Anaomba nimsaidie pesa, sitampa maana kipindi cha mahusiano yetu hakuwahi kunipa penzi

kidereko

JF-Expert Member
Jun 13, 2021
882
1,254
Kuna mwanamke kwenye mwaka 2011 nilikuwa namtaka na nilimpenda sana, viela vyangu vidogo dogo alikula sana, wacha mahitaji mengine, kipindi hiko yeye ana umri wa 21yrs, nilimpenda aswaaaa, kala sana viela vyangu kipindi hiko.

Ila pamoja na kumjali kote hakuwai kunipa penzi kipindi hiko chote ,kila siku anasema subiri subiri, naogopa naogopa. Mwisho wa siku nikampotezea na nikaja kuoa , maisha yakasonga.

Sasa bwana mwezi uliopita nikagumiananae kwenye mtandao fulani, tukachat sana, akaniambia ameolewa na Sasa ana mtoto mmoja, anasema kipindi kile hata yeye alinipenda sana,ila utoto ulikuwa unamsumbua tu, nikamuambia usijali yashapita hayo bibie, hata mimi nna familia kwasasa,

Sasa bwana Jana ameniambia yupo Mwanza alienda kwenye kumuuguza mama yake, na bahati mbaya amekufa. Kwahiyo pamoja na mambo mengine anaomba nimsaidie elfu Themanini aongezee nauli, na mahitaji mengine.

Aisee sijapata jibu la kumjibu mpaka leo, zaidi yakumwambia subiri tuangalie namna zake. Kuna wanawake Ni wapuuzi Sana, Sasa mtu Kama huyu wakumsaidia kweli hiyo senti, siitakuwa ni "Ukoro"
 
Ukimwendekeza huyu kuna amri mojawapo hapa inakwenda kudabuliwa. Sad!
Screenshot_20210714-182243_Chrome.jpg
 
haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa yaani this lady is seeing you as an idiot for sure,at 21 someone is saying it was coz of childishness, and yet she was spending your money, kweli mwanaume wa bongo safari yetu ni ndefu sana
Kwa mazingira ya makuzi yake, kwa umri wa miaka 21 alikuwa Kama mtoto tu, mazingira ya watu wa dini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom