Mambo unayopaswa kuyafahamu kuhusu mahusiano na ndoa

Emanuelpaul

New Member
Jul 18, 2021
1
20
1. Mwanaume kuna aina fulani ya wanawake kwa namna yoyote ile uliyotakiwa uwaepuke. Wanawake wanaodhani uzuri wao ni zaidi kuliko tabia zao.

2. Mwanamke Tafuta mwanaume atakukuongoza na kumtumikia Mungu, sio yule atakayekumbusha kutaka ngono pekee.

3. Mwanaume Usimpe MIMBA mwanamke kabla ya hujamfanya kuwa mke wa halali.

4. Mwanamke usikubali MIMBA ikufanya kuwa MAMA WA SINGLE, kabla ya ndoa haijakufahamika kwa MKE HALALI.

5. Mwanaume Unapokua na bidii ya kumtafuta Mungu kama utafutavyo wanawake, Mungu atakupa mwanamke ambae wala hutahangaika kumtafuta.

6. Mwanamke, Wanaume bora sio kwamba hawapo, wapo ila ni watu wengi wanavutia. Wanamuda na majira yao. Ubora wa wanawake wa wanawake wanaohitajika na Muda wao wakuoa watafikia huoa tu bila shinikizo la nje.

7. Mwanaume, Usimuite mwanamke ni CHEAP kwa vile amekukubali kirahisi, anakunyenyekea na kukutii. Mwanamke huyo huyo ni mgumu kwa wanaume wengine

8. Kama unampenda mtu, mwambie wazi na mpe uhakika (ufafanuzi) na kama haumpendi, mueleze wazi ajue. Binadamu tupo nyuma ya wakati. Usimpotezee mtu muda.

9. Mke au mume wako anaweza kukusaliti, ila Mungu hawezi kukusaliti kamwe. Mtangulize Mungu kwa kila hatua unayopiga.

10. Ofcourse mwanaume / mwanamke anaweza akakuacha tena kwa dharau nyingi, ila endapo utaijua thamani yako hutateleka mara moja. Utajikuta umemuacha aende tu!

11. Owa / olewa na mtu ambae anaweza kukuombea na sio kufanya mapenzi pekee!

12. Kwa mwanamke bora, haitajalisha ni kiasi gani cha pesa ulichompa, suala la muhimu ni muda uliowekeza kwake. MUDA uliowekezwa ndio kipimo halisi cha mapenzi.

13. Kama ukimuuliza Mwenyezi Mungu, sheria ya smart dating ni ipi? Jibu ni rahisi tu. "Usimvue mwanamke Nguo kabla ya ndoa"

14. Mwanamke, kama ukimuuliza Mungu mwanaume bora yukoje na nitajuaje kama ananipenda? Jibu ni rahisi. "Kama mwanaume huyo hana hofu ya Mungu ni vema ukajiandaa na chochote. Mwanaume asiye na Mungu hawezi kukuongoza kama KRISTO alivyoliongoza kanisa la ziwa.

15. Tafuta mwanamke ambae atachangamsha akili yako, sio ambae atakuchangamsha kingono pekee.

16. Watu walio kamili hawapo kabisa, ila watu bora wapo kila mahali.

17. Matokeo ya kuwadharau wanaume walio bora na ku-hang out na wavulana wenye swagga, ni kuja kuwa na uchungu na mwanafalsafa bora ukiwakandia wanaume pale umri utakavyokua umeenda na usione future yoyote ambayo katika maisha yako.

18. Hakuna mwanamke mpumbavu kama yule anaemdharau mwanaume kutoka kwa hali yake ya umasikini aliyonayo sasa. Kila mwanaume mwenye bidii ni tajiri aliyeko katika kipindi cha mpito.

19. Mume ni vema awekeze kwa mkewe, sio mali pekee, bali uaminifu, upendo, na ukaribu. Uwekezaji kwa mke una matokeo chanya, ila uwekezaji kwa michepuko ni kufilisika kiakili na gharama.

20. Baadhi ya wale tunaowaita wapenzi wapo katika maisha yetu ambayo ni uharibifu wa malengo yetu. Shetani anakuja kama girlfriend anahitaji kukumaliza kiakili na gharama na vilevile anakuja kama boyfriend akihitaji sex pekee wala sio ndoa wala malengo au maono yale yale Hivyo kuwa makini.
🔥🔥🔥

Asanteni sana marafiki zangu wote humu kwa kuwa nami kwa kipindi chote.

"Mpenzi naomba kufananishwa katika mambo yako yote na kuwa na afya yako, kama vile roho yako ifanikiwavyo." 3 Yohana 1: 2
* swali * 😭😭😭

Kwanini wengine wanaangukia katika dhambi ya uzinzi ? Kwa ufafanuzi Zaidi Kwanini uzinzi mwengi Waweza tazama.
 

Dagger-v

JF-Expert Member
Mar 6, 2020
1,869
2,000
Swala la kumvua nguo mwanamke baada ya ndoa n ngumu coz wengi washavuliwa huko ...so hawana jipya tena
 

St Lunatics

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
6,487
2,000
Dhambi nina nunua thawabu bure. Mimi namuuliza mke wangu kwanini nyama choma ya nje tamu. Amenijibu nyama za biashara lazima zichepuke ili wapate wateja wengi. Mimi naona mke wangu yupo sawa


Lunatic
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom