mahusiano

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kubadili dini kisa mahusiano ni usaliti wa imani au ni Upendo?

    Wakuu, naombeni ,msaada wa ushauri, Hivi ni sahihi kubadili dini kisa mahusiano? nimekua nikipitia wakati mgumu wa kufanya maaumuzi binafsi ya kubadili dini na kufuata imani ya mwenza wangu ninaempenda, tumeshindwa kufikia muafaka wa ndoa maana yeye hawezi kubadili dini ni mwanaume na kwa...
  2. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Picha: Achana na mahusiano na mwanamke ambaye hana mchango kwenye maisha yako. Kuwa kama mimi!

    Wanaume kama sisi wenye akili timamu na future. Pampuchi sio kitu cha muhimu sana hasa tunapoingia kwenye mahusiano. Mwanamke anatakiwa kuwa na akili na mawazo Hasi. Mwanamke akupe peace of mind. Mwanamke awe hamasa ya wewe kusave pesa. Mwanamke anatakiwa kuwa mbunifu kila siku. Awe na ofu ya...
  3. Surya

    JamiiForums Tanzania Kila kitu ni kupambania hasa mahusiano

    Nashauri wanaokaa single tuanze kuwanyanyapaa hadi wawe double.. kuwa single sio kitu kizuri hata kidogo, leo asubuh nipo dukani kwa shirima kuna mwamba kavaa Pensi nyepesi kaja dukani mkuyenge umevimbia kwenye Pensi, akasimama, sasa kuna bidada alikua anahudumiwa dukani akawa wa kwanza...
  4. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu ambaye hujitoa mhanga kujali, kusaidia sana, kuonyesha huruma kupitiliza kwa kila mtu kazini na kwenye mahusiano huishi maisha magumu sana

    Jambo hili linaigusa hali halisi ya watu wengi wenye moyo wa huruma, unyenyekevu, uvumilivu na tabia ya kujali wengine kupita kiasi. Hawa ni watu ambao kiasili ni wema, lakini mara nyingi hupitia maisha magumu sana kuliko hata watu wenye roho ngumu. Hii hutokea kwa sababu kadhaa zifuatazo: 1...
  5. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Mama Yake Ana Mahusiano Na Kijana Wao Wa Bodaboda.

    "Habari yako kaka George, Mimi ni mfuatiliaji sana wa post zako. Naomba unipostie na mimi ili watu wasijue kuwa ni Mimi ila nitasoma comments. Mimi kuna jambo linanitatiza naomba ushauri wako na hata ukipost kweye page zako itakuwa vizuri pia na nitakuja kusoma ushauri kutoka kwa wadau...
  6. Festi mbuya

    JamiiForums Tanzania Mahusiano yenye changamoto za ushirikina na kulazimishana

    Hello habari, nina changamoto kidogo naomba msaada, mwaka jana mwezi wanane nilikutana na mwanamke na nikaanzisha naye mahisiano na sababu ilo fanya mahusiano yaendelee alipodai kuwa anaujauzito niliendelea kumsapoti nilipoweza mpka ulipofika mwezi wa kumi na mbili ambapo alidai ujauzito...
  7. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Tunaotesa wenza wetu kwenye mahusiano Mungu anatuona, tukatubu!

    Ugonile, kwenye mahusiano usiombe ukakutana na kiboko yako, unaweza ukageuka mwehu.!! Kama ambavyo kwenye maisha kuna wale ambao Mungu kawapendelea yan kila wanapogusa panaitika kiufupi hawajui shida basi kwenye mapenzi pia wapo, yani wao suala la kuteswa na mapenzi ni never au la kidogo sana...
  8. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Nimeingia kwenye mahusiano na mwanamke mwenye mimba

    This is very interesting for me Nimejikuta kwenye deep love na bint mwenye ujauzito wa miezi minne. Ila anasema mwenye mimba amekataa kwasababu alikuwa anataka mwanamke aitoe..so kwakuwa mwanamke amekataa kuitoa basi hataki mimba. Wakuu nataka kujitolea kukilea hiki kiumbe, kinawezekana kuwa...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Majaliwa: Mahusiano ya Kimataifa yameimarika Awamu ya Sita

    Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ameliambia Bunge la Tanzania kuwa Ushawishi wa Tanzania katika medani za Kimataifa umeongezeka chini ya Serikali ya awamu ya sita na kuiwezesha Tanzania kushika nafasi mbalimbali za uongozi katika mashirika ya Kikanda. Majaliwa amebainisha hayo...
  10. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 ambayo hatuwaambii wake zetu ila yapasa wajue

    Mimi ni mwanaume. Sio shujaa kila siku, sio jasiri kila saa. Nina mapenzi, nina udhaifu, nina hamu ya kueleweka—lakini mara nyingi husema “poa” tu ili mambo yaendelee. Kuna vitu navikalia moyoni kila siku. Leo naandika kwa mara ya kwanza, sio kwa hasira, bali kwa tumaini kwamba kuna mwanamke...
  11. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Usiingie ktk mahusiano ya mapenzi ukitegemea utafurahishwa kila kitu na uliyenaye

    Usiingie ktk mahusiano kwa kutegemea mtu uliyenaye atakufurahisha kwa kila kitu . Binadamu yeyote mpe asilimia 50 tu zengine bakiza kwaajili yako , ukiwa na expectations kubwa na mtu trust me lazma uwe disappointed
  12. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kwanini waitwe Tomboy na siyo Tomgirl kwa maana ya Tom ni jina la jinsia ya kiume na girl ndo uanamke wao?

