mahusiano

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Ni ipi couple nzuri ya mahusiano kwa upande wako?

    salaam wakuu, NI IPI COUPLE NZURI KWAKO? 1. Couple ya mwenye wivu VS mwenye wivu. 2. Couple ya mwenye wivu VS asie na wivu. 3. Couple ya asie na wivu VS asie wivu. Katika mahusiano kila mtu ana parfect couple yake ambayo humfanya aenjoy uumbaji wa mungu. Je, kwa mujibu wa list hii ni ipi...
  2. JamiiForums Tanzania Muwaache wanafunzi waliorudi likizo, msiwarubuni kimapenzi

    Wakuu poleni na majukumu ya siku ya leo. Nimekuwa nikifatilia mienendo ya wanafunzi wetu pindi wanapokuwa likizo nikajiridhisha kuwa watoto wengi wanaingizwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume wasio waadilifu. Kipindi hiki kuna wanafunzi waliomaliza Kidato cha Sita mtaani, wapo waliomaliza...
  3. JamiiForums Tanzania Sababu zinazopelekea Wanaume kubadilika kitabia baada ya Wanawake wao kubeba Ujauzito

    .
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Aliyevuruga Mahusiano ya Kimataifa ni Hayati Magufuli na CCM huku Rais Samia akiwa msaidizi wake

    Yaelekea Mbowe alitegemea kupata nafuu fulani ya kisiasa kutoka kwa Rais Samia lakini kwa sasa bado iko mbali na taratibu mwenyekiti huyu wa Chadema anaishiwa uvumilivu. Mbowe anaanzisha chokochoko kwa kudai eti Rais Magufuli ( hayati) alivuruga mahusiano ya kimataifa huku Rais Samia akiwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mlio katika Mahusiano yenu na Wazoefu ( Wabobezi ) je, hili lina ukweli wowote?

    Kwamba ukirejea Nyumbani Kwako au ukikutana tu na Mkeo au Mpenzi wako na ukaona amechangamka sana huku amezidisha Mahaba ( Upendo ) Kwako hapa ina maanisha ametoka Kukusaliti au anaenda Kukusaliti au kuna Bonge la Mzinga anaenda Kukupiga hivyo anakuandaa Kisaikolojia. Majibu yenu ni muhimu sana...
  6. JamiiForums Tanzania Jifunze njia pekee ya kupamabana na USALITI kwenye mahusiano

    Nimeamka asubuhi leo na kukutana na threads kadhaa za watu wakilalamika kuhusu usaliti unaoendelea kwenye mahusiano yao. Na kwa miaka ya karibuni, 'uaminifu' kwenye mahusiano imekuwa ni kitu adimu sana na ukikipata basi ni bahati na itabidi upambane usikipoteze. Kila mtu ataongea mengi na atatoa...
  7. JamiiForums Tanzania Nimeamua kuachana naye kwa sababu ana mahusiano na wanaume wengi

    Niliwahi kukutana na binti ni mwaka sasa umepita nilikua na.date ila rasimi nimejitoa takribani wiki sasa, Msichana ni mrembo mzuri, ana shape alafu kiumri ni mdogo sana yuko under 22, ukimwangalia sura kama ya kitoto. Ila nlkua nadate nae mpaka mama ake anajua, ila hajatulia maana wki mbili...
  8. JamiiForums Tanzania Ukitaka uishi maisha yenye furaha kwenye mahusiano...

    Kwanza hakikisha unatafta mwenza (well for men only) 1. Mpite miaka zaid ya 10 2. Elimu yake kibongo bongo awe La saba or form4 or six 3. Awe hana kazi inayoeleweka yaan wewe ndio mtaftie mchongo hapo mjini or else asiwe na kazi yoyote ile 4. Hakikisha anakusikiliza wewe kwa lolote yaani wewe...
  9. JamiiForums Tanzania Mfahamu Hoyce Temu katika ulimwengu wa Diplomasia na Mahusiano ya Kimataifa

    MFAHAMU HOYCE TEMU KATIKA ULIMWENGU WA DIPLOMASIA NA MAHUSIANO YA KIMATAIFA 📍Hoyce Temu alisoma Stashahada ya Uzamili katika Usimamizi wa Mahusiano ya Kigeni yaani Post Graduate Diploma in Management of Foreign Relations (PGD-MFR) kutoka Chuo cha Diplomasia Kurasini Dar es Salaam ama...
  10. JamiiForums Tanzania Ananitishia maisha baada ya kukataa kumsaidia malezi na kusitisha mahusiano

    Habari za siku wana JF, Kuna dada mmoja kabila lake msukuma tulifahamiana kazini kwangu nkaanza kumtania na tukajenga urafiki kwa muda mfupi tukawa tunachati kiasi, katika kunipeleleza kwake nilimwambia ukweli wa maisha yangu kimahusiano idadi ya watoto nilionao akanisema kwa tabia mbaya...
  11. JamiiForums Tanzania Mahandsome tukutane tujadili ili wadada wasitukatalie!

