mahusiano

  1. MR BINGO

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu hatari kuwa naye kwenye mahusiano kama mtu "anayehitaji kupendwa"

    mahusiano bora ni yale ya watu wawili waliojaa upendo ambao wako tayari kushare upendo huo Ila cha ajabu sasa mahusiano mengi ya sasa hivi ni ya watu wawili ambao hawana upendo ndani yao na wanataka wapendane sasa unajiuliza hawa watu wao wenyewe tu hawana upendo ndani yao, hiyo nguvu ya...
  2. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Karibu Afrika, bara utakalosengenywa endapo hutaonekana na mahusiano ya kimapenzi au mtoto haijalishi una mpango wa kufanya maamuzi kwa muda sahihi

    Karibu Afrika, bara utakalosengenywa endapo hutaonekana ukiwa na mahusiano ya kimapenzi au mtoto haijalishi una mpango wa kufanya maamuzi kwa muda wako uliojipangia Bara la Afrika ni la tofauti sana, katika jamii zetu utaanza kupitia matatizo ya masimango baada ya kubalehe endapo hutaonekana...
  3. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Naandika uzi huu wa historia yangu ya mahusiano ya kimapenzi na binti mmoja niliyempenda lakini wazazi wake wakaharibu na sasa wanajuta

    Naandika uzi huu wa historia yangu ya mahusiano ya kimapenzi na dada mmoja niliyempenda lakini wazazi wake wakaharibu na sasa wanajuta Hii ni historia ya kweli na sio fiction. Katika maisha yangu nilimpenda binti mmoja na tuliendana sana kiasi kwamba tulipendana kwa dhati Wachawi wa mahusiano...
  4. Mtaachana

    JamiiForums Tanzania Ukianza uhusiano na mwanamke anaekuadithia jinsi alivyohumuzwa na mahusiano na jinsi anavyoogopa kuumizwa

    Muache futa namba yake, block kila mahali na umusahau Huyo ni mnyonyaji wa nishati anakuwekea mazingira ya kukutawala kihisia. Huyo mwehu anataka uishi nae kwa hofu ya kumuumiza. Anakuandaa kukufanya mtumwa wake...
  5. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Naye kabadilika? Kajibebesha mimba baada ya kusikia nimempa mimba mwingine! Naambiwa mimi ndio nina shida

    Wasalaam, Yule mwanamke wa kiganda niliyevutiwa nae kwa jinsi alivyo na adabu,mpole,mcheshi na mchapakazi, Tena anayejua mahaba kuliko wanawake wote wa Tanzania..... Baada ya kusikia nimezalisha mwanamke mwingine mkoani huko amekuja juu na kujibebesha mimba yangu hatimaye na sasa Mimi ndo...
  6. Friji la mtumba

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu huonekana kuwa na furaha zaidi wakiwa ‘single’ kuliko wakiwa kwenye mahusiano?”

    Wapo watu ambao baada ya kuachana na wapenzi wao huanza kung'aa, kuwa huru, na hata kujiendeleza zaidi. Je, ni kwamba mahusiano yao yalikuwa kikwazo? Au kuna kitu watu hukosea wanapokuwa kwenye mahusiano? Tujadiliane kwa uhuru — labda kuna funzo kwa wote.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mlio kwenye mahusiano mliingiaje?

    Ndugu zangu wana JamiiForums, naombeni muongozo wenu. Nitumie njia gani maana naona kwenye hatua za awali tu kumu approach anakuomba hela, sasa kwangu hii huni disappoint sana na hii si mara ya kwanza. Naombeni ushauri wenu, umri 23. Kwa mfano huyu sina mpango wa kumtafuta tena wakati namba...
  8. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Kwanini jamii nyingi za wafugaji wanatabia za ukatili,watata, hasira hata kwenye mahusiano ni tabu tupu.

    . SWALI LILIULIZWA "Swali kwann watu wanaokula sana nyama au wanaotoka jamii ya wafugaji wengi wao wanakuwa na mitetemo ya chini yaani nguvu za chini za kiroho wanakuwa na vurugu, hasira,utata,ugomvi, hawana utulivu hata ukiangalia wanyama wanaokula nyama the same tabia. MAJIBU YA KIROHO...
  9. Xiao qui shui

    JamiiForums Tanzania Mahusiano na narcissist unaweza kufa!!

