mahakamani

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kondo Bungo alishinda Ubunge Mbagala, lakini hakutangazwa. Kesi yake ilikaa mahakamani miaka 4 kisha hukumu ikasema kesi "ime-expire"

    ..Kondo Bungo anaeleza jinsi alivyodhulumiwa. ..Kuna sababu za msingi wapinzani kutokuwa na imani na tume zetu za uchaguzi.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Meneja kivuko cha Busisi-Kigongo, nakuburuza Mahakamani. Hii kero imekuwa sugu!

    Gati za pande zote mbili kwenye ardhi imekuwa ni kero ya muda mrefu sana kwa magari ya chini (saloon cars). Hiki kivuko ukiwa unaingiza gari au ukiwa unashuka, ni lazima ukwangue bampa la mbele la gari. Hata uwe makini namna gani kukwepa, lazima uburuze bampa! Mark X ya jamaa yangu ishawahi...
  3. JamiiForums Tanzania Kesi madai ya fedha mahakamani inahitaji dhamana?

    Habari zenu watalaamu na wadau wa sheria. Naomba kujua kama mtu akifikishwa mahakamani kwa kudaiwa fedha ya mkopo na mtu binafsi, atatakiwa kuandaa wadhamini wa kumdhamini akiwa mahakamani?
  4. JamiiForums Tanzania Mwanamfalme atuhumiwa kwa kuagiza mauaji ya mwandishi wa Saudia, Jamal Khashoggi

    Mchumba wa mwandishi wa Saudia Jamal Khashoggi aliyeuawa nchini Uturuki amewasilisha kesi mahakamani dhidi ya mwanamfalme wa Saudia, akimtuhumu kwa kuagiza mauaji hayo. Inaelezwa kuwa Kashogi aliachana na Kundi la wasomi wa Saud Arabia tangu mwaka 2017 na baadae kuhamia Washington ambao...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Tume yaUuchaguzi inaweza kushitakiwa Mahakamani kwa kukiuka Sheria za Uchaguzi au viongozi wake wanaweza kuwajibishwa na Kamati ya Maadili?

    Kila mtu anashuhudia mambo yanavyoendelea, kwa uelewa wangu wa katiba ya nchi hii, mwenye kinga ya madaraka ni Rais pekee, He vipi kuhusu watendaji wa Tume ya uchaguzi, hawawezi kuburuzwa korotin kwa kukiuka Sheria na Kanuni za Uchaguzi zilizoweka kwa mujibu wa katiba ya nchi hii? Nani mwenye...
  6. JamiiForums Tanzania Ghiliba za wanasiasa: Je, inawezekana kuwaburuza mahakamani ili watolewe kwenye nafasi zao Kwa kulaghai ili wachaguliwe?!

    Nimekua nafatilia wanasiasa wengi wakati wanaomba Kura wanasema uongo mwingi Sana na Kwa bahati mbaya wanaaminiwa na kupewa Kura na kutumikia nafasi walizozipata Kwa kulaghai bila wasiwasi wowote na mwisho wa kipindi walichoomba wanazawadiwa kiinua mgongo kama ahsante. Kwangu Mimi naona hiyo si...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Membe akanusha kuiunga mkono CHADEMA, yeye ndiye Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo

    Kupitia ukurasa wa twitter Ndg. Benard Membe amekanusha kujiondoa mbio za Urais na kumuunga mkono mgombea wa Chadema.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Uchaguzi ibadilishwe kuruhusu Wagombea kwenda Mahakamani kupinga maamuzi ya NEC na zaidi mchakato wa kupatikana Wagombea uanze mwaka mmoja

    Kwa yanayoendelea sasa kuhusu kesi za uchaguzi na malalamiko mengine yanayohusiana na uchaguzi hasa kuhusu wagombea kuenguliwa,ni matokeo ya kuwa na sheria mbovu ya uchaguzi inayotoa mwanya wa wagombea kupita bila kupingwa huku Tume ya Uchaguzi ikiwa ndio alpha na omega katika kuamua nani...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na Magufuli, mtaondoaje mirundikano ya kesi mahakamani?

    Katika kipindi hiki cha kampeni nimesikia kila mgombea akinadi atakavyoboresha maeneo ya sekta kadhaa ya nchi yetu. Lakini sijasikia mgombea aliyeahidi kuboresha mahakama zetu na ziondokane na misongamano iliyopo kule. Nimeona uhuru wa mahakama ukiongelewa kwa juu juu. Nadhani wanasiasa wote...
  10. JamiiForums Tanzania Saed Kubenea atiwa mbaroni. Afikishwa Mahakamani kwa kuingia nchini kinyume na Sheria, utakatishaji fedha na kupelekwa rumande

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI YAH: KUFIKISHWA MAHAKAMANI KWA SAED AHMED KUBENEA Mnamo tarehe 5/9/2020, Jeshi la Polisi Tanzania lilimkamata SAED AHMED KUBENEA akiwa katika gari la abiria lenye namba ya usajili T. 645 DKR akitokea kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya, eneo la Namanga akielekea...
  11. JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Sudan Omar Al Bashir afikishwa Mahakamani

    Rais aliyetolewa mamlakani wa Sudan Omar al-Bashir alifikishwa kortini siku ya Jumanne katika kesi yake iliyoanza kusikilizwa juu ya mapinduzi ya kijeshi ambayo yalipelekea kuchukua madaraka mnamo mwaka 1989. Akiwa ni rais wa zamani wa jamhuri, Bashir alionekana katika hali nzuri wakati...
  12. JamiiForums Tanzania Uchebe afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kumshambulia Shilole

    Dar es Salaam. Ashiraf Geuza maarufu' Uchebe' amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni akikabiliwa na kosa la kumjeruhi Zuwena Mohamed maarufu 'Shilole' na kumsababishia maumivu makali. Akisoma hati ya mashtaka Wakili wa Serikali, Chesensi Gavyole mbele Hakimu Mkazi Hudi Hudi, alidai...
  13. JamiiForums Tanzania Hawa wakurugenzi wa Tume ya Uchaguzi waliofanya dhuluma dhidi ya wapinzani hawawezi kushitakiwa Mahakamani?

    Wanasheria tupeni madini. Kinachoonekana ni kwamba wakurugenzi wameamua. Wanavuruga kwa makusudi kabisa zoezi zima la uchaguzi na hivyo kutishia kuvuruga amani ya inchi. Najuliza, ina maana Hao jamaa wana kinga ya kutoshitakiwa? Kwasababu kama mwendo ni huu nibasi afadhali kusiwepo na hizi...
  14. JamiiForums Tanzania Shahidi ashindwa kumleta Tundu Lissu Mahakamani Kisutu, Kesi yaahirishwa hadi tarehe 24 Septemba 2020

    Salaam Wanajamvi, Tundu Lissu ameshindwa kuhudhuria kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu katika kesi ya uchochezi namba 236 ya mwaka 2017 na ile namba 123 ya mwaka 2017 kutokana kuchelewa kukamilisha taratibu za urejesheji fomu ya utuzi wa kugombea urais wa Tanzania. Leo tarehe 26 Agosti...
  15. JamiiForums Tanzania Kupita bila kupingwa - is this democracy too?

    BARUA YA WAZI KWA MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI YA TAIFA WALIOPITISHWA BILA KUPINGWA HAWASTAHILI KUWA WABUNGE BILA YA KUCHAGULIWA Kuna kundi la wagombea ambao hadi hivi wanaamini kuwa wao ni wabunge halali wa Jamhuri ya Muungano na hivyo wanasubiri siku ya kuapishwa ili wachukue nafasi zao...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Lissu awaalika Wananchi wa Dar na mikoa ya jirani kufika Mahakamani Kisutu kwa wingi tarehe 26 kusikiliza shauri lake

    Mgombea urais wa CHADEMA, Mhe. Tundu Lissu amesema atahudhuria mahakama ya Kisutu kujibu kesi inayomkabili siku ya tarehe 26/08/2020 baada ya kuwa amekamilisha matakwa yote ya kisheria kule Tume ya Uchaguzi. Tundu Lisu amesema kesi yake ni ya wazi (open case) hivyo amewaomba Wanachama wa...
  17. JamiiForums Tanzania Manyara: Hakimu Mfawidhi afikishwa Mahakamani kwa kuomba na kupokea rushwa Tsh. 150,000

    Hakimu mfawidhi wa Mahakama ya Mwanzo Magugu Ndugu Adeltus Richard Rweyendera, amefikishwa mahakamani na Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Manyara kwa kosa la kuomba na kupokea rushwa ya shilingi 150,000. Akitoa taarifa hiyo kwa waandishi wa habari, Kaimu mkuu wa...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali yashindwa tena kuwaleta Mahakamani watuhumiwa wa Ugaidi, yasema italihamisha shauri Mahakama Kuu

    SERIKALI YASHINDWA TENA KUWALETA MASHEIKH MAHAKAMANI. Mawakili wanaowatetea Masheikh (Uamsho) walifika Mahakamani leo kama kawaida yao. Hata hivyo serikali haikuwaleta viongozi hao wa Dini kutoka gerezani. Shauri lilipoitwa mbele ya hakimu upande wa serikali ulidai kuwa sasa wanashughulikia...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Taharuki baada ya raia wa kigeni wanaokabiliana na kesi ya utoaji rushwa kutinga mahakamani na PPE

    Utaratibu wa kesi katika Mahakama jijini Mombasa Alhamisi ulilazimika kuahirishwa baada ya raia watatu wa China kuingia mahakamani huku wamevalia Vifaa vya Kinga ya Kibinafsi (PPE). Hakimu alilazimika kuahirisha kusikilizwa kwa kesi hiyo baada ya kudhani watuhumiwa hao ni Maafisa wa Wizara ya...
  20. JamiiForums Tanzania Tabora: Mwanamke afikishwa Mahakamani kwa kuwaingiza vidole sehemu za siri watoto wa majirani zake

    Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Irene James mwenye miaka 36 amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi Tabora kwa tuhuma za kuwafanyia unyanyasaji wa kingono watoto saba (7) wa kike wenye umri kati ya miaka Minne (4) hadi Saba (7) ambao ni watoto wa majirani zake. Akisoma maelezo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…