Mahusiano na wake za watu yameniponza na kunirudisha nyuma

Kelebe

Senior Member
Jun 28, 2021
105
472
Habari za Leo wana Jf wenzangu,

Mimi sio mgeni humu. ndani,Nina ID ninayoitumia tangu mwaka 2013 ila kutokana na kitu ninachotaka kukiandika humu basi nimelazimika kufungua ID mpya kabisa.

Nimezaliwa miaka 40 iliyopita ktk moja ya wilaya zilizopo kaskazini ya Tanzania, ni mtoto wa 4 kuzaliwa ktk familia yenye watoto 6,wazazi wangu wote walikua watumishi na sasa amebaki mama tu baada ya baba mzazi kufariki miaka takribani 28 iliyopita.

Twende moja kwa moja kwenye mada yangu.Mnamo mwaka 2009 nilipata ajira katika kampuni moja kubwa tu huko kaskazini mwa Tanzania,nilifanya kazi pale kwa uhodari mkubwa kiasi cha kupelekea kufahamiana na karibu kila mtumishi wa tawi lile,(nasema tawi maana kampuni ina matawi mengi sana Tanzania),ktk kipindi cha miezi mi4 tu ya mwanzo niliaminika na mabosi wa vitengo na idara zote na haikuchukua muda nikapewa ukuu wa kitengo,hapo nikaongeza hadi marupurupu kibao kazini.

Stori yangu ni ya kweli kabisa ambayo ni misukosuko niliyoipata na wala si ya uongo,ukiona INA dalili ya chai basi hulazimishwi kuisoma bali waachie ambao itawafunza na kuwafurahisha,na wala sitarajii kupewa ushauri maana ni mambo yalikwishatokea muda mrefu na yalishapita na sasa naendelea na maisha yangu mapya japokua nimerudi nyuma kidogo kimaisha.

Mimi Nina mke na watoto wawili,wakike na wakiume,. Wakati huo ninaanza kazi pale nilikua na mtoto mmoja tu wa kike na baadae nilikuja kupata mtoto mwingine wa kiume. Naweza kusema mke wangu ni mke bora na ni zawadi kutoka kwa Mungu maana ni mama mwenye Tabia njema na mwenye hofu ya Mungu sana,sisi ni waislamu....

Mke huyu hakimpiti kipindi cha swala hata kimoja(zile sala 5 tunazosali waislamu nadhani wengi mnazijua),sala zake anasalia nyumbani kama dini inavyotutaka kwamba mwanamke asalie nyumbani unless km ana dharura au jambo lolote linalomfanya asiwepo nyumbani basi anaweza kusalia msikitini,...

Nikiwa kazini yy ndio anaenipigia cm na Kunikumbusha kuwa huu ni muda wa swala kwa hio nijitahidi sana niswali, nami wakati mwingine huwa nasali na ninapobanwa na mambo mengi najikuta muda wa swala umepita bila kuswali....kifupi mke huyu ni MTU amelelewa ktk familia iliyoshiba dini sana na hadi namuoa hakuwahi kunipa tunda japo niliwahi kumshawishi aje kwangu ninapoishi kuja Kunisalimia kipindi tukiwa wachumba ila yy alikataa kabisa kufika akidai akifika huko tutapata vishawishi vya shetani na kuingia ktk dhambi ya zinaa.

Kwa kuwa ni binti mrembo basi ckutaka kumkosa nikajikuta tu navumilia hadi cku ya ndoa bila kula tunda,ckuwahi kumwambia MTU yyt kuwa nilivumilia na kuoa bila kuonjeshwa tunda maana nilihofia yule ninaemweleza ataniona fala kwa kununua mbuzi kwenye gunia kutokana na watu wengi kujiwekea utaratibu kuwa hawezi kuoa bila kuonja asali, mimi kwangu kwa kweli ilishindikana kabisa kabisa, hadi namuoa alikua na miaka 21 lakini cha ajabi nilimkuta akiwa hajaguswa na mwanaume, nilijawa na furaha ya ajabu kumuanza mke wangu Mimi mwenyewe.

Nikamuuliza aliwezaje kujilinda hadi umri huo?,Akajibu alishajiwekea nadhiri ya kumlindia heshima mume wake toka akiwa darasa LA 7,.akasema tulipokua wachumba ningemlazimisha sana kutoa penzi basi angeniacha maana angeona Nina tamaa ya penzi na sina nia ya kuoa, ila alinipenda maana ckuwahi kumuomba penzi ktk kipindi chote cha kujuana zaidi ya Kumwomba aje home kunisalimia nae akagoma kwa kuhofia kuwa akifika tu ataliwa hata kwa nguvu....kipindi hicho naoa nilikua nishapitia wasichana si chini ya 50 tangu kubalehe, nakumbuka shule ya msingi nilikula mmoja tukiwa darasa LA 7, sekondary hadi form four pale shuleni nilikula zaidi ya wanafunzi 12 wa vidato tofauti tofauti,...

Hawa nawakumbuka hadi majina mmoja baada ya mwingine, katika kipindi hicho hicho cha sekondari nilikula wanawake wengine ambao either hawakuwa wanafunzi kabisa na wengine walikuwa wanafunzi wa shule nyingine,hawa kwa kweli ckumbuki walikua wangapi,baadae nikaenda chuo ambapo nlisoma miaka 4 vyuo viwili tofauti,huko chuoni napo nilikua wengi sana tu hata idadi sijui,baadae nikaingia mitaani kwenye volunteering na ajira mdogo mdogo za temporary ambapo nilipata ujuzi zaidi na uzoefu zaidi wa kazi zangu,napo huko niliwapiga piga sana tu,na ndio kipindi nilichooa hapo nikiwa sina kazi ya maana kivile,ndio maana nikasema hadi naoa nilishapiga kama 50+ kwa makadirio ya haraka haraka ila inawezekana wakazidi zaidi.

Nilipomkuta mke wangu ni bikra hajachezewa nilifurahi sana, nikajisemea kimoyo moyo jmn na Mimi nitulie sasa, maana km mke nishampata, nisimkere binti wa watu. (hizi nyege hizi jamani nyie acheni tu, kwani niliweza sasa kuacha?)
Nikajitahidi sana kuvunja mahusiano na wanawake wote baada ya kuoa nikijipa imani kuwa nitakuwa muaminifu kwa mke wangu,.
Miaka miwili tangu nioe nikiwa na mtoto wangu tayari binti mzuri kama mama yake nikafanikiwa kupata ajira kwenye kampuni hiyo niliyokwisha ieleza hapo mwanzo.

Miezi ikaisha nikiendelea na kazi na baada ya kuanza kupata marupurupu maisha yakawa bora zaidi,nikanunua hadi kiwanja na kuanza ujenzi hatua za mwanzo. Baadae majaribu ya ngono yakaanzia pale pale ofisini, Nikiwa kijana mtanashati secretary wa bosi wangu akaanza kuonyesha kila dalili ya kunitaka kimapenzi,alikua binti mdogo na mrembo sana jina lake lake naomba nilihifadhi maana anaweza akawepo humu. Binti huyu mrembo kwa haraka haraka ukimtizama utasema hana mume na Mimi ckutaka sana kumuuliza kama ameolewa wala kuuliza kama ana mtoto zaidi nikijiaminisha kuwa hajaolewa.

Basi mwanzoni nilijifanya mgumu kumwelewa nae akawa hakati tamaa,asbh na mapema nikiingia ofcn yy anakuja Kunisalimia na kuniletea vizawadi vya kimtego mtego,Mara Leo aniletee pipi ya lolipop Mara kesho anileletee kiua Mara SAA ya mkononi,basi tu ili mradi kuonyesha ananijali na Kunithamini japo alikua anajua kuwa Nina mke,cku moja asbh akaniletea zawadi eti ya boksa mpya 3 na kuniambia eti hizo ni size yangu na ameninunulia km zawadi,nikagoma kuzipokea lkn akaniomba sana kuwa nizipokee maana ameshazinunua na nisipopokea atazipeleka wapi?.

Mpaka wakati huo nikajiaminisha kuwa hakuolewa na kwa ujinga wangu ckumuuliza ,...nikazipokea.
Rafiki yangu mmoja pale oficn akaugundua mchezo kwa ukaribu nilokua nao kwa binti yule nae akawa ananikazania kuwa Nile mzigo.
Kuna cku tulikua tunatoka kwenda kwenye kazi za nje ya ofisi kama timu Mimi nikiwa kiongozi maana wakati huo nlishapewa ukuu wa kitengo changu.bac binti alinifata na kuniomba nikirudi ofcn nimletee zawadi,nikamuuliza zawadi gani akanambia pipi ya lollipop, na nikaleta kweli.

Weekend ilofuata nikamuomba tuonane mahali flan ambapo palikua restaurant ambayo pia INA lodge kwa nyuma,Nilishaamua kwamba liwalo na liwe,kwa uroho wangu nikaamua sasa namsaliti mke wangu kwa Mara ya kwanza tangu nifunge nae ndoa.jumapili ikafika SAA Tisa mchana nikitangulia kufika mimi kisha nikamtext kuwa nakusubiri nae akajibu yuko njiani anakuja,binti akafika SAA Tisa na nusu akiwa kapendeza hatari kwa nguo zake za heshima,alipofika tu nilipokaa akanibusu shavuni huku akiniomba radhi kwa kuchelewa.Alinikuta nimeagiza juice ya ukwaju nae akaomba kama hiyo.

Pamoja na umalaya wangu wote wa cku za nyuma lkn nilijikuta nakosa mambo ya kuongea na kubaki kimya Mara nyingi au kuongelea mambo ya kazini,.binti alielewa mchezo nae akawa km ndio muongeaji mkuu huku akinitaka niwe huru maana yy alitamani sana kuwa nami mahali kama pale toka zamani sana. Baadae nikajiona fala,nikatest mitambo na kumwambia kuwa cjisikii amani kukaa nae pale maana anaweza kutokea MTU na Kuniona nipo nae pale,nikamwomba twende mahali private ambapo tutakuwa peke yetu bila kuonekana ndio tuzungumze,nae bila hiyana akakubali.

Nikaenda reception kuulizia room nikapata chumba safi kwa 25k,nikalipa then nikatangulia ndani kisha nikamtext njoo chumba namba 9 nipo ndani(ckutaka tuongozane nae),akajibu nakuja mume. Alipofika ndani bila hata ajizi akafunga mlango kwa ufunguo na Kunifata nilipo akanikumbatia kwa nguvu kisha akasema,..." my love nilikusubiri kwa kipindi kirefu sana ili unilete sehemu kama hii,naomba penzi lako maana nakupenda sana,Mara akaudaka mdomo wangu na kuanza kunipa denda,nikaona kanirahisishia maana ckua na jeuri ya kumuanza,mtoto alinipa penzi LA hatari,mtoto mtamu,mtoto wa moto hatari,nilienda raund 2 za ukweli nae akanisifia kuwa nimemkojolesha kwa Mara ya kwanza tokea miaka 2 ipite hajawahi kojoleshwa,hapo ndio akavunja ukimya kwa kunambia kuwa mume wake hajawahi mkojolesha,eti jamaa akipampu Mara NNE au tano kashamwaga,na akimwaga harudii tena,analala usingizi mzito huku anakoroma na kumwacha bibie na hamu zake,akashangaa mm nimepiga mwanzo mwisho hadi anakojoa yy kwanza kisha Mimi,.

Kiukweli nilishtuka kutajiwa neno mume,nikaogopa sana,pa1 na kulala na wanawake kibao huko nyuma ckuwahi kabisa kuwaza kuwa cku moja ntakuja kulala na mke wa MTU,nikamuuliza kuwa mbona hakunambia kama ameolewa?,..akajibu kirahisi tu kuwa alidhani ninajua,eti mbona watu wote wanajua kaolewa na ana mtoto mmoja wa miaka mitatu?,..akanitoa hofu kuwa nisiwe na wasiwasi maana mume wake ana duka lake mjini na hawezi jua maana anarudi home SAA NNE au tano ucku,akaniaminisha kwa maneno kibao kuwa tutakua makini na jamaa hatojua,

Ukweli niliogapa sana na japo nilipanga kurudia round ya mwisho lkn mzigo ukagoma hata kuamka tena kwa woga,nikamwambia tuondoke,tukavaa na kuondoka,baadae nikawaza mbona hata vimatiti vyake ni vidogo na havionyeshi kama kashanyonyesha?,nikakosa jibu.nilifika home SAA moja kasoro na Kumkuta wife anasali swala ya magharibi, nikawahi bafuni chap chap kuoga kisha na Mimi nikasali na kuungana na wife sebuleni,baadae kidogo cm yangu ikaingiza msg WhatsApp, kufungua ni yeye,akanambia VP uko poa?,...ckuijibu maana nikaona nikijibu itaendeleza charting kisha tushikwe,...................
..................,,
...........

Endelea zaidi

 
Inaendelea no 2............
.........................
Bwana bwana asikwambie MTU,penzi LA kuiba cjui linakuwaga na nini?

Nikajitahidi kumkwepa kwepa kwa cku kadhaa ikashindikana hasa kutokana na kuwa tupo nae ofic moja,msg sijibu,ikafika muda nikamblock line zake zote lkn ikifika asbh na mapema huyu hapa ofcn kwangu,ananiomba sana na kubembeleza nisimwache,namwambia siwez kuwa na mahusiano na mke wa.MTU lkn alikua ananibembeleza hadi nakaribia kulainika,ananambia kuwa ni bora nisingemwonjesha utamu wangu angevumilia na Kujiaminisha kuwa na Mimi sitaweza kumkojolesha kama mumwewe lkn nimeshamwonjesha asali na ameshaujua uhodari wangu na utamu wangu kitandani,.Alibembeleza sana na kuniomba sana zaidi ya wiki 2,na Mimi nae na uroho wangu sio kwamba ckuona utamu na ladha yake,niliuona sana na nilitamani sana kuendelea lkn nilihofu kuuwawa au kuliwa tigo huku napigwa na kuchukuliwa video....

Waswahili wanasema ukishaonja asali utachonga mzinga kwa utamu wa asali,naam,nawathibitishia usemi huu ni ukweli mtupu.
Nilibana sana kumrudia lkn nguvu ya shetani nayo ni kubwa sana,imani yangu ikazidiwa na nguvu ya shetani,nami nikajikuta nachonga mzinga mazima.

Nikamrudia kwa kasi ya ajabu,nikazama kwenye penzi LA yule binti,(umri wake wakati huo ulikua miaka 23,ndio maana namuita binti japo alikua mama tayari),kamwili kake kadogo kadogo na vichuchu vidogo sana visivyojulisha kama kuna mtt keshanyonya vilinichanganya sana,hips na traako vilitosha kumtoa udenda mwanaume rijali mwenye tamaa km mimi.

Tukarudia tena kulala lodge ile ile ila chumba tofauti,cku hio tulikutana mapema.zaidi.....SAA nane kasoro tayari tulikua ndani huku mimi nikiaga kwa wife kuwa naenda kusimamia ujenzi wa nyumba yetu na nitarudi jioni,kwa makusudi cm yangu nikaiacha home kwenye chaji nikijidai nimeisahau,nilishamwambia mchepuko asipige cm maana naiacha nyumbani na atanikuta pale pale pa cku ile SAA saba na nusu mchana.alikuja kweli,tena mapema zaidi yangu na kunisubir.tukazama ndani huku tukiagiza mchemsho wa kuku mzima wa kienyeji.

Hatukusubir DKK wala sekunde Mara baada ya kufunga mlango tu tukaanza yetu,baadae tukaletewa chakula tukala tukiwa uchi,kisha tukazama bafuni kuoga huku tukipiga round nyingine huko huko bafuni,...msichana wa watu alichanganyikiwa na penzi langu,anatamani kuachika kwa mumewe ili mm nimuoe mke wa pili lakini wao walikua wakristo wa Catholic, kuachana ni ngumu,tukawa tunapeana moyo kuwa tuendelee hivyo hivyo,.

Miezi ikakatika huku penzi likipamba moto,mtoto hasikii wala haoni kwa penzi langu,tukiwa kwenye michezo yetu huwa anaongea hadi kilugha chao akikaribia kukojoa,sema na kenyewe kalikuaga kanakojoa fasta sana tofauti hata na wife wangu,ana staili yake moja anaipenda sana ya kulala ubavu tukiwa tunaangaliana,mguu wake mmoja nau yanyua kidogo na kuushika kwa mkono wangu huku namchochea taratibu bila hata papara,kwa staili ile huwa anakojoa hata Mara 2 mimi bado,cjui kwa nini huwa anaipenda sana staili ile,....

Miezi ikaisha Mara mwaka tukiwa tunaendeleza libeneke,nyumbani nikawa na utofauti sana,weekend nyingi huwa nashinda na familia nikaaza kutokuonekana home weekend mchana kisa ni huyo secretary wa bosi wangu,ofisini watu wengi wakahisi tunamahusiano japo tulinitahidi kujikausha,cm yangu haikuwa na password lkn nikaanza kuweka password, yaani kifupi nilibadilika sana japo nyumbani niliwahudumia kila kitu na sikupunguza mahitaji ya familia zaidi ya kula mzigo kwa kulazimishwa na wife,....
Mwanamke yyt mwerevu asingeacha kujua kuwa nimebadilika,..

Wife akaanza kuchunguza kimya kimya na baadae akajakuijua password ya cm yangu kwa Kunivizia wakati nachora chora Yale mamistari ya pattern, akavunga ucku nimelala akachukua cm yangu na kusoma msg zote mwanzo mwisho,akaingia WhatsApp na kusoma kila kitu,akaingia gallery na kuona picha zote tulizopiga hadi za chumbani.akajirushia picha zote kwa Bluetooth ili nisijue na kucopy namba ya yule binti,....

Asbh najiandaa kuondoka akanambia Nina mazungumzo na wewe,nikakaa kumsikiliza,badala ya kusema chochote akaanza kulia kwa uchungu huku akieleza kila kitu alichosoma kwenye cm yangu na picha zote alizoziona.
MTU mzima nilichanganyikiwa na kijasho kunitoka,nilikua nimevaa koti LA suti nikaona ni mzigo nikavua,nikaanza kumbeleza wife na kumwomba msamaha sana,wife alilia sana.

Nikapiga cm kwa bosi kumwomba nitachelewa kidogo nyumbani kuna dharura,bosi akakubali na kunambia niwahi SAA 3 asbh kuna kikao.
Nilimwomba sana wife anisamehe nae akatoa masharti.kwanza ni lazima akutane na huyo MTU wangu ana kwa ana huku mm nikiwepo na mama yangu mzazi,awepo na Dada yake mkubwa yani shemeji yangu mimi,kisha ndio tuongee, nikamwomba sana wife tusifike huko na mimi Niko tayari kuachana na Huyo MTU lakini tusijaze watu kiasi hicho.

Wife akagoma,na kutokana na msg alizosoma akawa tayari amejua kuwa yule Dada ni mke wa MTU,akanambia yani kweli nimekosa hata mwanamke mwingine ambae hajaolewa niwe nae hadi niwe na mke wa MTU tena mkristo ambae wala cwez hata kumwoa mke wa pili maana ashaolewa kwa ndoa ya kanisani ambayo kuachana ni ngumu?...

Wife akashikilia msimamo kuwa nitake nisitake jioni baada ya kutoka kzn lazima tukutane mimi,wife,mchepuko,mama yangu mzazi na Dada ake wife,.....akasema yy atamwambia Dada yake aje mahali tutakapo kutana na mimi nimwambie huyo mchepuko pa1 na mama yangu mzazi,akasema nitajua mwenyewe namna ya kuwaambia ila yy anataka kikao hicho na akikosekana mmoja tu kikao hakifanyiki.wife akapiga mkwara kuwa nisipofanya hivyo yy wife kesho atafika ofcn na kushtaki kwa bosi wangu kuwa Nina mahusiano na mfanyakazi mwingine ambae ni mke wa MTU na kitendo cha mahusiano kazini hakiruhusiwi na kinasababisha kufukuzwa kazi japo watu huwa wanadharau hicho kipengele kazini na kuchapana miti kama kawa,hadi mabosi wenyewe wanachapa mzigo kama kawa ila kwa situation yangu ilikua mbaya maana mchepuko nae ni mke wa MTU wa ndoa halali ya kanisani.

Wife akachimba mkwara zaidi kuwa nisipowakutanisha wote Leo jioni atamtafuta mume wa Huyo Dada hadi ampate na akasema kwa kuwa namba na jina LA huyo Dada mchepuko analo basi atafanya juu chini hadi amjue mume wa jamaa na kumweleza a to z ili jamaa akamkanye mkewe.
Nikaona hio ya kumweleza mume ni ngoma nzito sana,nikaona bora nijitahidi kuwakutanisha na kisha nitaomba msamaha kwa wote hasa wife na kuwaahidi sitarudia..

Japo ikabidi nidanganye kwa wife kuwa Huyo Dada nilikuwaga nae chuoni enzi nasoma na tulikuwa na mahusiano kule chuoni japo tulisoma kozi tofauti na huyo dada nilikutana nae kipindi karibu namaliza chuo yeye akiwa mwaka wa kwanza,kisha baadae tulipotezana hadi mimi nikaoa nae akaolewa kisha nilipoanza kazi pale kwenye kampuni ndio tukakutana na kushindwa kujizuia maana tulishakua na mahusiano kuanzia chuoni,wife Alinisikiliza lkn hakunielewa na alishikilia msimamo wake kuwa lazima tukutane wote watano Leo jioni tuwekane sawa.

Ilinibidi nikubali kwa kuhofia kujulikana kwa jamaa kuwa na kula mke wake kisha nikatoka kuwahi kazini huku nimechanganyikiwa.
Kuna kipengele nimekiruka hapo katikaki,....ni kwamba cku za nyuma wakati mapenzi yamekolea kwa mchepuko aliwahi kunielekeza dukani kwa mumewe,akanitajia na kunielekeza duka lilipo kisha akanambia duka limeandika jina LA mwanao kwenye bango,mf. GLORY RETAIL SHOP.

Lengo LA kunielekeza pale ni ili niende nikamfahamu mwenzangu in case lolote likitokea au nikimkuta nae mahali nijue ni mume wake,basi nikaenda hadi maeneo Yale kisha nikampigia mchepuko nae akaanza Kunielekeza mwanzo mwisho huku cm ikiwa sikioni,ananiambia umeliona hilo duka LA kwanza hapo karibu na bar mkono wako kushoto linalouza vyombo vya ndani?,....namjibu ndio,anasema duka linalofuata linauza vinywaji vikali umeliona?,namjibu ndio,duka linalofuata ni duka LA nafaka km mchele maharage nk umeliona?,namjibu ndio,akanambia linalofuata baada ya duka LA nafaka limeandikwaje mbele kwenye bango?...nikamjibu limeandikwa GLORY RATAIL SHOP, kisha akanambia nenda hapo hapo,ukamjue mume mwenzio,usikate cm iweke kwenye mfuko wa shati kisha nenda ukanunue japo sukari nataka nikusikie wakati ukifika kununua.

Nami nikaweka cm mfuko wa shati na kuiacha hewani kisha nikasogea hadi kwenye duka lile na kuingia ndani.
Nilipofika nikashtuka kidogo maana muuzaji namfahamu vizuri japo hatuna ukaribu sana lkn tunafahamiana miaka mingi,.,...
Nilipofika na kumwona nikamuita jina lake,ebana Andrew vipi mzee(sio jina lake halisi),nae akapokea safi mzee baba,mambo VP?,,karibu sana man,...nikamjibu asante mwana,hapa kumbe oficn kwako?,,akajibu ndio bana, nimefungua goli hapa nasukuma cku mzee,,

Bac nikampa hongera zake kisha nikachukua sukari,mafuta ya kupaka,sabuni ,dawa ya meno nk kisha nikatoka na kumwahidi kuwa nitakua nakuja kumuungisha,.
Nilipofika mbele kidogo baada ya kutoka dukani nikatoa cm kwenye mfuko wa shati na kuita haloo,...upande wa pili ukaitia eti..baby kumbe mnajuana na mume mwenzako?,akaangua kicheko kisha akasema Huyo ndo mume mwenzako ambae na ujanja wake wote Leo ni miaka minne tangu amenioa na miaka yote hiyo aameshindwa kunikojolesha hata kimoja tu.nilisononeka kwa kula mke wa msela ambae namjua ila ndio hivyo nilishachonga mzinga.bac ndo nikawa nishamjua mume wake na nikazoea sana kwenda pale kuchukua mahitaji ya home,.........................
...................
Endelea
 
Inaendelea 3..,.................
..................
Mtanisamehe maana nikileta muendelezo nalazimika kuleta ndefu ili nisiwachoshe kusubiria na pia ili niwahi kumaliza stori yangu mapema,...nahisi nitaimaliza kabla hata cjafika sehemu ya 10,..
Tuendelee......

Nilitoka home nikiwa nimechanganyikiwa nisijue hata cha kufanya,naanzaje kumuita mama yangu mzazi aje ashuhudie na kusikiliza uchafu wangu?,mama amekua akiniamini sana na mimi ni miongoni mwa wanae watiifu na wasio na malumbano kwenye familia, Leo hii mama aje kusikiliza uchafu na ushenzi wangu,naanzaje kumuita??...

Pili huyu mdada ambae ni mchepuko wangu,naenda kumpangaje ili akubali kuja kikaoni?,,...
Ila nikashukuru Mungu nimepata japo nafac ya kumshawishi na kumweleza hatari itakayotokea endapo kikao hakitafanyika,ingekua ngumu sana km wife angenambia pale pale nimuite tuje kufanya kikao, nikaona kidogo Nina nafac ya kumshawishi akubali,.
Nilifika ofcn SAA mbili na nusu na moja kwa moja nikawahi ofcn kwa bosi nikamweleze kuwa nishafika,na ofcn kwa bosi ndío nakutana na secretary mchepuko wangu kabla hata cjaingia kwa bosi.

Ile naingia tu kwa secretary akachanua meno yake na kunambia waooo,,,baby Leo umechelewa sana jmn kunani?..
Nikamuuliza chief yupo?,,akanambia yupo nenda tu,nikamwambia nisubir nikitoka kwa boss Nina mazungumzo na ww ila uje ofcn kwangu maana ni full majanga.,,akashtuka na kutaka kujua kunani?,,,,nikamwambia subiri maana ni maongezi marefu.

Nikaingia ndani kwa boss nikamsalimu mzee yule kisha nikamwambia nimeshafika boss,samahani kwa kuchelewa kidogo,mzee akanambia hakuna neno maana nimewahi kikao na ckutakiwa kukikosa maana kina maelekezo ya kazi,kwa utu uzima wake mzee akagundua kuwa CPO sawa,akaniuliza nini tatizo?....,nikajibu nyumbani tu mzee,nyumbani hakuko sawa kabisa Leo,tuna ugomvi mkubwa na mwenzangu,...boss akanipa pole kisha akauliza,....nani kati yangu na mke wangu ndio chanzo cha ugomvi?.....,Ckutaka kuongopa,nikàmjibu chanzo na tatizo limeanza kwangu mimi boss,na mimi ndío nimemkosea mwenzangu,....boss akaniangalia kwa huruma jinsi nilivyokuwa sina amani kisha akanambia,niingie kwenye kikao kisha kikao kikiisha nirudi nyumbani nikawekana sawa na mwenzangu,akanambia siwezi kufanya kazi ktk hali ile Leo,kikao kikiisha nenda kamalizane na mwenzako na uhakikishe yameisha,kama ni kuomba radhi muombe radhi mwenzako na uhakikishe kesho asbh umekuja ukiwa safi kiakili kwa ajili ya kazi,nikamwelewa mzee yule kisha nikamshukuru na kutoka,...kufika kwa secretary nikamwambia kuwa naingia kwenye kikao SAA tatu kamili,muda huo zimebaki km DKK 20 kikao kianze,nikamuomba amuombe bosi wake DKK 15 za dharura akaonane na mgeni wake kule chini getini ana ujumbe ameletewa,kisha bosi akikubali aje oficn kwangu.