    Wakuu habari zenu, Moderators naomba msiunganishe huu Uzi na nyuzi zingine . Nilikuwa na mahusiano na narcissist kwa muda wa miezi mitatu ila nimekoma kwa kweliii imebaki kidogo nife! 1.anajali hisia zake tu, zako anapuuza hata uwe unaumwa 2.ana asili ya unyonyaji akiamini kwamba yeye ndo...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mwanaume yoyote rijali, anaetafuta hela yake halali, kiasili anapenda kumpa hela mwanamke anaempenda

    Habarini, Mwanaume yoyote rijali, anaetafuta hela yake halali, kiasili anapenda kumpa hela mwanamke anaempenda.. Ila dunia ya sasa trend iliopo duniani ya umarioo (wanaume kuingia kwenye uhusiano wa kingono na mijimama ili wapate kupewa hela) ni tabia inayokua glorified, kitu ambacho ni...
  11. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Nihurumie Asuu wangu, iwapo nimekukosea

    Wanawake na vijana wa siku hizi, huwa mnaombaje msahaha kwa wapenzi / wenza wenu. Njooni mnipe mbinu zenu mpya za 2025. Sisi mabinti wa zamani, ukiona umekosea unatafuta kale kanight dress kako kepesi unakavaa halafu unafunga kitenge juu. Akirudi toka kazini anakuta umempikia chakula chake...
  12. Nusratt

    JamiiForums Tanzania Wanawake Msijidanganye, Mahusiano ya kweli hayapatikani Mitandaoni

    Mitandaoni utaishia kuchorwa tu. Wanawake wenzangu tutafute pesa zetu za halali, wanaume watatufuata wenyewe. Wabillahi Tawfiq Nusratt M.
  13. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Kasema napika vizuri kumzidi mama yake mzazi

    Jana, nilikua sijisikii vizuri sikwenda kazini, na baba watoto akasema na yeye haendi atabaki na mimi afanyie kazi nyumbani, hali yangu haikua mbaya kivile, so nikashangaa ila nikashukuru basi, siku ikawa poa, ikaisha. Jioni hii tumekaa tunapunga upepo, out of nowhere, kaanza kusema ikibidi...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Jamani jamani naomba msije jichanganya kuwa na mahusiano na wanawake wa uswahilini

    Ukiambiwa dunia ni usiku na mchana ndio haya. Malezi waliokulia wanawake wa uswahilini ni ya ajabu yani kuanzia shida wanazopitia na kutofatiliwa na wazazi wao yanapelekea kuwa watu wa ajabu. Kuna kipindi cha dada mmoja Geah habibu pale youtube mnaweza kujifunza vituko huko
  15. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Asilimia Kubwa ya Wanawake Wanaosema Wanateseka Kwenye Mahusiano au Ndoa Zao, Mazingira Hayo Wameyajenga Wenyewe

    I – Inshu (Hoja Kuu) Katika jamii ya sasa inayozidi kukumbatia usawa wa kijinsia, sauti za wanawake wanaolalamika juu ya mateso ya kimahusiano na ndoa zimekuwa za kawaida. Mitandao ya kijamii, majukwaa ya wanawake, na hata mijadala ya hadharani imejaa simulizi za huzuni kuhusu wanawake...
  16. FestoKaguo

    JamiiForums Tanzania What do you with a research paper after its been published?

    I was just wondering what actions are taken once you finish and publish a research paper. I'm not all that experienced nor informed, so I'm just genuinely curious what could be done with one's research after it's finished. I'm talking more so about humanities research, so it's not necessarily...
  17. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye ndevu changamoto kwenye mahusiano

    Wanawake wengi wenye ndevu wana ndani yao wengi wao viburi, jeuri na dharau. Hawa viumbe hawana unyenyekevi, utii wala heshima, jihadhari ukipata demu wa aina hii hawe fundi vipi umakini
  18. Half american

    JamiiForums Tanzania Ila hizi simu zinachangia sana kuvuruga mahusiano

    Jana ndio nilitambua kumbe nina uwezo wa kula haraka hata chakula kiwe kingi na chamoto kiasi gani. Tumetoka kwa chakula cha usiku mwenzangu simu yake akaicha ndani kwenye chaji, tumefika sehemu ya kula tumeanza tu kula akaniomba simu yangu atume mail fulani kabla hajasahau, nikampa...
  19. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania Ukiacha sex, mwanamke ana nini cha ziada anachotoa kwenye mahusiano?

    Hivi dada zetu wanafahamu Mambo wanayopaswa kuchangia kwenye relationship ukiacha sex ?
  20. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania MAN TO MAN : Ni Nini alikifanya ukagundua kuwa yule mwanamke hakufai ??

    Seriously ... Tusaidiane kujua aina ya red flags mlizowahi kutana nazo wakulungwa kwa upande wenu na mkazichukulia hatua .... Hata wanawake mnaruhusiwa kutoa red flags zenu zilizowakimbiza kwenye baadhi ya Mahusiano.
Back
Top Bottom