mahusiano

  1. Bodhichitta

    JamiiForums Tanzania Kama una mahusiano na mwanamke aliyeajiriwa (iwe sekta binafsi au serikalini) na una nia ya kumuoa, tafadhali tafakari mara mbili

    aslaam, Hakika narudia tena, kama wewe mwanaume una mahusiano yawe ya muda mrefu au mfupi na mwanamke aliyeajiriwa iwe sekta binafsi au serikalini na umeweka Nia ya kumuona hakiyamungu jiulize mara mbili kabla hujachukua huo uamuzi. Nataka nikuambie kitu hapa, ukikutana na mwanamke mwenye...
  2. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Alikubali tuanzishe mahusiano wakati ashatolewa mahari na harusi inasubiri kupangiwa tarehe

    WAKUU KILE KISA CHA MSHANGAZI AMBACHO NILIWAAHIDI NDIO HIKI HAPA. Hiki kisa kinanikumbusha kipindi Mama yangu mzazi alipo gundua kuwa nimeanza kuingia kwenye ulimwengu wa mapenzi (kushenyenta) aliwahi kunikalisha chini na kuniambia, katika kufanya ujinga wangu wote niogope sana watu wa aina...
  3. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Yapi umejifunza ukubwani kuhusu mapenzi na mahusiano?

    Size ya mashine haijalishi, namna huyo mwenye mashine anavyoitumia ndiyo kinacholeta raha au karaha. Huna hela, huna kazi - achana na mapenzi focus na mambo mengine. Kupendwa ni bora kuliko kupenda, ikitokea scale imeelemea kwako utafurahia na roho yako. Kutengeneza mahusiano mazuri na ndugu wa...
  4. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Bila Mchepuko, Ndoa Nyingi za Sasa ni Ngumu Kudumu – Unahitaji “Catalyst” ya Mahusiano

    Kwa mtazamo wa sasa juu ya ndoa na mahusiano ya kimapenzi, kuna ukweli mchungu ambao wengi hawataki kuukubali hadharani: bila mchepuko, ndoa nyingi za siku hizi hazidumu kwa amani wala furaha. Kabla hujanihukumu au kunishambulia, tafadhali nielewe vizuri. Sipromoti usaliti, bali najaribu...
  5. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kumbe wanawake wanapenda mahusiano yenye mikikimikiki

    Baada ya zaidi ya miaka kama 14 nikitoa huduma inayohusiana sana na wanawake — kuwahudumia katika mazingira mbalimbali ya kijamii na kiafya — nimekuja kugundua jambo moja ambalo haliniingii vizuri akilini, lakini kila siku ushahidi wake unazidi kujionyesha: WANAWAKE WENGI HAWAPENDI MAHUSIANO...
  6. Neem Min

    JamiiForums Tanzania Mapenzi Yaliyojaa Maneno ya Watu: Nifanyeje?

    Hey there! I’m a 24-year-old woman, and I need some advice before I lose my mind or worse:D:D, my patience with people who think they know everything! So, picture this: I was living with my sister, but she basically kicked me out because I was dating a guy who had just ended things with his baby...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje ili nimuache bila yeye kuwa na maumivu?

    Jamani Mimi nina mchumba wangu ambaye tumeanzisha uchumba hivi karibuni. Dogo ni bikra na sikutaka nifanye naye mapenzi kama alivyohitaji. Kuna siku nilimwamby nahitaji kwenda mbali kwa utafutaji, nkamwamby akimpata mtu amuoe. Hiyo ilileta shida kwake kiadi cha kuugua sababu ananipenda na mimi...
  8. excel

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Mikoa inayoongoza kwa watu kuwa na mahusiano (ya kimapenzi) na watu wengi

    Unaambiwa Mpenzi wako nae ana wapenzi wake😅😅 Mikoa ya Dar es Salaam, Lindi na Dodoma inaongoza kuwa na watu wenye wapenzi zaidi ya wawili. Wastani wa kila mkazi wa Dar es Salaam ana mahusiano ya kimapenzi na watu tisa, Lindi watu nane na Dodoma watu watano. Chanzo: Ripoti ya Afya, Malaria na...
  9. YOHANA WILSONI LEONARD

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli vijana wengi wa sasa hawako matured enough? ndio maana wengi wanaumizwa kwenye mahusiano yao?

    Hivi ni kweli vijana wengi wa sasa hawako matured enough? ndio maana wengi wanaumizwa kwenye mahusiano yao? Naombeni majibu hapa... na kama ni kweli, tufanyeje? na kama si kweli, shida hasa ni nini hadi vijana wengi wateswe na mapenzi kizazi hiki ilihali wako matured? 🥱
  10. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Hakuna refund baada ya mahusiano kufika mwisho

    Sikiliza dogo, hakuna mahusiano ya bure kwa mwanaume. Mapenzi yanagharimu muda, nguvu na hela, na hautarudishiwa chochote pale mahusiano yatakapofika tamati. Mapenzi yakiisha hautarudishiwa gharama zako. Hautapewa hata shukrani tu ya kuambiwa "asante". Sasa kama usipokua mbinafsi wa muda na...
  11. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Athari za Uongo katika Mahusiano ya Kimapenzi