    Naanza kwa kumshkuru Aliye Juu, Muumba Wetu mwingi wahuruma na mwenye upendo nas sisi. Kilio chetu jaman hawa dada zetu muda mwingine unakuna labda nipo single kabisa sina mtu wala hata mmoja lakin ukija kwa dada zetu wanatuona niwaongo kuwa et sababu Yao ya msingi kabisa wanayokwambia et wew...
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake: Mambo yanayopelekea mwanaume apoteze kujiamini, na kuamua kuvunja mahusiano

    Kwenye mahusiano,Kuna wanawake wengi ambao wanaumia kwakua wanaume wao wamepoteza kujiamini. Mwanaume anapopoteza kujiamini mara nyingi anakua na Gubu, anakasirika vitu vidogo vidogo, anakua na wivu sana kwani hujiona kama vile hatoshi hivyo kuogopa kusalitiwa au kuachwa. Hii humuumiza mwanaume...
  13. JamiiForums Tanzania Natangaza vita mpya na kila mwanamke, sitaki mahusiano tena

    Habari wana Jamii Forum, na poleni na majukumu. Ilikuwa jioni fulani hivi baada ya mihangaiko ya siku nzima mida kama ya saa 12 jioni. Niliamua kuchukua pikipiki ya rafiki yangu japo nipige pige vichwa kuisogeza jioni. Yaani boda boda. Kama zali la mentali tu navuta hatua kadhaa napata mteja...
  14. JamiiForums Tanzania Mapadre wa kikatoliki Ujerumani wanaokaidi maagizo ya Kanisa na Kubariki mahusiano ya wapenzi wa jinsia moja

    Mapadre wa kikatoliki Ujerumani wanaokaidi maagizo ya kanisa na kubariki mahusiano ya wapenzi wa jinsia moja. Baraka hizi hutolewea chini ya kampeni inayosema''mapenzi yanashinda''CHANZO CHA PICHA,EPA-EFE Kanisa katoliki nchini Ujerumani limeendelea kuonyesha kukaidi maagizo ya makao makuu ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume huwa mnahitaji nini?

    Habarini zenu ndugu zangu? Kwa kweli inafikia kipindi nakuwa sielewi hizi ishu za mahusiano. Mwenzenu nimekuwa kwenye mahusiano na mkaka wa miaka 33. Amenizidi miaka 4. Na tumekuwa naye kwa muda mrefu sana. Katika mahusiano yetu hayo, kiukweli sijisifii lakini nimejitahidi kuwa mwema sana...
  16. JamiiForums Tanzania Mahusiano ya aina hii ni ya uuwaji kabisa

    Nimejikuta naandika hapa kwa namna nilivyojionea mwenyewe kwenye mahusiano. Unakuta uko kwenye mahusiano na mtu...unamsaidia mambo hata kama si kuyamaliza ila yale ya dharura unayapa kipaumbele, ikumbukwe kila mmoja anashughuli inayomuingizia kipato. Sasa inafikia mwanamme kazi zako zimesimama...
  17. JamiiForums Tanzania Unawezaje kuepuka stress na msongo wa mawazo katika mahusiano yako?

    Mahusiano ni kama sanaa kuna wakati mahusiano yanaweza kukupa stress na msongo wa mawazo kiasi kwamba ukajutia kwanini umeingia katika mahusiano huyo mwanamke au mwanaume maana kuna time unaona kabisa what you Give is diffrent from what you receive hali hukupelekea kuwa na stress na mambo...
  18. JamiiForums Tanzania Ukiachwa halafu hauna mahusiano mengine

    Yaani ukiachwa halafu hauna backup utataabika sana unajua ni ngumu sana kupata demu kama huna demu! Hakikisha unakuwa na backup (sio mchepuko)ili siku ukisikia nyuma geuga unageuka na backup yako kazi inaendelea. Hakikisha unamuweka backup kwenye friend zone siku yale yajayo yanafurahisha...
  19. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kumpa Baba yako zawadi?

    Habari wadau, Moja kati ya mada muhimu za kuweka mezani siku hizi ni kuhusu uhusiano kati ya watoto na Baba. Imekuwa kawaida kwa mama kupewa kipaumbele kuanzia ngazi ya familia mpaka jamii. Kuna wakati taasisi fulani ilifanya tafiti ndogo ya kuwaambia wanaume waliokuwa wanafanya kazi umo...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanashindwa kufanya haya matano?

    1. Lala nae (muhimu kuliko yote) 2. Mlishe ashibe 3. Muheshimu 4. Mwache awe na amani 5. Usimuingilie katika mambo yake. Ni ajabu sana wanawake hawawezi kuyafanya haya matano kwa waume zao, ni kwanini?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…