Dada wa watu kweli akaomba dharura ya DKK 15 akakubaliwa na mbio akaja kwangu,akakuta nimekaa peke yangu na haraka haraka akataka kujua kulikoni?
Nikamweleza mkanda wote A to Z,akachoka,kisha akaanza kunilaumu kuwa sipo makini,kwa nini naacha kufuta msg na picha?,nikajitetea kuwa mwanzo nilikua nafuta na wife wala hakuwa na mpango na cm yangu,ila baadae wife alipoona kuna mabadiliko kwangu akaanza kuwa na Tabia ya kushika shika cm yangu Mara kwa Mara, nikaipiga mapini kila kona,nikajihakikishia kuwa sasa cm IPO salama nikaacha kufuta chochote,na kumbe baada ya kuipiga cm pini kila kona ndio nikazidisha kiu ya wife kutaka kujua kulikoni kwenye cm yangu,akajidai hana mpango nayo na wala haigusi kumbe ananivizia niitumie akiwa karibu,na kweli akafànikiwa kupata password na pattern kisha akaona kila kitu,nilimweleza mchepu kuwa wife anataka kuja kushitaki kwa bosi na pia ameapa kumtafuta mume wake hadi ampate ili amwambie amuonye mke wake asitembee na mume wake ambae ni mimi,mchepu

alichanganyikiwa,alinipenda kweli na hakutaka kunipoteza ila pia hakutaka mume wake ajue kuna analiwa,.akaniuliza kwaiyo tunafanyaje?nikamwambia wife anataka kuonana nae Leo jioni,yy wife atakua na Dada yake na mimi na wewe,ckutaka kumwambia kuwa na mama yangu atakuwepo ili asikatae kuja,mwanzo aligoma akasema hawezi kuja,lkn baada ya kumwambia hatari itakayotokea endapo hatakuja kuongea na wife ikabidi akubali,nikampanga kuwa mimi nimemwambia wife kuwa wewe uliwahi kuwa mpenzi wangu miaka ya nyuma tukiwa chuoni,nikamwambia kuwa akifika kwenye kikao atanisikiliza mimi kwanza maana mimi ndio nitaanza kuongea na kuwatambulisha kisha nitaanza kueleza ilivyokuwa na kuwa nitaeleza mimi na yy tulikutana chuoni miaka kadhaa iliyopita,mimi nikiwa mwaka wa mwisho nae mwaka wa kwanza,tukawa na mahusiano ya kimapenzi pale chuoni ila baadae tulipotezana na miaka ikapita bila kuonana wala kuwasiliana hadi tulipokuja kukutana tenapale kazini ambapo kila mmoja alishapata mwenza,yy aliolewa na mimi nimeoa,lkn kwa mapenzi tuliyokuwa nayochuoni basi tulivyoonana tukashindwa kujizuia na shetani akatuchota tenabila kujijua kwamba tulikuwa tunawakosea wenza wetu na kumkosea Mungu pia,nikamwambia wakati huo wote mim ndio nitakua naongea nae atakua ananisikiliza tu ili baadae akipigwa swali na wife asijichanganye kwenye maelezo,nikamwambia baada ya yote tutaombana msamaha na kumaliza kikao tukiahidi kuwa tumejifunza na tutaacha kuwasiliana,...

Kidogo somo likamuingia mchepu akakaza moyo na kukubali,....nikamuacha nami nikawahi kukimbia kwenye ukumbi mdogo tunaofanyiaga vikao vya kazi,nikakuta watu wote washaingia na bosi ndio anaanza kuendesha kikao,haraka haraka nikasalimia na kuchukua siti kukaa,..kikao kikaisha SAA sita kasoro na watu tukatawanyika,nikajiandaa kuondoka kisha nikaenda kumuaga bosi na mchepu nikasepa.

Nilimpigia wife cm na kumuuliza anaendeleaje nae akanambia anajisikia vibaya sana,moyo unamwenda mbio na mwili umekosa nguvu,yupo amelala,.
Kwa haraka haraka nikajua BP imeshuka sana,anakuwaga na hilo tatizo japo sio Mara kwa Mara,dawa yake huwa ni kahawa Kali.
Nikapita sokoni nikanunua ile kahawa chungu kabisa ya kupima nikasepa home,mama ckumwambia,nilitaka kumshtukiza tu baadae jioni,maana nikamwambia sasa hivi ataanza kuuliza maswali kibao mwisho atasema njooni nyumbani tuongee,nilitaka kufanya wife anavyotaka ili amani irejee nyumbani kwangu.

Kwa wakati huo nilikua nisha mfunguliaga wife office yake ya kuuza mazaga zaga flani ya kinamama na ilikua inaenda vzr sana tu,dukani kwake alikua anauza mwenyewe na mtt anamuacha na beki 3, nilirudi nyumbani nikamkuta amelala na kweli hali yake haikuwa nzuri sana,..nikasalimia kisha nikampa pole,baada ya pale nikazama jikoni kumuandalia ile kahawa Kali na maziwa fresh, nikampelekea akanywa vikombe viwili na baada ya nusu SAA kidogo hali yake ikaanza kukaa sawa,nikaendekea kuomba radhi na nikamwambia jioni tutafaya hicho kikao na wote tutakuwepo,kidogo akakaa sawa kisha hakuongea na mimi akarudi kitandani kulala,mipango ikafanyika tukapanga mahali pa kukutana,ni hotelini kwa Dada yake,nikampigia mchepu wangu na kumuelekeza tunapokutana,kisha nikampigia mama na kumwomba aje hotelini kwa shemeji yangu Dada wa mke wangu,mama anapàjua hapo hotelini,..kama kawaida mama akaanza kuuliza kuna nini?...nikamwambia kuna tatizo LA ghafla tafadhali naomba uchukue bajaji uje,mama akanielewa na kweli akaja,DKK 20 baadae wote wa5 tukawa tumezunguka meza,..mimi nikaanza kumtambulisha yule mchepu kwa watu wote maana ni yy tu pale ndio alikua hajulikani...........,...
.......,.....

Endelea
 
Inaendelea 4...............


Baada ya kusalimiana mimi ndio nilienza kuo gea,....nikawatambuli. sha wote wale kwa mchepu wangu kwa kumtaja jina lake,.
Hapo mama alikua anashangaa tu ila ni kama alishahisi kuwa pale hali ya hewa sio nzuri kwa upande wangu.

Baadae nikaanza kuwaeleza uongo wangu,kutokea A hadi Z,kuwa yule binti nilikutana nae chuo,tukaanzisha urafiki wakati tukiwa huko chuo,baadae mm nilimaliza chuo na kumwacha pale na hapo ndio tulipopotezana kwa miaka kadhaa hadi nilipokuja kuajiriwa na kampuni hio ninayofanyia kazi ndio nikamkuta pale na wote tukashindwa kujizua tukajikuta tuna ingia kwenye mapenzi bila kujua kama tunawaumiza wenzi wetu,niliongea porojo nyingi sana na baadae nikaanza kuomba msamaha kwanza kwa Mungu,pili kwa mke wangu,tatu kwa kumwaibisha mama na kumsumbua ,na mwisho kwa shemeji yangu,niliongea sana cku ile,baadae mama akaanza kuongea nae akatukanya kabisa kuwa tuachane na hayo mambo yaliopita,km ni mapenzi yetu bac yabaki kuwa historia.
Na kisha akapewa nafac ya kuongea yule binti mchepu wangu,....

Mtt wa watu akaomba sana radhi kwa mke wangu na kwa mama pia,akasema ameshajifunza na hatorudia tena,...
Mwisho akaanza kuongea wife,...aliongea huku analia,akashtaki mambo mengi sana kwa mama,na akamwambia mama kuwa hana uhakika kama mm nitaachana na yule mwanamke,....mm nikawakikishia wote kuwa uhusiano ushavunjwa rasmi na hakutakua na tatizo tena,...

Kila MTU pale aliongea anavyojua na kila MTU mwenye kinyongo akatema nyongo pale,....baadae tukayamaliza na kupeana mikono na kila moja akakamata njia yake,.mimi na wife haaoo nyumbani,.
Kufika home nilikua najiongelesha kwa kujipendekeza kwa wife balaa,Mara nikamletee juice ,Mara soda,Mara maziwa fresh Mara kukaa kidogo nikachombeza na kupiga game moja matata hatari,..unaambiwa toka nimuoe cjawah kupiga show kama ile,...ilikua show ya kujipendekeza na kumfanya achangamke.....Na alichangamka kweli.

Baadae ananiambia na nikuone tena na huyo Malaya wako kama cjakuachia nyumba yako uendelee nae,....akani tight hadi nikatoa ma password na ma pattern yote kila kona nilipoweka.
Akawa na amani,
Siku hiyo tukalala tukipigana mzigo ucku kucha,kiukweli nilichoka sana,kulala ucngiz ilikua SAA kumi kasoro.Nikaamka asbh nimechoka hatari.Ila amani ilirudi vzr.

Nikajiandaa chap chap nikawahi kazini.
Mwanamke yule alivyo na roho ngumu akaniwahi ofcn kwangu na kuniuliza...eti vp imekuaje?
Nikajibu amani imerudi.
Nikamwomba asipige cm yangu wala kutuma text maana password zote nimetoa.
Eti anasema atajitahidi japo cjui km ataweza,anasema kuniacha hatoweza,akaniomba sana tusiachane,eti utamu wa penzi nililompa kamwe hawezi kuliacha likapita hivi hivi,anasema mm ndo nimemrudishia furaha yake na hata ndoa yake ina amani maana mumewe hamkati kiu lkn mimi namkata kiu na akirudi kwa mumewe amani imetawala,...
Nikamwambia kwako amani imetawala ila kwangu kunayumba.

Akanibembeleza sana kuwa hatatuma msg wala kupiga cm yangu ,eti mimi ndo niwe namtafuta nikiwa na nafac,akasema tutakua tunapanga mipango yetu tukiwa pale ofcn na tukitoka tunaenda kutinduana kisha kila MTU anarudi kwake kimya kimya,...
Unadhani niliweza kukataa??...naanzaje kumkatalia mtt mzr,mtamu,mnyenyekevu,mtulivu,ananiheshimu,kiukweli ckuweza.
Nilipokubali kuwa kweli mtt kakolea ni kwamba cku akihitaji penzi anagharamia hadi lodge yy mwenyewe, yani tukikutana lodge Mara kumi bac yy analipa Mara 6 na mimi Mara 4,kuna cku anakuja asbh na vocha ya elf 10 ananiambia nijiunge kifurushi cha mwezi,Mara aniletee suruali na shati mpya kabisa,size yangu anaijua.kifupi duka LA yule jamaa nimelila saana.

Tuliendelea na mapenzi ya siri kwa siri bila MTU kushtuka kwa miaka kama miwili HV,baadae tukaja kukorofishana nikapiga chini jumla,sababu za kukorofishana ni nyingi,ila sio za kucheat,ni vitabia tu vya ajabu ajabu km kutuma msg nikiwa home,Mara kutaka kunibusu na kunikumbatia kila mahali hadi ofcn wakagundua kuwa nakula.

Mwisho wa yote nikaona hapa kuna kuja kufirw*.nikapiga chini japo ilikua kwa mbinde lkn hatimae ikapita miezi nae akazoea.alizoea japo huwa haipiti wiki au wiki 2 asinambie kuwa ameimic mb** yangu na Kuniomba nimuonjeshe ila nilikuwa mgumu hadi akazoea.
Huyu mwanamke nahic alinitia gundu kwa wake za watu,yy ndio alinifungulia mlango wa kutembea na wake za watu.
Ikapita miezi kama minne nikiwa sina mchepuko Mara cku moja naona cm yangu inaita,namba ngeni, siijui kabisa.kupokea nasikia sauti ya kike,kuuliza nani mwenzangu?,akajibu mm Sauda,(sio jina lake halisi)

Nikauliza sauda wa wapi?,akanijibu jmn umenisahau sauda mapenzi wako wa miaka ya nyuma tokea chuoni tulipokua tunasoma?
....Nikurudishe nyuma kidogo.........

Kipindi nipo chuo nasoma kuna binti mmoja alikuja first year mimi nikiwa second year,huyu binti alikua mdogo sana kiumri,alikuwa mrembo kweli kweli,na alionesha Kunipenda sana,mimi ckua na mpango nae hata kidogo,nilimchukulia kawaida tu japo yy alionesha kunipenda sana,nilikuja kutambua kuwa ananipenda baada ya kumtuma rafiki yangu mmoja aniletee kadi ya Valentine, taratibu nami nikaanza kumuingiza akilini,nikaona nisipoteze hii babati ya mtende,mtt kajileta mwenyewe halafu nimwache hivi hivi?....itakua ngumu.
Nikamwomba tukutane weekend moja mjini,akakubali.jumapili ikafika tukakutana mjini mahali moja tukawa tunapata soda taratibu,nikaanza maongezi,..

Mwanaume nikapiga sound zote cha ajabu Sauda akachomoa,imba imba na wewe mtt wapi,ingiza vocal piga na mixing Sauda kachomoa,nikamshangaa sana yule mtt,cku zote anaonyesha Kunipenda tena sana,hadi washkaji wananiambia kuwa mtt ananipenda,Leo hii naamua kuweka maneno mezani tuyajenge eti kenyewe kanachomoa,.kanasema eti yy bado mdogo sana na anaogopa kuingia kwenye mahusiano,...akanipa option mbili,moja tuishi kwa kuheshimiana kama kaka na Dada na akaahidi kunipenda na kuniheshimu kama kaka yake na option ya pili akanambia kama kweli Nina mapenzi ya kweli kwake basi nimsubiri hadi amalize chuo ndio tuanze mahusiano,ila kwa sasa hayupo tayari.

Nikaona haka katoto kananizingua,yani nimsubir miaka miwili mbele halafu ntaishije bila kapu manyoya?
Nikajibu kwa mkato kuwa nimechagua tuwe km kaka na Dada kisha nikanyanyuka bila kuaga nikasepa.Cha ajabu bado hakukoma kunisumbua pale chuoni,kila Mara anatuma text Mara nimekumisi Mara nimemchunia,Mimi nikawahi sina habari nae tena.
Nikamaliza chuo nikaingia mtaani kuparangana nikiwa nisha badilishaga hata line,nikapata mtt na heshima zake nikaoa,Mara nikapata kazi nzuri,Mara nikapata mke wa MTU nikala karibu miaka miwili nikaacha,nikatulia tena na ndoa yangu Mara Leo anakuja kunitafuta cjui kapata wapi namba zangu.

Nikaona Mungu wangu,Yale niliyodanganya cku ile kuwa yule mke wa MTU tulianzia chuoni tuakutana tena uraiani ndio haya yanakuja kutokea kiukweli kweli sasa,Sauda akanambia kuwa yupo pale mjini kwetu na ameambiwa kuwa na mi nipo nafanya kazi mahali na nimeoa,nikajibu ndio nimeoa,akanambia hata yy pia ameolewa na mwalimu wa shule na ana mtt mmoja wa kike,...akanambia amekuja na mume wake kwao kwa mumewe na akaomba tuonane cku hiyo jioni.

