mahusiano ya kimapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Oppo A17k

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa pesa na sex kwenye mahusiano ya kimapenzi

    Zingatia sana unapoanzisha mahusiano mapya Kila mwanaume anatarajia kupata sex kutoka kwa mwanamke wake. Ladies, Mwanaume anapokutongoza, moja ya kitu anatarajia kutoka kwako ni SEX. Hivyo unapomwambie "Nakupenda pia" ni sawasawa na kusema hivi "Nimekubali, Na Nipo Tayari Kukupa Mwili Wangu"...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Katika harakati zako za mahusiano ya kimahusiano, ni tukio lipi huwezi kusahau?

    katika harakati za mahusiano, uchumba na pengine ndoa, kuna visa na mikasa mbalimbali hutokea, mingine ya kufedhehesha na ya aibu, ya kutia moyo, nguvu na ya kukatisha tamaa... Ni mkasa au kisa kipi huwezi kisahau kwa kufupi? Na kisa hicho kilikupa nguvu au kilikukatisha tamaa?:DisGonBGud:
  3. RedPill Prophet

    JamiiForums Tanzania Mwanaume, usimng'anganie asiyekupenda. Usimfukuzie mwanamke kama vile ndiyo kusudi lako kuishi hapa duniani

    Kwanini umfukuzie naye wakati haonyeshi juhudi zake kukufukuzia? Nilikumbuka nilipokuwa nikiburudika na Ex wangu, Sally. Alikuwa na mazoea ya kuweka simu yake kwenye silent wakati wowote nikiwa naye. Siku hii, simu yake iliendelea kulia, ikionyesha simu zinazoingia, lakini aliendelea kukataa...
  4. maishapopote

    JamiiForums Tanzania Penina wa Goba Centre auawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa mapanga

    Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake. Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana! UPDATES: Mtuhumiwa baada ya kumuua alienda polisi mdogomdogo maana ni kama dakika mbili kwa...
  5. I feel good

    JamiiForums Tanzania Ni sheria zipi nchini Tanzania zinazokataza Mahusiano ya Kimapenzi kati ya ndugu?

    Habari za wakati huu wakuu, Bila kupoteza muda, na kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kujua kuhusu sheria za Tanzania zinazokataza mahusiano ya kimapenzi au kuzaliana kati ya ndugu (Incest).
  6. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni muungano uliofeli

    Nimeona machapisho mengi kuhusu ndoa zisizofanikiwa. Kuna sababu nyingi zinazochangia ndoa kufeli ambazo ni pamoja na kudanganywa, kukosa uaminifu kati yao, Ukata wa fedha. Lakini Wengine huamka tu asubuhi na kugundua kuwa wake zao/mme wake hana mvuto tena [walimlazimisha ]. Hizi ni baadhi tu ya...
  7. Rayvanny wa jamiiForums

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wote, hivi unaweza kuwa na rafiki wa karibu na mume wa mtu au mke wa mtu bila kuwanaye kwenye mahusiano ya kimapenzi?

    Hebu sema ukweli wako? Swali kwa wote, hivi unaweza kuwa na urafiki wa karibu na mume wa mtu au mke wa mtu bila kuwanae kwenye mahusiano ya kimapenzi? #nyumayapazia
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Nini faida au hasara ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na jirani yako?

    Wakurungwaaa najeee? Kwa sisi wadau wa nyumba za kupanga kwa namna fulani unaweza kujikuta umevutiwa na jirani yako fulani kwa namna moja au nyingine. Au unaweza kujikuta unaangukia kwenye mahusiano na Mwanamke au mwanaume anayeishi karibu sana na nyumbani kwako. Je, kuna faida au hasara...
  9. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Kuhangaika na Mahusiano ya Kimapenzi katika zama hizi ni kupoteza Muda

    Baada ya purukushani za muda mrefu sana na haya maisha nimegundua kukosa umakini wa kufikiri na kuamua mambo kwa weledi yamepeleka mahusiano ya mapenzi kuwa ndio chanzo kikuu cha watu wengi kupoteza mielekeo mizuri ya maisha. Ujana, utu uzima na uzee una mambo mengi sana ambayo huwezi...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Andika hapa ndoto zako za usiku ili kukicha uweze kutafsiriwa

    Habari wana jamvi? Kama kichwa kinavyojieleza nimeanzisha thread hii ili itusaidie sisi kujua je hizi ndoto zinatofautiana au sawa kwa watu sawa au wanaoishi maeneo tofauti lakini zinakuwa na maana moja au ni tofauti? Andika ndoto yako ya usiku wa leo hata siku zijazo utakazoota hii...
  11. Tizzo G

    JamiiForums Tanzania SoC03 Wanafunzi wa kike mwaka wa kwanza kwenye mahusiano ya kimapenzi

    Kama jamii ya watanzania na Kwa maadili yetu, tunategemea kuona watoto wa kike wakipata malezi Bora na ushauri nasaha kuhusu mahusiano na athari za mahusiano ya kimapenzi hasa Kwa wale wa mwaka wa kwanza katika elimu ya chuo Kwa ngazi ya shahada. Wanafunzi wengi wa kike hujikuta wakiangukia...
  12. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuwa na Mahusiano ya kimapenzi na Mchawi? ilikuwaje?