    Nimekuwa nikitafakari kwa kina juu ya neno “Tomboy.” Kwa kawaida, linamaanisha msichana ambaye ana tabia, mavazi, au mienendo inayohusishwa na wavulana. Lakini kila nikilitafakari, linazidi kunichanganya. Kwanini msichana aitwe Tomboy jina lenye maneno mawili ya kiume: Tom (jina la kijana wa...
  13. SwahiliFlirt

    JamiiForums Tanzania Mambo 3 Unayofanya Bila Kujua! Yanayomfanya Demu Wako Aone Kama HUJALI Hisia Zake (Na Hivi Ndivyo Uta-Fix Hiyo Issue Kabla Haijaleta Balaa!)

    Washkaji zangu, hebu niwaambie kitu kinachoweza kuwachoma kidogo, lakini ni kwa nia njema kabisa, kama dada yenu ninavyowajali. Wakati mwingine, bila hata nyinyi wenyewe kujijua, mnaweza kuwa mnawavunja mioyo na kuwaumiza kihisia hao wanawake mnaowapenda. Tena sio kwa sababu nyinyi ni watu...
  14. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya kuwa na wanawake wengi na uchumi

    Nimejaribu kuwaza sana, baada ya kuwa na watoto kadhaa kwa hizi pisi kali zangu. Nikaona njia ya kuwaweka pamoja leo na kesho ni kuwashirikisha katika kutekeleza mawazo yangu kibiashara, ili wao na watoto wao waweze kupata chochote pamoja na kujivunia kuwa na mwanaume mwenye upeo wa kuona...
  15. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Je, kuonana mara kwa mara kuna imarisha mahusiano?

    NRNE Ipo hivi kuna jirani yangu hapa karibia kila siku mpenzi wake anakuja wanapika, wanakula wanalala na kuamka wote labda akisafiri ndiyo mwanamke ataondoka, ila jamaa akirudi mwanamke anakuja naye. Sasa ninajiuliza hii kuwa wote muda mrefu kwa watu ambao hamjaoana je kunaimarisha mahusiano...
  16. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kuna mahusiano Gani kati ya kiwanja na aina ya jengo ninalotaka kujenga?

    Sijaelewa kama Kuna Sheria inayoongoza matumizi ya Ardhi na ujenzi inavyotafsiri uhusiano uliopo kati ya Ardhi na aina ya jengo linalotakiwa kujengwa Hizi "High, medium &Low density" zinajengwaje? Maana utakuta wanunuzi wa viwanja wanabadili aina ya jengo bila ya kuzingatia ukubwa wa kiwanja.
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kiapo sio sababu ya kufanya dhulma na Uhalifu. MTU asitumie kiapo kama fimbo ya kukugeuza wewe ufanye ushetani

    KIAPO SIO SABABU YA KUFANYA DHULMA NA UHALIFU. MTU ASITUMIE KIAPO KAMA FIMBO YA KUKUGEUZA WEWE UFANYE USHETANI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Unapoapa apa kiapo cha kutetea Haki. Kupinga dhulma. Kama ni kulinda nchi utaapa kuilinda kwa Haki. Kama ni kumlinda Kiongozi utaapa kumlinda kwa...
  18. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Wanawake wakishapataga mtoto wa pili kiburi kinaanza

    Baada ya mwanamke kujifungua mtoto wa pili, wengi Huwa na mabadiliko fulani ya kimtazamo, kitabia, na hata kihisia ambayo baadhi ya wanaume huwa wanayahisi au kuyaona kama “kiburi.” Wapo wanaodai kuwa uzazi huleta mabadiliko makubwa katika maisha ya mwanamke – kimwili, kihisia, na kiakili...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu wa aina hii ya mahusiano. Mawazo yake

    Mapenzi sio mchezo. Kuna mushangazi mmoja niliingia nao kwenye mahusiano, kwa nia ya kuuoa. Ndoa ilikuwa tufunge nao majira ya kabla ya mwezi 10 kuisha. Navumilia mengi ana badirika kama kinyonga, Leo story kesho ugomvi mala anitishie kuni block , hataki kupokea simu, hajibu sms . Nikikaa...
  20. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Nimeamini kweli usimuamini binti au mwanamke ambaye ametoka familia maskini kuwa naye kwenye mahusiano its typical Danger

    Tupo mikoa tofauti but Ninazo taarifa na ushahidi tayari kashachomoa mimba tatu za wanaume wengine, nina taarifa zake nyingi kuhusu yanayoendelea kwenye simu yake ila hajui kuwa najua maana kila info naziona vyema na voice call nazisikiliza vizuri tu, Nimejaribu kumfuata chuoni kwake kumhoji...
Back
Top Bottom