Nikamkubalia na jioni kweli tukaonana,ckua na mengi sana ya kuongea nae zaidi yy ndo alikua muongeaji sana,akaniomba sana nimsamehe kwa kunikatàlia kuwa wa penzi kipindi tunasoma,akasema ilikua ni utoto tu na sasa anajuta maana Leo hii yy ndo angekua mke wangu. Aliongea sana cku ile na akaomba msamaha sana hadi nikajikuta nalainika na kuingia line mazima,cku ile nikapiga Sauda na kuanzia cku hio hadi Leo bado napigaga Mara moja moja tukionana maana yy anaishi mkoa mwingine.nimepiga sana Sauda hadi mimba akabeba ikabidi aitoe maana mtt atatoka mweusi tii kama mimi nilivyo,na yy na mume wake wote ni weupe pee,na mtt wao pia mweupe,Sauda ikabidi aichomoe kwa hofu.(Mungu nisamehe).....ckuishia hapo kwa sauda......
................
.........inaendelea baada muda mchache.
 
Inaendelea 5.,........,...
..............
Nikawa kama ndio nimeuwasha moto kwa wake za watu,Nakumbuka mahali nilipojenga na kuhamia kuna jirani yangu ambae mkewe alikua rafiki wa mke wangu,huyu nampa nick name Mwajuma,

Mwajuma alikua msusi wa mke wangu na kama ujuavyo mke wangu sio MTU wa kutoka kwenda saloon,bac mwajuma ndio alikua msusi wake mkuu,akitoka kwenye duka lake nililomfungulia jioni bac km anahitaji kusuka anamwita mwajuma aje kumsuka home,ckua na mazoea sana na mwajuma hadi nilipoanza kumzoea taratibu nilipokua namkuta home jioni anamsuka wife,mazoea hayakua ya kiivyo,
Nàkumbuka cku moja ilikua jumapili na nilikuwepo home,wife akaja SAA 11 na kuniomba cm yangu ampigie mwajuma aje kumsuka maana cm yake haikua na dakika,nikampa akampigia na mwajuma akaja kumsuka.,cjui ilikuaje hadi mwajuma akatambua km ile ilikua namba yangu,nahisi aliisev akaona picha yangu WhatsApp, au labda aliangalia jina kwenye tigo pesa akakuta jina langu,..
Ikapita kama wiki toka wife atumie cm yangu kuwasiliana na mwajuma,..Mara mchana wa SAA Tisa msg ikaingia kwenye cm yangu ikisema....JIRANI ASALAM ALAYKUM.

Nikamjibu salamu bila kuuliza ni nani nikitarajia ataendelea kuchart,....Naam,ikawa kama nilivyowaza,...akauliza ushanijua??
Nikamjibu hapana, Akasema mm jiran yako mama Amiri,mh!.…nikashtuka huyu mwajuma katoa wapi namba yangu?,,(Mama Amiri ndio Mwajuma mwenyewe, ila hilo Amiri pia sio jina halisi LA mwanae,nimetumia km nick name tu asije kuwa yumo humu akanitambua kirahisi japo najua naweza kujulikana)

Mwajuma akafululiza msg ya pili kabla cjajibu ile ya awali,...akauliza jirani upo wapi sasa hivi?.…
Nikamjibu kuwa nipo kazini,...akasema naomba nipigie kama una dakika na nafasi,...
Nikapiga,

Kwenye maongezi akanambia kuwa namba zangu amezipata baada ya cku ile kupigiwa na wife aje amsuke,,..akaongea ongea mawili matatu kisha akaniomba nimkopeshe elfu hamsini kama ninazo maana ameshikwa na tatizo LA ghafla na mume wake amesafiri karibu wiki sasa hajarejea,akadai mume wake alienda kijijini kufatia kikao cha ndugu kugawana mashamba ya marehem baba yao aliefariki miezi miwili nyuma.Mume wa huyu mwajuma anauza mitumba ile ya kutembeza mitaani maana hana ofisi maalum ya kuuzia,na pale mtaani walikua wamepanga tu nyumba ya jirani na kwangu.

Katika kuendelea kuniomba nimkopeshe akaniomba pia nisimwambie mke wangu kuwa yy kaniomba nimkopeshe hela maana kwa maelezo yake mke wangu akimkopesha sh 30,000 na bado hajamrejeshea kwa kuwa hali yake bado haijakaa sawa.Huyu mwajuma yy kabila lake ni Mnyaturu wa singida na mume wake pia ni mnyaturu.Ni binti flani hivi wa umri kati ya 23-26 hivi na ana mtoto mmoja wa kama miaka minne kwa wakati huo,,Mrefu kiasi,rangi yake so mweupe sana wala si mweusi,kibongo bongo tumezoea kuwaita maji ya kunde flani hv,umbo si mnene wala si mwembamba sana,anafaa kwa matumizi ya haraka haraka kwa nyege mshindo ila sio wa kuweka kambi mazima.

Nikamjibu sasa jirani kama wife kakukopesha na bado hujamlipa Mimi utanilipa kweli na wakati hata mke wangu hutaki ajue?...
Mimi ntawezaje kukudai na we we ni mke wangu mtu?,si ntakuja kuambiwa nakutaka jirani yangu?.Nikamwambia naweza kukukopesha lkn lazima nimshirikishe wife maana yy ndio ataweza kufuatilia deni na kudaiana wao kwa wao ni rahisi kuliko Mimi kudai.

Dah!...kusikia tu neo naweza kumpa akachanganyikiwa,alijua nitaanza kulalamika kuwa hali ngumu,.Bac mwajuma akapata nguvu ya kuendelea kuniomba na kunishawishi kwa naneno hadi ananilegezea sauti kwenye cm na kupunguza sauti yake kama vile tunaongelea chumbani,sauti flan ya kumbeleza sana,akanambia jamani jirani ntakulipa baada ya wiki tu,tena ntaanza kulipa yako kwanza kabla ya mkeo maana akadai wao wanawezana,,..na pia kuhusu kudai akanambia kwani naogopa nini kumpigia cm na kumdai wakati mume wake kutwa nzima anashinda kuzungusha nguo mitaani na anarudi SAA mbili ucku na kutoka asbh.,..Nikawaza kwa sekunde km 5 kisha nikamwambia sawa jirani nakutumia saivi,Akanambia hapana usitume kwa cm,nielekeze tu ulipo hata km ni kazini nitakuja kuichukua maana nipo mjini,ukituma itakatwa.

Nikamuelekeza ofcn na DKK 20 zilikua nyingi Mara jirani huyu hapa nje ya geti LA ofcn akapiga cm nikashuka nikamkuta,nikampa elfu 55 na hiyo 5 nikamwambia asinilipe ni ya nauli.akashukuru sana,akanipa na mbinu kuwa namba yangu niisev bila kuandika jina lolote,nikariri namba 2 za mwisho tu ili kukumbuka,nae akasema yangu Alisha isevu muda mrefu tena bila kuandika jina,pia akanambia niwe nafuta msg km zile alizotuma mwanzo na kufuta namba yake kwenye calls maana hataki kugombana na shoga yake.
Kumkopesha ile hela nikawa kama ndo nimekosea,ikawa kwa cku anatuma msg hata 50,Mara jmn nashukuru sana uliniokoa,Mara ucjali ntakulipa,Mara jirani una moyo mzr km ww mwenyewe ulivyo mzr,.....

Mh!.…...Taa nyekundu ikawaka kichwani kwangu,nikaona dalili zote za mitego,nikaona na dalili ya kutolipwa deni langu na badala yake mm ndio niongeze nyingine,...
Zikapita wiki 3 deni silipwi ila nachatishwa kila cku mwanzo mwisho, na maneno yake ni ya kimtego mtego tu,nami kudai nasita sita maana nilishahisi harufu ya papuchi LA kinyaturu krb yangu.

Bila kudai deni wala nini ukaisha mwezi huku nachatishwa daily,cku moja nakumbuka ilikua jumamoc asbh Niko ofcn,tunatoka kazini SAA sita mchana,Mara asbh hio ya SAA 3 SMS yake ikaingi kama kawaida yake ikianza na ,.Jirani mambo?..
Nilishazoea msg zake,na Leo nikamuuliza baada ya kumjibu kuwa yuko wapi na yuko na nani?
Akajibu nipo nyumbani tu mwenyewe, nataka nianze kufua,Nikamuuliza upo mwenyewe mtt wako yupo wapi?...
Akanijibu mtt kaenda kwa bibi yake tokea jana, ameenda na baba yake,.Niliposikia kuwa yupo mwenyewe nikapiga cm kabisa.
Akapokea na kunambia Leo kunani nimeamua kupiga kabisa wkt cku zote huwa tunachart tu?
Nikamwambia nimepiga kwa sababu kuu mbili,

Kwanza kuisikia sauti yake maana nimeimisi,..,kanyaturu kakacheeka kwa furaha na kisha kakasema km nimeimisi sauti yake mbona sifunguki ili tusalimiane ana kwa ana?.….
Nikamtuliza kwanza huku tamaa za mke wa MTU huyu zikianza kuniingia vzr,
Nikamwambia jambo LA pili lilonifanya nipige cm ni kumlaumu kwa nini hajanambia kuwa mume wake kasafiri na kaondoka na mtt nae akabaki peke yake bila kusema?,...nikamwambia kwani jirani mm nikikutoa out kuna ubaya gani?. Au hupendi?
Mtt wa kinyaturu akacheka kisha akanambia jirani Nina tamani sana unitoe out lkn naogopa kusema,si unajua we we mume wa shoga angu?.

Nikamwambia bac jiandae Leo nakutoa out SAA Tisa mchana,... Na ikawa hivyo kweli,mchana mm nikawahi kurudi home baada ya kutoka kzn,nikamwambia wife baadae Nina kwenda na rafiki yangu anataka nimsindikize anaenda kujitambulisha kwa wazazi wa mchumba ake na nitachelewa kurudi maana kule wameandaa chakula, so ni lazima tule ndio tuondoke,wife hakua na wasiwasi maana cku hiz ana Uhuru na cm yangu na haoni tatizo lolote,.

SAA Tisa kasoro ishirini nikatoka nyumbani na kiToyota Porte changu.(kwa ajili ya kwenda haraka haraka kuna matukio yasio ya muhimu huwa nayaruka km hili la Toyota Porte,hapo nyuma nilijichanga nikanunua na usafiri wa Toyota Porte japo nilimvua MTU)
Nilipotoka tu home nikampigia Mwajuma cm akanambia yupo tyr ananisubir Mimi tu,nikamwelekeza achukue boda atanikuta mahali namsubiri.dakika 10 nyingi mnyaturu huyu hapa,akamalizana na boda kisha akaja nilipo,Tulienda mbali sana,kwa mnaojua mji wa arusha,tulitokea Kisongo tukaenda USA river,tukatulia mahali kisha tukaagiza nyama choma na ndizi take away na maji kubwa 2 kisha tukahamia ndani kwenye lodge moja nzuri IPO USA river,cha ajabu wala hakuuliza kwa nini tunaingia lodge badala ya kukaa sehemu ya wazi tule,badala yake akanimwagia sifa sana,eti Nina akili sana,cjutaka tukae maeneo ya mjini tukaja mbali kabisa pia ckutaka tukae mahali watu wanatuona nikaamua tujifiche tule nyama kwa amani.nikajichekesha tu kwa uchu wa papuchi LA Singida.
Tumeingia ndani wala hakukua na stories za maana,tukavuta kimeza kidogo kile cha lodge,tukanawa mikono,tukaketi kitandani na kuanza kula,.

Hakukua na kutongozana pale,shuhuli ilianzia kwenye kula,nikakata kipande cha ndizi nikamkisha akakubali,Mara nae akachukua kipende cha nyama akanilisha,....
Kunilisha tu ndio ikawa kama amekosea,nikaanza kumchezea Mara nywele Mara shingo,niakaona ameshashindwa kuendelea kula, Mara nikahamia pajani,na vile alikua amevaa dera bac ckupata tabu kuifikia papuchi,,..mnyaturu ana visa huyu cjawahi ona,si akaamua kuvaa dera na chupi tu bila hata tight?...

Kugusa tu lile furushi mnyaturu wa watu akaanza kutoa mihemo na kuudaka mdomo wangu kupata denda,nikaona km ile chupi yake inanizuia,nikaibetua pembeni na kugusa papuchi imelowana,mtt ana kiulimi kirefu balaa,Mara tukatoana nguo chap chap na kuvaa condom tukatinduana hadi SAA mbili kasoro,baadae tukaondoka kurud nyumbani,ckumpa hata mia,huyu mnyaturu hakulaga sana hela zangu,yy alikua na pepo LA NGOno tu,ktk miezi kama 8 niliokuwa nae hakutumia zaidi ya laki 2 au 3,hela nyingi nilipoteza kwenye lodge na mafuta ya gari maana tulikua tunaenda mbali sana kutinduana km mume wake hayupo,kama jamaa yupo tulikulana hata ndani ya gari.

Nilimla sana huyu Dada,na nashukuru wife hakuwahi kugundua hata cku moja hadi walipohama mji na kurudi kwao singida baada ya maisha kuwa magumu zaidi kwa jamaa na kuzidiwa na madeni.nashukuru aliondoka salama bila kushtukiwa na MTU yyt kuwa tunakulana,nakumbuka mwaka juzi nilikua kwenye utafutaji singida nikamsaka hadi tukaonana nikala mara 1 japo ckuwahi kurudia tena maana nilimkuta amejichokea na maisha hadi amepauka,.ninachoshukuru ni kuwa kote nilipopita ckuwahi kwenda kavu kavu bila condom zaidi ya Sauda ambae alibeba hadi mimba na mwingine mmoja nitamuelezea mbele......................
..........................
Nitaendelea baadae ambapo sasa ndio nilikutana na kisanga kidogo kinitoe roho
 
Hii kweli ni life experience, wenye kujifunza na wajifunze. Life upo complex sana na kuna mambo mengi sana yanaendelea bila sisi wanadamu kuyaelewa
Mkuu nimeteseka sana, cjui nililogwa au ni akili yangu ya kishenzi tu,namshukuru Mungu alikuja kuniokoa baada ya mateso mengi,fuatilia hadi mwisho utajifunza kitu,naimaliza Leo Leo hii
 
Back
Top Bottom