    Wakuu habari zenu, Binafsi nikikumbuka mpka nasema kweli Mungu yupo. Yule dada alikuwa mchawi kweli kweli na kila mtu alimuogopa. Mimi baada ya kutoka chuo nikaenda kumtembelea babu kijijini mitaa ile nikamuona binti mrembo balaa nikasema huyu ndo level za sisi wasomi. To make story short...
  13. reymage

    JamiiForums Tanzania Wanawake ndoa ni utii, acheni kujaza ujinga wadogo zenu

    Assalamualaikum nnawatakia mifungo mema. Dear girl child kama una malengo ya kuolewa ukae ukijua mwanaume ni kiongozi wa familia aliumbwa yeye ikapita miaka 40 ndo ukatolewa ubavu wake akaumbwa mwanamke. Mungu fundi hakuna sababu ya kuumba sote wawili mmoja ametokana na mwenziwee awe msaidizi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kufanya lolote kuzuia asiolewe, bado nampenda sana

    Siwezi kukubali bora nimuharibie asiolewe tukose wote! Ipo hivi wakuu, hapa nipo na machungu sana moyoni, kuna binti kipindi nipo chuo mwaka wa kwanza 2015 nilimpenda tukawa kwenye mahusiano, of course nilikuwa good guy kwake, na tulipanga vingi sana lakini ndani ya miezi sita akaniacha bila ya...
  15. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Ngono na kifo vipo karibu, umeoa/umeolewa tulizana na ndoa yako

    Habari wa jukwaa, Kuna watu wengi wanafeli hapa, unakuta mwanaume kaoa halafu anamtamani mke wa mwenzie. Hivi siku ukamfuma wa kwako itakuwaje? Jambazi akiibiwa uwa anaua, lakini yeye hajui kuwa mtu akiibiwa huwa anapata matatizo gani. Ukioa punguza mihemko, maji ndio yale yale sema visima...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Wanawake hawatangazi mwanaume masikini

    Ukiona mwanamke anakuweka kwenye profile zake za mitandao ya kijamii au billboard anakutajataja kwenye maadishi yake na kwa marafiki zake, jua tu yeye ndio ana kufaidi kuliko wewe unavyodhani. Mwanamke hawezi kutangaza mwanaume masikini hata kama unampenda kiasi gani, ukiwa mkata nyasi wewe...
  17. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Bikra siyo chanjo ya kuchapiwa

    Wasalaam JF, Mtengeneza njia ni mmoja kwa matumizi ya walio wengi. Mwanakulianza ni mwanamajumui wa kugawa upendo. Ulivyopewa wewe bila mbambamba hata bustani ya Eden nyoka aliwekwa kwa tafsiri yake. Tuwasifie na wanaotupokea vijiti upele. Wameupiga mwingi. Wadiz
  18. nashukuru mzima

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akiweza kumiliki vitu hivi ni ngumu ndoa Kudumu

    Habari za jioni, tunashukuru Mungu kwa uzima aliotupa. Katika ulimwengu huu tunaoishi katika dunia ya utandawazi ambayo imeonekana imejitosheleza katika kila sekta, ila kuna taasisi moja kubwa sana ambayo ni Nndoa, taasisi hii inaundwa na mwanamke na mwanaume matokeo ya muda mrefu hadi mfupi...
  19. McCollum

    JamiiForums Tanzania Napoteza hamu ya mahusiano muda mfupi baada ya kuyaanzisha. Je, hii ni hali ya kawaida?

    Habari kwa wanajukwaa, ni matumaini yangu muwazima wa afya. Kwa wenzetu ambao wanapitia changamoto za kiafya nawatakia kupona au kupata ahueni kwa haraka. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, mimi ni kijana wa umri wa kuelekea 30's kwakuwa sasa niko kwenye 20's mwisho huko. Sikujua...
  20. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Njia ya kuongea na mwanamke ipasavyo ili afunguke kukwambia kila kitu

    Ili mwanamke afunguke kwako lazima ajisikie amani na usalama kwako. Wanaume wengi huwa wanawapotezea wanawake zao kwenye kuongea, ndio mana wanawake wao pia huwapotezea kitandani. Sababu mwanamke anaona haujali hisia zake. Njia hii ya kumfanya mwanamke aongee unaweza kuitumia kwa mama yako...
Back
Top Bottom