GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,518
- 108,793
Mwanaume wa Kiarabu au wa Kihindi hata kama dukani au ofisini Kwake ameajiri Mfanyakazi wa Kike ambaye ni Mrembo hasa (siku hizi mnawaita Pisi Kali) ni mwiko na kamwe hatoweza hata Kumtongoza ili afanye nae Mapenzi ila kwa Sisi Weusi (Waafrika) ikitokea Ofisini au Dukani Kwako umeajiri 'Pisi Kali' halafu 'humbandui' utachekwa na kuonekana ni bonge la 'Popoma' lililotukuka.
Tofauti hii inatokana na nini kati ya Waarabu na Wahindi dhidi ya sisi Weusi? Na nimetonywa hakuna 'Nuksi' mbaya kama 'Kutiana' Sehemu ya Kazi.
Tofauti hii inatokana na nini kati ya Waarabu na Wahindi dhidi ya sisi Weusi? Na nimetonywa hakuna 'Nuksi' mbaya kama 'Kutiana' Sehemu ya Kazi.