VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,492
- 1,466
Hahahahahahaa ukikuta kitu brand new? Japo cha kutafuta kwa dawa na nguvu ya giza.Mahari juu ya milioni sioi
NakaziaNikiwa kama mwenyekiti wa Umoja wa Wanaume Bahiri Tanzania (UWABATA) nafikiri mambo ya mahari yafutiliwe mbali, yanakwamisha mabaharia wengi nchini.
Sahihi kabsa..Nikiwa kama mwenyekiti wa Umoja wa Wanaume Bahiri Tanzania (UWABATA) nafikiri mambo ya mahari yafutiliwe mbali, yanakwamisha mabaharia wengi nchini.