Ni ipi couple nzuri ya mahusiano kwa upande wako?

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,062
2,000
salaam wakuu,

NI IPI COUPLE NZURI KWAKO?

1. Couple ya mwenye wivu VS mwenye wivu.

2. Couple ya mwenye wivu VS asie na wivu.

3. Couple ya asie na wivu VS asie wivu.

Katika mahusiano kila mtu ana parfect couple yake ambayo humfanya aenjoy uumbaji wa mungu.

Je, kwa mujibu wa list hii ni ipi parfect couple yako? Je, uingiapo katika mahusiao na mtu asie wa aina yako adha gani hupitia? na je, mahusiano hayo hudumu kwa muda gani?

Binafsi, naangukia 1 sababu nina wivu sana, ninapokutana na asie wivu mambo huenda kombo na mahusiano huvunjika mapema sana.


 

Noelia

JF-Expert Member
May 26, 2017
14,626
2,000
mkuu chukulia mfano kwako kisha ulete mrejesho.
😂😂😂Sina muda wa kujihangaisha hivyo, kwasasa nalinda furaha na amani yangu kwa gharama kubwa hivyo siwezi kuharibu hivyo vyote kwa ajili ya kukuletea wewe mrejesho, ✌️
 

Kitombile

JF-Expert Member
Mar 21, 2021
553
500
Namba moja wanawahi kuachana lakini ndio couple ya watu wanaopendana zaidi kuliko zote hapo, namba mbili watadumu lakini adi moja hajishushe namba tatu mapenzi yao yatadumu ingawa hakuna atakaye kuwa na muda na mtu wala kufatiliana kwenye simu.
 

Superb2014

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
4,822
2,000
Raha sana kuwa na mpenzi mwenye wivu lakini kila kitu kwa kiasi kikizidi kinakuwa sumu.
 

Smart911

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
59,002
2,000
Nasoma comments...

Wivu ni kidonda ukishiriki utakonda, maneno ya mlevu mmoja hivi...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom