Usitafute mahali ulipozaliwa(nyumbani)

Usitafute mahali ulipozaliwa(nyumbani)

Hii sio kauli ngeni kwako! Je kuna ukweli Gani? Kwamba mahali ambapo umezaliwa huwezi kufanikiwa?

Kwanini ni muhimu kuhama kijijini kwenu kwenda kutafuta mjini?

Karibuni waugwana
Kubwa zaidi ni comfort zone kipengere kinapoanzia, watu wengi hupendelea kwenda mbali na nyumbani sababu watakua huru kufanya kazi yoyote ilikujipatia ridhiki tofauti na nyumbani.
 
kwaio kama kijana kaona opportunity za kiuchumi alipozaliwa aziache akimbilie mjini

kwaio kama kijana kaona opportunity za kiuchumi alipozaliwa aziache akimbilie mjini?
Unaweza kuona Fursa ndio ila jamii isikukubali kwasababu wanakujua A-Z ndio maana au em ngoja tuone Majibu ya wengine.
 
Mara nyingi, mazingira tuliyokulia yanaweza kuwa na mipaka ya kifikra au nafasi finyu za kimaendeleo kulingana na ndoto za mtu.

Ni vema kwenda mbali na nyumbani ulipokulia ili

1.Kupanua Mawazo:
Unapoenda sehemu ngeni, unakutana na watu wapya, tamaduni tofauti, na mbinu mpya za utafutaji ambazo hungezipata ukiwa nyumbani.

2.Kuepuka Mazoea:
Ukiwa nyumbani, ni rahisi kubweteka kwa sababu kuna "neti ya usalama" (familia na marafiki). Ukiwa ugenini, njaa ya mafanikio inakuwa kubwa zaidi kwa sababu unajua huna wa kumtegemea.

3Heshima ya Nyumbani:
Mara nyingi, thamani ya mtu huonekana zaidi akitokea mbali. Nabii hakubaliki kwao, na wakati mwingine mafanikio ya ugenini ndiyo huleta heshima unayostahili nyumbani.

Hata hivyo, si lazima kila mtu ahame, lakini roho ya utafutaji na kutokubali kufungwa na mazingira hayo hayo ni muhimu kwa maendeleo ukuaji na mafanikio.
 
kwaio kama kijana kaona opportunity za kiuchumi alipozaliwa aziache akimbilie mjini?
Hapana hiyo ni general thought tu sio sheria

Mara nyingi, mazingira tuliyokulia yanaweza kuwa na mipaka ya kifikra au nafasi finyu za kimaendeleo kulingana na ndoto za mtu.

Ni vema kwenda mbali na nyumbani ulipokulia ili

1.Kupanua Mawazo:
Unapoenda sehemu ngeni, unakutana na watu wapya, tamaduni tofauti, na mbinu mpya za utafutaji ambazo hungezipata ukiwa nyumbani.

2.Kuepuka Mazoea:
Ukiwa nyumbani, ni rahisi kubweteka kwa sababu kuna "neti ya usalama" (familia na marafiki). Ukiwa ugenini, njaa ya mafanikio inakuwa kubwa zaidi kwa sababu unajua huna wa kumtegemea.

3Heshima ya Nyumbani:
Mara nyingi, thamani ya mtu huonekana zaidi akitokea mbali. Nabii hakubaliki kwao, na wakati mwingine mafanikio ya ugenini ndiyo huleta heshima unayostahili nyumbani.

Hata hivyo, si lazima kila mtu ahame, lakini roho ya utafutaji na kutokubali kufungwa na mazingira hayo hayo ni muhimu kwa maendeleo ukuaji na mafanikio
 
Mimi nafikri kufanikiwa ni suala la mindset haijalishi mtu atatafuta mali akiwa sehemu gani.
 
Hii sio kauli ngeni kwako! Je kuna ukweli Gani? Kwamba mahali ambapo umezaliwa huwezi kufanikiwa?

Kwanini ni muhimu kuhama kijijini kwenu kwenda kutafuta mjini?

Karibuni waugwana
Mbona wamarekani wanafanikiwa ndani ya taifa lao, wakati wengine wanapambana kukimbilia marekani?
 
Back
Top Bottom