mahusiano ya kimapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SPACE CADET

    JamiiForums Tanzania Kwa mambo haya mnataka tuoe kweli?

    Hiki kisa nimekichukua FB asee Mimi ni mama wa watoto 2 mimi na mume wangu tulikua vizuri shida ni huyu mwanaume ambaye niko naye. Nimfanyakazi mwenzangu na ni mume wa mtu. Mwanzo mahusiano yalikua ya kawaida tu tunafurahiana lakini baadaye nikajikuta naanza kumpenda nikabeba mimba yake na...
  2. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Sababu 6 kwanini mwanamke amekuchunia na kukupotezea ghafla pamoja na suluhisho la jambo hilo

    Kwenye ulimwengu wa mahusiano kuna mtindo saivi kwamba wa kwanza kumpotezea, kumchunia au kumuacha mwenzake ndo mshindi, sio mtindo mzuri ni utoto. Kama kweli mnajaliana mtaongea na kusuluhisha tatizo lililopo ila ikitokea mwanamke amekupotezea ujue upendo wake umepungua, mwache aende zake...
  3. Silivian

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anakulipia hela ya kunyoa, halafu anakwambia kuhusu kukaribia kuisha kwa kodi yake ya pango

    Mwanamke anakulipia hela ya kunyoa, halafu anakwambia kuhusu kukaribia kuisha kwa kodi yake ya pango. Anakununulia boxer na t-shirt, halafu anakukumbusha kuhusu zawadi kwenye siku ya kuzaliwa kwake. Anakununulia vocha, kisha anakwambia ubovu na kuichoka simu yake ya sasa. Sent from my TECNO...
  4. Saint_Mwakyoma

    JamiiForums Tanzania Jamii iache kuhukumu vibaya wanaume wanao ingia kwenye mahusiano ya kimapenzi ( ndoa ) na wanawake wenye umri mkubwa kuwazidi

    Kumezuka wimbi kubwa la wanaume wengi wanaozama kwenye dimbwi la mahusiano ya kimapenzi na baadae sana wanagundua wapenzi wao wamewazidi umri kitu ambacho jamii ya kiTanzania inakichukulia kama kitu cha aibu na cha ajabu mno. Kwenye kila taasisi kuanzia ya familia, makazini na nyumba za ibada...
  5. Sossi

    JamiiForums Tanzania Ukizifuma picha za utupu za anayemfukuzia mkeo utachukua hatua gani?

    Ni Jamaa ambaye alishawahi kuwa hawara wa mkeo, akamwacha kwa kashfa kibao alimchafua mitaani na huko Facebook, wewe bila kujali udhalilishaji aliofanyiwa bila kujali kashfa ukaamua kumuoa. Sasa baada ya miaka kadhaa kupita Jamaa anaaanza kummendea mkeo,mara atume watu mara apige simu, Mkeo...
  6. ASIWAJU

    JamiiForums Tanzania Ndoa na mahusiano ya kimapenzi siyo mambo ya lazima kutekelezwa

    Karibuni nyote wanachama wa jukwaa hili. Kuna mambo makuu mawili ambayo ningependa kuzungumza pamoja nanyi wanachama wa jukwaa hili yahusuyo Ndoa & Mahusiano ya kimapenzi. Jambo la msingi hasa ambalo ningependa kuligusia ni kuhusu ukosefu wa fikra mpya na zilizo bora ndani ya jamii kupelekea...
  7. Side Makini Entertainer

    JamiiForums Tanzania Mvuto ni tofauti na urembo au utanashati

    Hiki ni kitu ambacho unaweza kukitengeneza kutokana na matendo, mavazi na maneno yako. Katika mapenzi, urembo au utanashati hauna nguvu kama mvuto. Mvuto ni namna ambavyo unamfanya mtu akuone bora, wathamani na wakipekee. Mvuto ndio unafanya umuone Neema wako ni bora kuliko wanawake wote...
  8. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Yupi anayeharibu mahusiano ya kimapenzi kati ya mwanamme na mwanamke?

    Je, yupi anayeharibu mahusiano & ndoa kati ya Mwanaume na Mwanamke?
  9. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Nimekata nusu mwaka sasa bila kuwa na mahusiano ya kimapenzi

    Baada ya kupiga hesabu ya kumiliki mwanamke nje ya ndoa nimeona kuna gharama kubwa sana zinazosababisha hela kupotea. Pesa ambazo ningezifanyia mambo ya msingi sana. Sasa Toka January nikaamua kukaa SINGLE KABISA. Miezi 6 sasa imekamilika. Sina Dem wala Girl yeyote wa kuniomba vocha, hela ya...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ni sababu ipi inapelekea asilimia kubwa ya wanawake kuwa na mahusiano ya kimapenzi na bodaboda?

    kwa utafiti mfupi nilioufanya nimegundua akina dada wengi hasa wake za watu wanadate na mabodaboda. kwa anaejua chanzo cha akina Dada kutokwa macho kwa mabodaboda anijuze haraka sana kuna maamuzi nataka kuyachukua.
  11. samwel phanuel

    JamiiForums Tanzania Kwanini 90% hawafaidi hatua ya ujana?

    Ujana : nihatua ya ukuaji anayoipitia mtu baada ya kumaliza hatua ya utoto ili kuelekea utuuzima na uzeeni na hii hatua hutakiwa kuwa Makini na mtulivu wa fikra pamoja na akili nyingi kuliko hatua nyingine yoyote, na hii ndio hatua pekee ya utambulisho halisi wa mtu kifikra, kiutendaji na hata...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi hawapendi marafiki zao kuwa na mahusiano ya kimapenzi na dada zao ?

    Yani unakuta mtu anaona bora hata dada yake atoke na mtu asiemjua kabisa lakini linapokuja swala la rafiki yake ku date na dada yake hapo huwa pana utata?
  13. Aizna

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya kimapenzi na majuto ya huyu dada mrembo

    VIP
  14. 4X4byfar

    JamiiForums Tanzania Je, hii ni sawa?

    Ndugu wapendwa mimi ndio mara yangu ya kwanza kuwa hapa. Nina jambo naombeni msaada. Nimeolewa hivi karibuni, baada ya kumjoin my husband aliamua kunitambulisha kwa wanawake aliyodai ambao baadhi ni marafiki tuu wa kawaida na wengine ni wafanyakazi wenzake. Ok nilikubali na kuwaona wote. Ila...
Back
Top Bottom