Wamitandaoni ndio sisi sisi kitaa labda ana maanisha mahusiano ya kweli hayapatikani duniani 🤔Wamekuelewa mahusiano ya kweli hayapatikani mtandaoni
Wanayapata wapi?
Ni msemaji wenu huyu?Wamekuelewa mahusiano ya kweli hayapatikani mtandaoni
Wanayapata wapi?
Wamitandaoni ndio sisi sisi kitaa labda ana maanisha mahusiano ya kweli hayapatikani duniani 🤔
Ni msemaji wenu huyu?
😂Msemaji wa mahusiano ya mitandaoni
Mnajidanganya....Uhakika 99.9%
Na nini we nguchiro mbonyeo?Mnajidanganya....
Malizaneni na hela zenu. Tuwafuate nyie mishangazi ili iweje?Mitandaoni utaishia kuchorwa tu.
Wanawake wenzangu tutafute pesa zetu za halali, wanaume watatufuata wenyewe.
Wabillahi Tawfiq
Nusratt M.
Niite mbwa kengee weeNa nini we nguchiro mbonyeo?