    Athari za Uongo katika Mahusiano ya Kimapenzi Je, umewahi kuhisi uchungu wa kudanganywa na mtu unayempenda? Uongo ni sumu inayochoma polepole, ikiharibu msingi wa mahusiano na kuacha majeraha ya kihisia yasiyopona kwa urahisi. "Kama wengi wanavyogundua kwa masikitiko, mahusiano yasiyojengwa...
  12. cold water

    JamiiForums Tanzania Tuna miezi mitatu kwenye mahusiano lakini anachukia mimi kuongea sana

    Nina mpenzi wangu ni mpole Sasa mimi muongeaji Sasa Kila nikiongea anasema naongea Sana lakini siongeagi Kwa ugomvi ni Ile tu kutaka nae achangamke asipoe Sana lakini mwezangu anaona kero Sasa na mimi kukaa tu bila kuongea siwezi ananambia ndo mana napendaga kukaa peke angu una makelele mda...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Naibu Katibu wa Habari Uenezi na Mahusiano na Umma wa ACT, Shangwe Ayo achukua fomu ya ubunge wa Arumeru Mashariki

    Naibu Katibu wa Habari Uenezi na Mahusiano na Umma wa ACT Wazalendo, Shangwe Ayo Chikala amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Arumeru Mashariki. Shangwe amechukua fomu kwenye ofisi za Jimbo la Arumeru Mashariki zilizopo Tengeru Arusha, leo tarehe 18/05/2025.
  14. D3F4ULT

    JamiiForums Tanzania MAMBO YA MSINGI KWA MWANAUME KUJUA KUHUSU MAHUSIANO:

    Wakuu habarini za wakati huu, kutokana na trends ya vijana wa kiume wengi wa chuo ndani ya wiki hizi mbili kujinyonga au kujidhuru nafsi kutokana na mapenzi. Nimeamua kupita na nondo zilezile za ndugu yangu Natafuta Ajira ili kuwahasa vijana wenzangu. 1. Jifunze kujidhibiti –...
  15. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia kijana wa kiume unapojihusisha na mahusiano ya kimapenzi

    1. Mwanamke anatumia sex kama zawadi, adhabu au nyenzo ya ulaghai kwa mwanaume. Umemfurahisha ? Atakupa sex. Umemkosea? Atakunyima sex. Umemfanyia wema? Atakulipa sex. Anataka kitu kutoka kwako? Ata-negotiate kwa sex. Usitarajie kupata valuable return yoyote kutoka kwa mwanaumke. Anakuja...
  16. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Utaniweza wapi utundu nimeanza zamani mie

    Nawaibia siri, siku nyingine muende kuwapa tendo huko makazini kwao wagugumie kama mabeberu kwenye viti vyao na kila wakiingia mzigoni wanakumbuka mbususu waliyosusiwa wanapata hamu ya kurudi nyumbani mapema kuila tena. Jana mtu mzima mwenzangu alikua katoka safarini, kaingia mjini asubuhi na...
  17. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni kujidanganya linapokuja swala la ndoa au mahusiano wanawake wana mipango mingi ya siri jinsi ya kuwangamiza

    Mwanamke akishajua kupitia mwanaume aliyenae miaka ya mbeleni Kuna maisha huwa wana mipango mingi ya siri mioyoni mwao mpka siku atakajipata ..... Ukweli ni kwamba mwanamke akiwa hajajipata huwa ni kiumbe mpole, mnyenyekevu na mtiifu kwa mwanaume lakini siku ambayo akijipata ni lazima abadilike...
  18. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania "Mapenzi Siyo Mradi wa Maendeleo – Wote Tuwe Watu Wazima Kwenye Mahusiano"

    Sasa watu wangu wa nguvu hebu tusome bila hasira, bila ubaguzi, na bila kuegemea upande wowote. Leo nataka tuzungumze ukweli ambao wengi wetu tunaujua lakini hatusemi kwa sauti – labda kwa woga, labda kwa unafiki, au labda kwa sababu tunapenda kudanganyana kwenye mapenzi. But leo, truth gotta be...
  19. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kuwa na mahusiano na mwanaume au mwanamke Asexual?

    Umewahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume au mwanamke ambaye hapendi ngono. Yaani sio muoga kwa sababu ya dini au nini ila hapendi tu ngono na hata ukifanya naye anaonesha kama kinai au hatoi ushirikiano sana; yaani anaweza akawa anakupenda romantically lakini kimwili hapendi...
  20. Windson

    JamiiForums Tanzania Hakuna mahusiano magumu kama unayempenda anataka akuone unateseka kwa ajili yake

    Mahusiano ya aina hii yapo wakuu, Unakuta mtu unampenda dem, halafu akishajua unampenda yeye anataka kukuona unateseka kwa ajili yake, utampa zawadi utasaizia familia yao lakini akiona hauteseki anajua bado haumpendi, ila akiona unefikia level yeye anavaa vizuri halafu wewe umekosa hata...
Back
Top Bottom