upendo baina ya kijana, Mama wa kijana na (ma)dada wa Kijana. Lakini baada ya kijana kuoa na...
  12. JamiiForums Tanzania Nimekaa kwenye mahusiano miezi 7 na mtu ambaye sikudhania

    Mwaka 2018 nlienda kumsalimia dogo wangu wa kiume shuleni kwao boarding. Kipindi hicho nipo chuo mwaka wa pili. Tulipiga story sanaa na kuzunguka mazingira ya shule, akanitambulisha kwa marafiki zake wengi wakiume na wakike pia. Kwa kweli ni mtu wa watu. Kwa hili: , Dogo popote ulipo kaka yako...
  13. JamiiForums Tanzania Kuchepuka, Nguvu ya kuanzisha mahusiano

    Kiasili, kati ya mwanamke na mwanaume mmoja wapo akipenda na kuamua kumpata yule alie mpenda, kwa mwanamke ni rahis sana kumpata mwanaume alie mpenda. Kwahiyo tukiwa ndani ya mahusiano, mwanaume anapotiza mwanamke mwingine na kuona ni mzuri si hatari sana kama mwanamke atakapo angalia mwanaume...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kitanda kikubwa huchangia mahusiano ya ndoa kudorora

    Kuna mdau anasema bora avunje vunje kitanda chake cha sasa maana anaona tofauti kubwa kati kitanda kikubwa na kidogo. Anasema alipooa alikuwa anatumia kitanda cha futi 4 kwa 6 na walikuwa hawakai kipindi kirefu bila kupatana na mke wake ikiwa wamehitilifiana tofauti na sasa. Anasema akiwa...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Usidanganyike kuwa Mahusiano ni "kusikilizana" utaachwa. Ukweli ni lazima mmoja amsikilize mwenzake ndio mtadumu

    Siongezi neno wala kupunguza. Mahusiano ya kusikilizana huwa nikuongopeana. Ukweli wa mahusiano yanayodumu ni yale mmoja lazima amsikilize mwingine. Mfumo wa mahusiano ulivyo ni wa HEAD and TAIL! (Kichwa na mkia) Treni hata kama ina vichwa viwili lakini shuruti kimoja lazima kiwe mkia ndo...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Usidanganyike kuwa Mahusiano ni kusikilizana utaachwa, Ukweli ni lazima Mmoja amsikilize mwenzake ndo mtadumu!

    Siongezi neno wala kupunguza! Mahusiano ya kusikilizana huwa nikuongopeana! Ukweli wa mahusiano yanayodumu ni Yale mmoja lazima amsikilize mwingine! Mfumo wa mahusiano ulivyo ni wa HEAD and TAIL! (Kichwa na mkia) Treni hata kama ina vichwa viwili lakini shuruti kimoja lazima kiwe mkia ndo...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Msaada, mahusiano yasiyoeleweka

    Habari wakuu soma Kwa makini kisha unisaidie mawazo Mimi ni kijana wa miaka 25 ni HIV+ ninamalizia elimu yangu chuo fulani kikubwa hapa nchini Nimekua na mahusiano na mdada mmoja ambae amemaliza chuo last year ambaye na yeye ni HIV+ lakini mahusiano yetu yamekua yanachangamoto sana kutokana na...
  18. JamiiForums Tanzania Majuto ya mambo tuliyofanya kimakosa katika mapenzi (sex) au mahusiano

    Ninamajuto mengi sana nilio yajutia baada ya kufanya kutokana na kuoelekwa na hisia za mwili kuliko kifikiria. 1st Niliwahi kumpenda mdada flani hivi vibaya sana nilikuwa namuonga sanaaa kwa kujua kuwa ni wangu peke yangu ila alinipiga chini nikalia kama mtoto mpaka leo sijawahi kupenda...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Madahara ya kukutana kimwili nje ya ndoa au pasipo kuwa katika ndoa

    MADAHARA YA KUKUTANA KIMWILI NJE YA NDOA AU PASIPO KUWA KATIKA NDOA Kukutana kimwili nje ya ndoa ni lango linalotumiwa na adui kuharibu vipawa vya Mungu ndani ya watu, Kwani tendo la ukutana na mtu kimwili si kujifurahisha tu kama wengi wanavyofikiri bali hiki ni kifungo cha Nafsi Na...
  20. JamiiForums Tanzania Ni changamoto gani unaweza kukutana nayo kwa mara ya kwanza unavyotambulishwa ukweni?

    Kwa wale ambao wameshapitia hii hatua tayari na wana uzoefu hebu tupeane experience ni changamoto gani unaweza kukutana nayo siku utakapokwenda ukweni kutambulishwa. Na jinsi gani unaweza kuiepuka hii changamoto ili usije ukaonekana kituko? Pia soma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…