McCollum
JF-Expert Member
- Jan 10, 2023
- 384
- 679
Habari kwa wanajukwaa, ni matumaini yangu muwazima wa afya. Kwa wenzetu ambao wanapitia changamoto za kiafya nawatakia kupona au kupata ahueni kwa haraka.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, mimi ni kijana wa umri wa kuelekea 30's kwakuwa sasa niko kwenye 20's mwisho huko. Sikujua kwamba hii haikuwa hali ya kawaida ila baada ya muda naona bado inanitatiza, kila ninapoanzisha mahusiano huwa nakuwa na interest ambayo inapotea hata baada ya wiki kuisha. Kuna ile hali najikuta tu nimechoka kutafutana na gf wangu mpya.
After three weeks naweza nikapotezea mazima kama hatukuwa na mahusiano kabisa, siwezi kujilazimisha kutuma meseji au kupiga simu na sababu za msingi nakuwa sina, inakuwa kama akili imepotea mazima kumhusu huyo gf. Ila nakuwa sijamuacha mazima ila interest naye inapotea.
Commitment yangu kwenye mahusiano haijawahi kuwa strong hata kwa wanawake ambao ninakuwa nimewapenda toka mwanzo tukiachana na wale ambao nakuwa nao kutokana na LUST.
Sijui shida inakuwa ni nini ila naona tatizo limekuwa kubwa maana najikuta tu nime call off mahusiano bila sababu na naishia kuambiwa najitengenezea karma ambayo itanikumba mbele which siogopi kwakuwa siamini kwenye mambo kama hayo.
Any thoughts pals?